josephmasamaki
Senior Member
- Apr 27, 2011
- 163
- 84
Hadithi nzuri na ya kufunza!
Hahahaaa ataponea wapi Mzikaji na kazikwa nae?
Daah!Mkuu kwanini usiwe "movie director"?
Ha ha ha Sor mi nikajua imeishaMove ndo imeanza! Vuta pumzi.
Wakiwa kwenye gari angeibuka toka kwenye jeneza, ogopa maiti kufufuka asingebaki mtu pale.
Hahahaaa ataponea wapi Mzikaji na kazikwa nae?