Maskini Sweetlady

Maskini Sweetlady

Hahahahaha..... Ndio mana I love you dady.... Ila mkweo sina hakika kama anahitaji bahasha..... Hiyo ameifanya kuonyesha upendo.... Si unajua tuliapa kwa shida na raha eeh

Daughter yaani hapo ni kuonesha furaha tu...si unajua mie daddy wako nikifurahi huwa nazitoa tu!!!
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Arushaone saga chupa unywe

Filipo thanks a lot dearest....... Maandamano yako yamefanya nikaachiwa huru...... Hawa police wa jf ni balaa yaani wanaacha kwenda kuwakamata wahalifu wanaolipua makanisa wanakuja kunikamata mimi mtoto mtakatifu......

Thanks again & mwaaaaaaaaaaaaaaaaa...... PakaJimmy utajiju
kwani ilikuwaje wifi?
pole sana na kifungo...... niliona muda fulani ila nikatingwa kidogo na majukumu
 
nakanusha ...........habari ya kifungoni.........inaelekea wakili wako yuko safi sana ashayamaliza mapema hivi

Una bahati umekanusha mpalu manake hizi hasira za kifungoni nilijua zitaishia kwako leo lol..... Wakili yuko vizuri sana.... Amepambana toka jana nilivotiwa kifungoni leo asubuhi mishale ya saa 4 nikaachiwa huru..... Ila tumemwaga mapesa mengi sana kwa Paw , asipomalizia ujenzi wa ile ghorofa yake ni bahati
 
Last edited by a moderator:
kwani ilikuwaje wifi?
pole sana na kifungo...... niliona muda fulani ila nikatingwa kidogo na majukumu

Ahsante wifi kipenzi FP .... Yaani ni hadithi ndefu wifi na inahitaji nafasi ya kutosha..... Mabomu ya jana kanisani yamenletea kizaazaa mwenzio lol..... Ila nashukuru niko nje kwa dhamana mwaya

Afu ulimwona pacha wangu TANMO juzi? Amerudi kwa ari, kasi na nguvu mpya hivyo jiandae wifi
 
Ila wifi hata mimi yale mabomu yaliniweka chini sana.....
nilichoamua kufanya ni kuingia jf kama guest ili kukwepa ban, lol!
sijui tunaelekea wapi?
Usiendelee kulichangia hili la mabomu usije ukarudi lupango wifi
 
Acha tu mpendwa wangu, tunakoelekea Mungu ndie anajua dear..... Kule sitii mguu mie , leo acha nibakie huku kufuta machozi ya kuwekwa selo toka jana lol..... Maandamano ya Filipo yamesaidia wifi acha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Una bahati umekanusha mpalu manake hizi hasira za kifungoni nilijua zitaishia kwako leo lol..... Wakili yuko vizuri sana.... Amepambana toka jana nilivotiwa kifungoni leo asubuhi mishale ya saa 4 nikaachiwa huru..... Ila tumemwaga mapesa mengi sana kwa Paw , asipomalizia ujenzi wa ile ghorofa yake ni bahati
mi nilijua tu....kule sio kuzuri.....nikajua usijeukanirarua bure........ Baba V inabidi awe karibu na huyo wakili maana yeye majanga huwa hayampitii mbalii
 
Last edited by a moderator:
Acha tu mpendwa wangu, tunakoelekea Mungu ndie anajua dear..... Kule sitii mguu mie , leo acha nibakie huku kufuta machozi ya kuwekwa selo toka jana lol..... Maandamano ya Filipo yamesaidia wifi acha kabisa
Pole sana wifi...... Filipo popote pale ulipo asante sana kwa kumtoa wifi yangu wa kweee selo.....what would we have done without a friend like you?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom