Idiot Imbecile
Senior Member
- Nov 7, 2024
- 135
- 313
Hata fisiemu kimoyomoyo wanasema no reform no election!
Kumbe kweli uliumwa, pole mkwe.Kwanini alitenguliwa uwaziri..?
Ebu anzia hapo kwanza
Paskali cha pombe sijui yupo wapi Anko pasco. Ummy alisema Bi. Mkubwa anakunywa sana KVANTMama Paskali
lini hio?Shida ni Ile voice ilivuja akimteta kizimkazi kua akiwa white house anapiga Sana vyombo na fegi
Akipata hata urc nitafute, DM,uweke namba nakutumia laki Moja ukanunue G Sting,Ummy, anaweza kuwq mteule ktk nafas 10 za mama.
Si unajua connection bhana.
Ondoa hofu huyo ni Mhe. Balozi wa JapanDah! Hadi huruma, Ummy wangu 😭😭
Hujawaza vizuri, huwa inategemea na personality ya Raisi. Raisi wa sasa anafahamika mbele za watu kama mshika dini kutokana na namna alivyojiweka kuanzia mavazi(hijabu), hivyo kwa namna yoyote watu hawategemei awe hivyo alivyosemwa.Hapo aliongea ukenge na yeye maana kuwa Rais haizuii personal life hasa pombe na hizo sijui fegi
We Ile view ya bahari kutokea pale ikulu jioni na upepo mwanana ungeusindikiza na nn hasa ukiwa umechanganywa na mambo meeeeeengi
Hivi sisi Watanzania nani katuroga? Cheo cha umma ni dhamana! Kauli kama hizi ndizo zinatoa uhalali kwa baadhi ya watu kutotaka kuachia madaraka ya umma. Tusiendeleze hii tabia. Acha kumtuhumu Mhe. Rais.Alianza kumuondoa katika Baraza la mawaziri.
Licha ya kushika nafasi ya kwaza katika kura za wajumbe pale Tanga mjini jina lake limekatwa huku Halmashauri Kuu ya CCM NEC
Wee em sema kweli? 😂😂😂😂Akipata hata urc nitafute, DM,uweke namba nakutumia laki Moja ukanunue G Sting,
Nani kakwambia wanasiasa wanataka madaraka sababu ya pesa? Kwani Kimei, Gwajima, Tarimba hawakuwa mabilionea mbona waligombea ubunge?Unamlilia MTU ambaye ni well off and richest ambaye amekaa bungeni over 10 yrs na amekuwa waziri kamili .
A richest woman .
Yule ameshaandaa wealth generation she can't be poor by any means .
Kumbe hadi fegi!Shida ni Ile voice ilivuja akimteta kizimkazi kua akiwa white house anapiga Sana vyombo na fegi
Huyo ni Mhe. Balozi mtarajiwa wa Nchi ya JapanHata fisiemu kimoyomoyo wanasema no reform no election!
po za laki G Sting ,au nimekuacha chalinze WAKati tunaenda TANGA?Wee em sema kweli? 😂😂😂😂
Unaijua NEC? baba levo ni mbunge tayari. LolIla baba levo kigoma hatoboi,Bora wangemuacha kilumbe Nenga.
Jimbo linaenda ACT saa nne kamili asubuhi October 29
Nahisi Segera, 😂😂😂Zi
po za laki G Sting ,au nimekuacha chalinze WAKati tunaenda TANGA?
Unaujua mziki wa ACT? Lile Jimbo tayari la ACT,hili sikuahidi,ila siku ikifika ndiyo utaamini.Unaijua NEC? baba levo ni mbunge tayari. Lol
ZZK anagombea jimbo gani? Nakuambiaje Baba Levo ni mbunge tayari.Unaujua mziki wa ACT? Lile Jimbo tayari la ACT,hili sikuahidi,ila siku ikifika ndiyo utaamini.
Tunza hii comment,nadhani unamsikia Abdul Nondo,tena msomi mwenzio,ndiyo anaenda kugombea pale.
Hatuwezi kuwa na MBUNGE ambae alisema angekua she angemzalia 💍 watoto kumi.
Type of ........... Which is very small😀😀and attracted.Nahisi Segera, 😂😂😂