Maskini Sweetlady

Maskini Sweetlady

Hahahahaha.... Kumbe ndio kazi yako kutongoza memba mpya daaah.....

Usiku wa leo ukisikia police wanaruka ukuta kwako ujue uko chini ya ulinzi.... Uanze kujisalimisha mapema
Naomba uelezee vizuri sentenso hiyo!
 
Look who is back...wooooh!!!

Hehehehehe...... Mkweo Nicas Mtei alivoona dady huna furaha kwa kunikosa binti yako akahangaika usiku kucha.... Anastahili pongezi kwakweli! Ni mume bora dady
 
Last edited by a moderator:
Hehehehehe...... Mkweo Nicas Mtei alivoona dady huna furaha kwa kunikosa binti yako akahangaika usiku kucha.... Anastahili pongezi kwakweli! Ni mume bora dady

Heheh ngoja nimuandalie kabahasha hapa...

Cash-Advance_C.jpg
 
Hahahaaa mi naendaga ila nakuwa mvumilivu sana na naheshimu fikra za wajinga coz ndio kiwango chao kimefika mwisho.

Ooh ya jana ilikuwa too much, mtu anavaa gauni fupi na bara.......shia then anaichambua sakramenti as if anaijua maana yake daaah.... Mungu awasamehe sana manake wala hawajui walitendalo
 
leo nimeenda kichwa kichwa kidogo nilivae,
jamaa kanitolea ya nguoni mazima mazima bila chenga wala nini
manusura nijibu nikaweza kujikontiro na kuondoka huko nduki,
sina hamu tena na siasani kabisa mie.

Hahahaaa mi naendaga ila nakuwa mvumilivu sana na naheshimu fikra za wajinga coz ndio kiwango chao kimefika mwisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom