Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
HahahahaaaKITENDO alichokifanya hadharani pale Lenana Jumamosi, mbele ya ugeni kinastahili ban kabisa!!
Mimi ni mmoja wa waasisi wa hii ban ya sweetlady...naamini akiwa nje tutasaidika sana!
Tena mwezi mmoja naona kama kidogo, ilitakiwa mwezi na siku mbili!
Mbona alostahili ban ni Crashwise na ilipasa kubadilishiwa kifanyio sema tu nimemsamehe
Last edited by a moderator: