Aha haah hahaha h ahaha hh nilikuwa sijaiona hii thread KWA ASILIMIA 98 (98%) NINAAMINI HII IMEKUJA ILI KUFUNIKA ULE UKWELI KWENYE ILE THREAD YAKO YA NYUMA................ SIKUPI POLE NAJUA HII NI "COOKED" NA KUJARIBU KUAMINISHA WATU TOFAUTI NA UKWELI. kitu kimoja ambcho unasahu ni kuwa kipindi ile hukuwa kama ulivyo leo hii kwenye JF. NINAOMBA KAMA SIYO YA KWAKO..... MSAIDIE TUUU MHUSIKA AMA SIMAMA AS A THIRD PARTY
nNakutakia siku njema dada.
ruksa kuni-pm

nakuja na kisa kingine tena, mie naitwa mama Jafari!
Kwenye uelezeaji wa story kuna namna nyingi sana.
Lazima uone kwa jicho la 3, utakuwa unakula makapi mengi.
Mbona umekuja kiuchokozi hivyo weye?
anataka PM, hujamsoma pale chini?
hivi warembo kama nyie mnamgombea rejao kwa lipi hasa? mpua? upara? mijicho? au mambo mengine mengine?heh, Canta kamtorosha Rejao, tena alimbeba kama chagulaga wakati Rejao anatoka shambani.
Canta hafai kabisa.
nakuja na kisa kingine tena, mie naitwa mama Jafari!
Kwenye uelezeaji wa story kuna namna nyingi sana.
Lazima uone kwa jicho la 3, utakuwa unakula makapi mengi.
Hii story imekaa ki-kutungwa tungwa tuuu.... nashukuru kuwa pamoja na hayo yote HAKUNA SEHEMU UMEKANUSHA FINDINGS ZANGU
Ila kwa miaka hiyo,kuoa mtu wa kabila tofauti...mh.. Ni kama "kituko cha mwaka" katika familia yenu au ukoo..
Yaani ilikuwa ajabu sana,na wanafamilia wanahisi huenda umerukwa na akili!
kesi sio PM, (japo ukinitumi nitafurahi pia) ila najua huwezi kukikimbia kivuli chako
hujaliona fundisho au unasanifu?hadithi yako nzuri je inatufundisha nini?