Masogange atimuliwa South Africa

Masogange atimuliwa South Africa

Khaa, sijui nani atamtaka tena maskini, maisha yake ndo basi tena kushneiii, apa wambea tutachonga mpaka hasubuhi maana ubuyu mtamu halafu ndo kwanza wamoto umetoka jikoni
 
Mmh umaarufu wa lulu naona unaongezeka maradufu, sasa hawara tu yupo ICU na mwenye mke si atakuwa mochwari kabisa? Looh umalaya huu, mwisho wa ubaya ni aibu
 
Lulu ana bahati, mtoto mdogo anatembea na wanaume wazito na wenye hadhi zao, ana bahati sema ana mkosi maskini dah
 
Duuu binam umeanzaaaa khaa!!subiri kwanza msiba upite
 
Khaa, sijui nani atamtaka tena maskini, maisha yake ndo basi tena kushneiii, apa wambea tutachonga mpaka hasubuhi maana ubuyu mtamu halafu ndo kwanza wamoto umetoka jikoni

Atapata tu mwingine chezea mabilionea wamejaa
 
Khaa, sijui nani atamtaka tena maskini, maisha yake ndo basi tena kushneiii, apa wambea tutachonga mpaka hasubuhi maana ubuyu mtamu halafu ndo kwanza wamoto umetoka jikoni
eeh sasa anasema mchumba ake anamuita mme wa mtu mchumba mweh pole zake april ndo birthday ya lulu ndo kanumba alifariki ndo april kafariki mwingine mnnh
 
namie king'ang'a aliniblock nkafungua id nyingine kaiblock tena...chagga aliniblock mange nae niliisema miguu yake akaniblock ha ha ha

Haaaaa we kama mimi.. nimeblokiwa na wengi saana, chagabibi, lemutuz, zari, jaydee.. ukiweka negativity unablokiwa
 
eeh sasa anasema mchumba ake anamuita mme wa mtu mchumba mweh pole zake april ndo birthday ya lulu ndo kanumba alifariki ndo april kafariki mwingine mnnh

Ndio alikua anampa jeuri mjini jamani amwitejee tenaa
 
Lulu ana bahati, mtoto mdogo anatembea na wanaume wazito na wenye hadhi zao, ana bahati sema ana mkosi maskini dah

Ana bahati na mkosi hapo hapo haaaaaaa... leo alikua anadondosha bonge la party.. matokeo yake anaenda kupigana vikumbo na muke halali huko hospital
 
Jamaani nina tetesi sijui umbea
Zilisikika tetesi lulu michael yule muigizaji huwa anaendaga kwa mganga kuroga,sasa akapewa masharti ya kumtoa mama ake kafara,akashindwa so akaambiwa kama huwezi mama ako,basi mtoe mwanaume yeyote ambae nyota ake inafanana na mama ako ambayo ni Aquarius,thats why Kanumba was Aquarius,and so the new guy he is dating now
Ni mme wa mtu anaitwa Seki,sasa the wife ni mcha mungu,anaomba sana..she travelled akaenda kwa tb joshua,tb joshua akamwambia sali sana mama,kuna msichana yupo ivi ivi na ivi(features za lulu michael)
Akaambiwa uyo msichana ana mganga wake ambae wameingia kwenye maagano ya kutoa watu kafara ambao wana nyota ya aquarius so omba sana mama maana maisha ya mume wako yapo hatarani
Mwanaume kaja kuambiwa,haelewii maana nasikia anampenda hotlulu haelewii..
Hapa ninavyosikia the guy amefariki tena kama kifo cha kanumba cha kudondoka na kupiga kichwa chini..
Na leo ni birthday ya lulu..
 
Nasikia amefia kwa Lulu na alikua na mke.Lulu pia aliwahi kuwa na bf alifariki tabata.
 
Wanasema alikua home kwake mbezi beach amekalia meza ikavunjika ikamchoma pajan na tumbon akableed sana akafa.
 
Khaa, sijui nani atamtaka tena maskini, maisha yake ndo basi tena kushneiii, apa wambea tutachonga mpaka hasubuhi maana ubuyu mtamu halafu ndo kwanza wamoto umetoka jikoni

Mi naomboleza bwana.Ila alishafaidi mjengo, gari, manguo kama boutique, make ups za ghali na akapata kiburi eti hachezo movie chin ya million 15 .
 
Mmh umaarufu wa lulu naona unaongezeka maradufu, sasa hawara tu yupo ICU na mwenye mke si atakuwa mochwari kabisa? Looh umalaya huu, mwisho wa ubaya ni aibu

Yupo ICU alipataje muda wa kufuta pic IG.Naona IG Wema anampa pole Lulu kwani ndo mke wa marehemu?
 
Lulu ana bahati, mtoto mdogo anatembea na wanaume wazito na wenye hadhi zao, ana bahati sema ana mkosi maskini dah

Kwa iyo kutoka na mme wa mtu ni bahati au uchuro?
Ni laana ujue kilio cha mke wa mtu hata kama ana madhambi kiasi gani Mungu anakipokea.
 
Mi naomboleza bwana.Ila alishafaidi mjengo, gari, manguo kama boutique, make ups za ghali na akapata kiburi eti hachezo movie chin ya million 15 .

Nyumba ya mbezi kapangiwa best, mmh maiti yake inatisha kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom