sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Msamehe bure
Nishamsamehe bure
Msamehe bure
Hivi utaacha lini kulitamka hilo jina Nicas Mtei?
Nishamsamehe bure
We unataka aite jina gani?
Pole sana my lovely sis... sweetlady, hizo ni njama za mafisadi... Hebu na zishindwe kwa Jina la Yesu!
Wameniachia Mr Rocky....... Zis wei tutakuja na husband Nicas Mtei next week end peke angu hapana
Mhhh Nicas Mtei tena simuamini wala sitaki uje nae
Zis wei unatakiwa kuja mwenyewe bana
halafu sweetlady ule urafiki wako na Mr Rocky uliishia wapi au kuna kidudu mtu kama nitonye na Nicas Mtei na Erickb52 walileta fitinaKama ni hivyo siji ng'oooooooo
Kama baba mzazi nimesikitika sana...
KITENDO alichokifanya hadharani pale Lenana Jumamosi, mbele ya ugeni kinastahili ban kabisa!!
Mimi ni mmoja wa waasisi wa hii ban ya sweetlady...naamini akiwa nje tutasaidika sana!
Tena mwezi mmoja naona kama kidogo, ilitakiwa mwezi na siku mbili!
useless kabisa humjali sweetlady unamuacha mpaka analimwa ban. Shame on you Nicas Mtei hufai kuwa na sweetlady