Masogange atimuliwa South Africa

Masogange atimuliwa South Africa

Kibatala anza kwa kufunga misikiti iliyokuwa imehifadhi magaidi, Kama kweli ulimaanisha ulicho ongea juzi, vinginevyo tuta jua kikwete anashirikiana na ninyi kutaka kuleta udini, amemsulubu sana Gwajima bila kosa vipi kwa misikiti iliyo hifadhi magaidi? Mmelenga kuleta machafuko kwa kuingilia Dino,ila mtapotea ninyi na familia zenu ila Tanzania itastawi

Kibatala ndo nani tena? Ebu tupe umbea vzur na kafanya nn
 
Yaan izi mbo znatuharibia wadogo zetu ila naskia yule mtoto ni babake mambo anayowafanyia wenzie ndio wamepeleka laana kwa tunda.....yaani babaake kapiga adi kachoka.....umaarufu utamponza tunda.....na watamgeuza sana tu

Sabasita yule alikua police??
 
Inabidi mpenda kufundisha ajifungulie sehemu afubdishe hawa wasanii, sijui wataka usanii, celebs, sijui wajulikanao, etc ili wapabde mafunzo ya maisha

Shame watu wanajiwek juu ila papuchi ndio zinawalisha na kuwavisha.

Hakuna tofauti na alie lia juzi mtandaoni kutafuta attention kwa ajili ya majuto na wivu wa ex wake.

Wakiacha kugawa papuchi ili kuishi labda akili zitawajia za kujitengenezea...ila bora hata wangepata hizo pesa na kujiendeleza bali wanauza papu na hawajiendelezi.

Wanabaki kuwa ma star wa kujionyesha instagram...

Mie naamini kama haukubaliki JF basi inabidi ufanye juhudi kupanda hunu ni facts sio -----
 
ndo hiyo officialagnes siioni sijui ndo kaniblock...haipo

Ipo mbona? Leo kapost kwa jina hilo, mie usipojipanga sijui kwa nn kila nikimfollow inaktaa sijui kaniblock au ni tatizo gan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom