Maskini Sweetlady

Maskini Sweetlady

hakika ule mlipuko wa jana ulikwenda na watu wengi, kwa ule uzi ni wazi vichwa vya kunyolewa visinge kosekana, watu zaidi ya 12,000 wlikuwa wana ufatilia hule uzi na ulikuwa kwenye ulinzi sana kwa hiyo si shangai vichwa vya kunyolewa kupatikana lakini na sikitika ni shemeji yangu mke wa nitonye. nilitegemea ingekuwa sosoliso au Paloma.

hahahaaaa una balaa wewe.............hivi umeacha kwenda gesti bubu?!?
 
leo nimeenda kichwa kichwa kidogo nilivae,
jamaa kanitolea ya nguoni mazima mazima bila chenga wala nini
manusura nijibu nikaweza kujikontiro na kuondoka huko nduki,
sina hamu tena na siasani kabisa mie.

hahahahaha
 
Mhhh sijaiona hii sweetlady uko wapi aise
kama wamekuachia kwenye ban please come zis wei
 
Last edited by a moderator:
Heheh ngoja nimuandalie kabahasha hapa...

Cash-Advance_C.jpg

Mwanao ananitosha. Bahasha ntampa mie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom