Masogange atimuliwa South Africa

Masogange atimuliwa South Africa

Haaa ulimfanyaje... kakublok hivo
ha ha ha tatizo la watu bana hawataki kurekebishwa yan wanachotaka akieka picha usifie tu hapo ndo wanapenda....nahisi niliguna kwny picha ake moja kapaka wanja hata hajapendeza nkaandika "mmh" ha ha ha nahisi hilo ndo kosa langu
 
Nasikia eti mchumba wake amefariki anaitwa seki sasa sijui seki yupi @ms Lincoln warumi
 
Last edited by a moderator:

Hhhhaaa mi siku hiz sikoment niliona nitablokiwa mno nakoment nadra sana
 
namie king'ang'a aliniblock nkafungua id nyingine kaiblock tena...chagga aliniblock mange nae niliisema miguu yake akaniblock ha ha ha
 
Mimi nimeblockiwa na chagabibi na le mutuz.Wanapenda kusifiwa ukiwapa fact unablickiwa
 
Nasikia eti mchumba wake amefariki anaitwa seki sasa sijui seki yupi @ms Lincoln warumi

Seki alikua mfanyabiashara wa madini.Aliposema kapata mchumba ataolewa alimaanisha Seki ndo mchumba wake.Hata kwenye take ome aliposema mwanaume wake anamsapoti asilimia 90 alimaanisha huyohuyo.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia eti mchumba wake amefariki anaitwa seki sasa sijui seki yupi @ms Lincoln warumi

Mwenzangu nimechanganyikiwaje apa umbea ata hauelweki, ni kweli kafiwa na mpenzi wake nasikia ni mume wa mtu, lulu yupo ICU sasa ivi
 
Last edited by a moderator:
Lulu kafanyaje jamani kafuta picha zote ig naona wengine wanampa pole ila hawasemi

Live at my Office downtown Dar Tancot House 2nd FL kazi kama kawa maana Mwanaume ni kazi kwanza..ninasikitika sana kutangaza KIFO CHA GHAFLA cha Rafiki yangu wa karibu sana Super Bilionea Seky I am speechless Wiki mbili nzima zilizopita mara kwa mara tumekutana Mliman City na Tripple 7 Club...mara ya mwisho tulikuwa wote Jumamosi iliyopita mke wake alikuwa anaumwa sana tukaenda wote Baraka Plaza tuka kaa masaa mengi kumsubiria mke wake na leo Asubuhi Saa Tatu tumeongea sana kwenye simu kuhusu Viwanjani leo akaniahidi kunipigia back in One Hour twende wapi leo 1 hour ago nimepigiwa Simu kuwa amefariki ghafla....Ohh my God bado I am speechless ninamuombea sana mke wake na watoto katika hiki kipindi kigumu sana kwao this one really hurts Binadam tunapita tu hapa Duniani we are just weak creatures of God....I cry for U Seky a great human being MUNGU AMUWEKE PEMA PEPONI PLEASE PEOPLE LETS PRAY FOR MY SUPER FREIND AIMEEEN!;- le Mutuz
 
EEH alikuwa ni mume wa mtu kumbe? Mmh kazi ipo
 
Pole yake kumbe lulu alikua mwizi duuuuu pole yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom