Masogange atimuliwa South Africa

Masogange atimuliwa South Africa

Huyu dada niliishi nae jiran Sinza,mama yake akiwa housegirl wa Jamaa flani mwenye nazo kidogo,hana mishe ya mcng zaid ya kuuza "asali yake",..

AHAHAha hah, yani mama ake alikuwa housegirl? YEye kapta bahat anachezea khaaa
 
Atajua mwenyewe ngoja ayaone sasa.Au aende kwa shoga yake chagga bibi wakajiuze wote maana hua naona tambo zao huko insta.

MWaka wake huu atajiju arudi mbeya akalime, binamu umeona tangazo la zari na diamond? Mmh mtoto mkali yule balaa, anavyoongea sasa mmh
 
MWaka wake huu atajiju arudi mbeya akalime, binamu umeona tangazo la zari na diamond? Mmh mtoto mkali yule balaa, anavyoongea sasa mmh

Lile la clouds au lipi binamu? Kama la clouds nimeshaliona zuri kweli.
 
Heaven on Earth nifah Dinazarde @ms lincoln geniveros Evelyn Salt kujeni uku mumpe pole shoga yenu yamemkuta makubwa

Hata kama sijaitwa nimekuja.! Mfyuu zako binamu.
Tunda ndo habari ya mjini.Anakula bata mpaka na manyoya yake, nimemfollow IG.Na kweli kabisa anatoka na huyo said(Kipande cha mtu kama Le Bokoz)
Masogange anaumia sana mpaka alimjia juu said eti malaya sana kila alipomuuliza alisema tunda hatoki naye kumbe anatoka naye.Akajifanya anamwambia kuwa atamsemea kuwa yy muuza unga.
Atajiju na mitako yake mchina.Alidhan mitako ndo mwisho wa matatiz😵na sasa mtaro umezibuliwa bado said kakimbilia kwa kimbaumbau kama Dinazarde.
 
Last edited by a moderator:
Imebaki historia tu, yeye alishindwa ata kufanya biashara uko akalipa kodi mpaka anafukuzwa? Mmh aibu sana huy mrembo akili hana, kapata bahati kachezea

Mbona akikuaga anauza nguo akija huku?
Alafu jamani yule kaka mzurizuri alokua anapiga naye picha alikua nani yake? Mhuu matako haya yamekua adhabu.
 
Hata kama sijaitwa nimekuja.! Mfyuu zako binamu.
Tunda ndo habari ya mjini.Anakula bata mpaka na manyoya yake, nimemfollow IG.Na kweli kabisa anatoka na huyo said(Kipande cha mtu kama Le Bokoz)
Masogange anaumia sana mpaka alimjia juu said eti malaya sana kila alipomuuliza alisema tunda hatoki naye kumbe anatoka naye.Akajifanya anamwambia kuwa atamsemea kuwa yy muuza unga.
Atajiju na mitako yake mchina.Alidhan mitako ndo mwisho wa matatiz😵na sasa mtaro umezibuliwa bado said kakimbilia kwa kimbaumbau kama Dinazarde.

Khaa!! Nilikutag binamu sema sijui nilikosea kuandika jina... loh huyo masogange kichwani hamnazo, yani anamuacha bonge la bwana anaenda kwa vuvuzela tunda? Mmh bora unyimwe kalio upewe akili
 
Last edited by a moderator:
Mbona akikuaga anauza nguo akija huku?
Alafu jamani yule kaka mzurizuri alokua anapiga naye picha alikua nani yake? Mhuu matako haya yamekua adhabu.

Auze nguo wapi wakat alikuwa dalali tu anampostia bidhaa za huyo shoga ake insta ili apate wateja ila sio za masogange, akili hyo hana labda kutafuta wanaume
 
Khaa!! Nilikutag binamu sema sijui nilikosea kuandika jina... loh huyo masogange kichwani hamnazo, yani anamuacha bonge la bwana anaenda kwa vuvuzela tunda? Mmh bora unyimwe kalio upewe akili

Binamu, tunda ndie hako kabinti.
Kazuri kweli.Kuna kipindi kalikua kanachepuana na Chameleone kakatikisa ndoa ya watu.
Huyu ni mrithi halali wa Wema Sepetu.Nakwambia mwaka mmoja ujao atakuwa mbali kiskendo.
 
Hlo pepo lishindwe kabisa mtandao urudi au ndo mambo ya mb8 dada ake?

Binamu huyo ndio kijana wake, halafu nahisi yuko Nigeria if not SA.
 
Attachments

  • 1429105321252.jpg
    1429105321252.jpg
    58.8 KB · Views: 1,452
  • 1429105362391.jpg
    1429105362391.jpg
    61.1 KB · Views: 1,415
Duuuh kweli nimeamini Mungu hakupi vyote. Hawa mabebez wanawazaga bata tu ila future yao hawaikumbuki!
 
Heaven on Earth nifah Dinazarde @ms lincoln geniveros Evelyn Salt kujeni uku mumpe pole shoga yenu yamemkuta makubwa
sheeeeeeee!!!acha nishangae kimasai kwanza...masogange alipost bonge la kitchen akaandika "i miss my kitchen" ha ha ha kumbe mwenye kitchen kampuga na kuna picha nmeiona juz juz yupo bongo nkajua TB kumbe yupo kweli yupo afu zile biashara alikua anatangaza IG lipstic elf 50 sio zake???
 
Last edited by a moderator:
Binamu, tunda ndie hako kabinti.
Kazuri kweli.Kuna kipindi kalikua kanachepuana na Chameleone kakatikisa ndoa ya watu.
Huyu ni mrithi halali wa Wema Sepetu.Nakwambia mwaka mmoja ujao atakuwa mbali kiskendo.

anatumia jina gani Instragram huyo tunda?
 
Hata kama sijaitwa nimekuja.! Mfyuu zako binamu.Tunda ndo habari ya mjini.Anakula bata mpaka na manyoya yake, nimemfollow IG.Na kweli kabisa anatoka na huyo said(Kipande cha mtu kama Le Bokoz)Masogange anaumia sana mpaka alimjia juu said eti malaya sana kila alipomuuliza alisema tunda hatoki naye kumbe anatoka naye.Akajifanya anamwambia kuwa atamsemea kuwa yy muuza unga.Atajiju na mitako yake mchina.Alidhan mitako ndo mwisho wa matatiz😵na sasa mtaro umezibuliwa bado said kakimbilia kwa kimbaumbau kama Dinazarde.
anatumia jina gani nkamuone, na masogange kachange jina nini mbn ile officialagness siioni tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom