Masogange atimuliwa South Africa

Masogange atimuliwa South Africa

Daah! unaona sasa!
Sijui hawa dada zetu wanakula maharage ya wapi?
Hawafikirii kesho itakuwaje! No le akiliz!
Ona sasa amekuwa kama mtoto mdogo aliyevalishwa pampas, atabwaya bwaya tu!
Na hili liwe fundisho kwa wenzake

Hahahaaa,wanajali show off tu,no future.Madai yako eti wanakula ujana!
 
Mh si alitokea hadi kweny magazine gan sijui ya nje huko kuwa ni the most beautiful
woman in Tanzania..nikajitemea ptuu loh aanze upya,ajitegemee mwenyewe,kutegemea wanaume hadi lini..asione aibu kuteleza si kuanguka lol
 
#teampicha njoo mtipie vitu vyake

1429127610012.jpg
 
Masogange sasa anatoka na mwanamuziki.hatareee afrika anaitwa tekno. Kila siku dada yetu anabadilisha picha za tekno kwen wall yake, ila tekno hana habareeee, anaweka tu picha za madem wengine wakareeeee
 
Masogange sasa anatoka na mwanamuziki.hatareee afrika anaitwa tekno. Kila siku dada yetu anabadilisha picha za tekno kwen wall yake, ila tekno hana habareeee, anaweka tu picha za madem wengine wakareeeee

Yule mdogo mdog au? Mana niliona kuna mtu kamuweka kwenye profile pic yak
 
Yaan izi mbo znatuharibia wadogo zetu ila naskia yule mtoto ni babake mambo anayowafanyia wenzie ndio wamepeleka laana kwa tunda.....yaani babaake kapiga adi kachoka.....umaarufu utamponza tunda.....na watamgeuza sana tu
Kapiga kivp maana kauli tata

1.kapiga kumuadhibu kwa makofi au bakora
2.kazini nae kwa kufanya mapenz
 
bora Mungu akunyime tako akupe akili.......angekuwa na akili sasa hivi angekuwa mbali kimaisha ila sasa akili huna badala ya kusonga mbele mtu anarudi nyuma........
 
Jaman ivi tunda kakumbwa na janga gani yaan nikimuona hua siamin sikuiz mara avute madawa mara south kweli mtoto wa 96 ana mambo makubwa yakushangaza mtoto alikua mpole sjui ni nn kimemuarib

Dyudyu.com
Pombekali.com
Pesa za kuhongwa bila kuzifanyia kazi.co.
Unga.com
 
Back
Top Bottom