Maskini Sweetlady

Maskini Sweetlady

Hahahahaaa
Mi nilimwambia aachane na JF na habari za jana apike tule akajifanya anakomaa na habari mpasuko lol sangapi nayeye wasimpige Bomu!
Hahahahaaa chezea vib......shia wewe!
Rest In Server my sweetlady


Hahahahahaha..... Hapana chezeiya wala ubwabwa kwa mkono asee.... Ni nouma balaaaa..... Eti kugusa tu kanzu mara paaaaaaa bomu la kutupwa kwa mkono khaaaaa..... Niko huru ila yeyote anaejijua anavaa gauni fupi humu apite mbali na mimi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa huna lolote. Invisible hebu pitisha msamaha kwa malkia wetu sweetlady coz hanaga hayo makwazo sema tu vijana wako walikuwa wakali sana.
Tunammiss sana please samehe 7 mara 70 bila kuchoka.


Santeeeeee....... Amesamehe 7 mara 70 kweli lol
 
Last edited by a moderator:
Na wewe badilisha hiyo avetari bana!...Mimi nasahau kila wakati nataka kukutongoza nikijua ni member mpya!

Hahahahaha.... Kumbe ndio kazi yako kutongoza memba mpya daaah.....

Usiku wa leo ukisikia police wanaruka ukuta kwako ujue uko chini ya ulinzi.... Uanze kujisalimisha mapema
 
M'mbanu.......haiwezekeni......nakata rufaa......lazima nihakikishe unarudi ndani.......hivi unajua Lily Flower alilia sana siku ile......?

Uncle ako Mungi ndie atajiju na mkewe manake mie akuuuuu sikumtuma anikumbatie kimahaba mbele ya mke wake! Lily Flower mfunze mumeo sio unalialia tu kama PM wa nchi
 
Last edited by a moderator:
pole sweetlady ulifanya kosa gani hadi ustahili kusulubishwa asubuhi asubuhi ivi?

Ahsante Kaizer .... Mwenzio nilisulubiwa toka jana lol...... Eti kisa nimekataa kumbusu PakaJimmy .... Nimesikitika sana! Nimeonewa sana na pia Nimefedheheka sana...... Niko kwenye hatua za mwisho kumfungulia PJ kesi ya kunidhalilisha mbele ya umma wa wana jf!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom