maskini rejao...

Ndo natoka kuchungulia jukwaa la siasa,du maskini rejao,nimekuta anapewa za uso.........poor guy.....namsifu ana moyo lakini maana katika hali ya kawaida ukidundwa ile mingumi utaishia mwaisela.
Aisee Bishanga...
Unataka nikuanzie na wewe? kwa stahili hii naaona unataka kuniharibia ndoa yangu!!!
 
Last edited by a moderator:
humpendi unamwogopa maana kazi yake yeye kutishia watu maisha,jikomboe Lizzy achana naye atakuua kwa miwivu huyo.
Hahahahaha halo haloooooo!!
Bishanga utakufa kwa kijiba cha roho nakwambia. Mwenzio anapendwa na yeye anapenda, wewe tu umebaki!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom