Maskini Sweetlady

Maskini Sweetlady

Pole sana wifi...... Filipo popote pale ulipo asante sana kwa kumtoa wifi yangu wa kweee selo.....what would we have done without a friend like you?

Jamani, sante sana wifi langu...... Ntamwomba pacha wangu TANMO amtafutie Filipo zawadi kwa niaba ya familia
 
Last edited by a moderator:
hakika ule mlipuko wa jana ulikwenda na watu wengi, kwa ule uzi ni wazi vichwa vya kunyolewa visinge kosekana, watu zaidi ya 12,000 wlikuwa wana ufatilia hule uzi na ulikuwa kwenye ulinzi sana kwa hiyo si shangai vichwa vya kunyolewa kupatikana lakini na sikitika ni shemeji yangu mke wa nitonye. nilitegemea ingekuwa sosoliso au Paloma.
 
Hahahaha thibitisha au kanusha hiyo kauli ya kuniita mke wa nitonye kabla sijareport abuse shem
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom