Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Maji yanahamishwa mkondo. Hayazuiwi
hahah dogo naona mkeo ameachiwa......chezeya maji?
Maji yanahamishwa mkondo. Hayazuiwi
hahah dogo naona mkeo ameachiwa......chezeya maji?
hujajua sababu..... unadhani kitendo alichomfanyia Lily Flower juzi ni kitendo cha kuvumilika......?
Kuna mtu altaka kunifanyia hujuma tu.
Nipo kwenye mchakato kuhakikisha mke wangu anakuwa huru.
useless kabisa humjali sweetlady unamuacha mpaka analimwa ban. Shame on you Nicas Mtei hufai kuwa na sweetlady
Mwaaaaaaa
Mwaaaaaaaa
Mwaaaaaaaaa
Hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa..... Thanks husband kwa kumwaga mihela kwa Paw.....mkeo sahizi niko huruuu.... Wenye wivu wajinyonge.....kamba za kujinyongea wachukue kwa Lily Flower
useless kabisa humjali sweetlady unamuacha mpaka analimwa ban. Shame on you Nicas Mtei hufai kuwa na sweetlady
Weeeeeeeee koma ukomae!...... Tena umuache baba wa mwanangu apumue manake hujui alivohangaika mpaka niko huru sasa..... Pita mbali kabisaaaaaa
KITENDO alichokifanya hadharani pale Lenana Jumamosi, mbele ya ugeni kinastahili ban kabisa!!
Mimi ni mmoja wa waasisi wa hii ban ya sweetlady...naamini akiwa nje tutasaidika sana!
Tena mwezi mmoja naona kama kidogo, ilitakiwa mwezi na siku mbili!
Acha wivu Mkuu! Kunisalimia kwa busu la kumbatio ndio umsababishie adhabu kubwa hivyo! lazima niandamane!
sIKUBALIANI NA HUU UTARATIBU ULIOTUMIKA...Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Arushaone saga chupa unywe
Filipo thanks a lot dearest....... Maandamano yako yamefanya nikaachiwa huru...... Hawa police wa jf ni balaa yaani wanaacha kwenda kuwakamata wahalifu wanaolipua makanisa wanakuja kunikamata mimi mtoto mtakatifu......
Thanks again & mwaaaaaaaaaaaaaaaaa...... PakaJimmy utajiju
sIKUBALIANI NA HUU UTARATIBU ULIOTUMIKA...
Hivi kuna mtu ana namba ya Maxence?
Rest In Server sweetlady...ungenitafuta jana wala yasingekupata yaliyokupata.
In the serious note nimeshtushwa sana na taarifa hizi. You shall overcome. Ngoja niangalie kama naweza kuufungua huo mnyororo uliokufunga.
sIKUBALIANI NA HUU UTARATIBU ULIOTUMIKA...
Hivi kuna mtu ana namba ya Maxence?