Masogange atimuliwa South Africa

Masogange atimuliwa South Africa

Huyu dada simwelewagi kilichompa umaarufu video queen au tako!!!

Kipindi anatoa video hakuwa nq lile tako.Agness anatumia mchina.Kuna dada anasupply huwa anamtaja kuwa ni mteja wake.
 
Hata kama sijaitwa nimekuja.! Mfyuu zako binamu.
Tunda ndo habari ya mjini.Anakula bata mpaka na manyoya yake, nimemfollow IG.Na kweli kabisa anatoka na huyo said(Kipande cha mtu kama Le Bokoz)
Masogange anaumia sana mpaka alimjia juu said eti malaya sana kila alipomuuliza alisema tunda hatoki naye kumbe anatoka naye.Akajifanya anamwambia kuwa atamsemea kuwa yy muuza unga.
Atajiju na mitako yake mchina.Alidhan mitako ndo mwisho wa matatiz😵na sasa mtaro umezibuliwa bado said kakimbilia kwa kimbaumbau kama Dinazarde.
Usijali tutajiita wenyewe warumi mbona anajulikana kwa upendeleo....huyo Masogange alisahau ile kauli isemayo usitegemee pesa ya mfukoni mwa mtu maana hujui mda wala tarehe itayokata akili kumkichwa siku zote..
 
Last edited by a moderator:
Agnes kiwembe naye Mie nkajuwa huyu Tecno ndio Skibii maana kuna kipindi cha nyuma alikuwa anajiita mrsskibii
 
Yupo bongo ,nasikia ni kweli katimuliwa south, sasa ivi anahangaika kutafuta chumba mbezi beach, ila nilimpa ushauri hakuufanyia kazi, angesoma ata mambo cosmetics kama zari, ona sasa anarud bongo kichwan patupu, lugha yenyewe hajui basi kazi tupu, yan bor unyimwe tako upewe akili, kapata bahat kapangiwa nyumba nzuri yeye anawaza kufanya umalaya

Chumba mbezi Beach??? Labda huko temboni
 
Enheee!Silicone Ass +Brazillian Hair=Kuachwa??oohoo!kumbe sio dili tena???
 
Hata kama sijaitwa nimekuja.! Mfyuu zako binamu.
Tunda ndo habari ya mjini.Anakula bata mpaka na manyoya yake, nimemfollow IG.Na kweli kabisa anatoka na huyo said(Kipande cha mtu kama Le Bokoz)
Masogange anaumia sana mpaka alimjia juu said eti malaya sana kila alipomuuliza alisema tunda hatoki naye kumbe anatoka naye.Akajifanya anamwambia kuwa atamsemea kuwa yy muuza unga.
Atajiju na mitako yake mchina.Alidhan mitako ndo mwisho wa matatiz😵na sasa mtaro umezibuliwa bado said kakimbilia kwa kimbaumbau kama Dinazarde.

Ungejua napunguza mwilii niwe modo lo😣😣😣😣😣😣😣😣😣😣😣😣
 
Last edited by a moderator:
Tatizo dada zetu wa siku wakishakuwa zigo kubwa basi tena ishakuwa lulu yani ni sawa na degree + masters...wanabakia kuuza tu
 
Jaman ivi tunda kakumbwa na janga gani yaan nikimuona hua siamin sikuiz mara avute madawa mara south kweli mtoto wa 96 ana mambo makubwa yakushangaza mtoto alikua mpole sjui ni nn kimemuarib
 
Mzee sabasita nae kala hasara na uyo tunda
 
Jaman ivi tunda kakumbwa na janga gani yaan nikimuona hua siamin sikuiz mara avute madawa mara south kweli mtoto wa 96 ana mambo makubwa yakushangaza mtoto alikua mpole sjui ni nn kimemuarib

Chezeaaa mboo
 
Chezeaaa mboo

Yaan izi mbo znatuharibia wadogo zetu ila naskia yule mtoto ni babake mambo anayowafanyia wenzie ndio wamepeleka laana kwa tunda.....yaani babaake kapiga adi kachoka.....umaarufu utamponza tunda.....na watamgeuza sana tu
 
East West home iz da best.

Acheni kumsimanga bana...kama vita ikikuelemea sio ajabu kurudi nyuma kujipanga.....hata Choki karudi Twanga.
 
Kweli warumi sasa nimeona umuhimu wa ushauri uliompa huyu Agnes juzi kati hapa.Ona sasa anaaibika (kama ni kweli maana Shigongo haaminiki aisee)

Daah! unaona sasa!
Sijui hawa dada zetu wanakula maharage ya wapi?
Hawafikirii kesho itakuwaje! No le akiliz!
Ona sasa amekuwa kama mtoto mdogo aliyevalishwa pampas, atabwaya bwaya tu!
Na hili liwe fundisho kwa wenzake
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom