Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,088
- 72,505
We ni msemaji wa diamond au?
Ndio ..........
We ni msemaji wa diamond au?
Hahahaaa,aisee nimecheka sana.Hivi hawa ndugu zetu hawawekagi hata akiba jamani? Wanawaza show off tu wakimwagwa wanaaibika.
Nasikia lulu anataka kupokonywa magari ya aliyohongwa na marehemu yote yarudi kwa mkewe, kumbe diamond nae alipewa lile gari na jeusi BMW na seky, loh mwanaume anapendwa kuhongwa, nasikia na nyumba kamsaidia yeye kujenga
Apa nina list ya majina ya waliotoka na marehemu, sio wanawake sio wanaume hadi nabaki mdomo wazi na mdomo wangu unavyonuka sasa sitaki mie, nasubiria umbea wa jioni khaa
Mmmmhhhhhhhh mengine wamekudanganyaa banaa nyumba ya daimond na gari kapata kwa pesa yake
mmh mara gari alipewa na chief kiumbe mara ostadh juma mara seky hv dai hana hela ya kununua gari au?Mmmmhhhhhhhh mengine wamekudanganyaa banaa nyumba ya daimond na gari kapata kwa pesa yake
Hvi huyu dada huwa ni msanii wa sanaa gani?maana sijawah kusikia nyimbo yake yoyote wala kumuona akiigiza.
warumi vipi tena mbona ban
Ana mdomo mrefu kama chuchungee akichokozwa hawez kupuuza
nani kamchokoza huyo anatukosesha ubuyu qummmammamaeAna mdomo mrefu kama chuchungee akichokozwa hawez kupuuza
warumi vipi tena mbona ban
kishapata pa kufikia anaenda kenya masogangeAna mdomo mrefu kama chuchungee akichokozwa hawez kupuuza
kishapata pa kufikia anaenda kenya masogange
ha ha ha kwani litakua jambo geni kufiii ha ha haAlshababy watamfira shauri lakeeee