Maskini Dk. Ummy Mwalim amemkosea nini Samia

Maskini Dk. Ummy Mwalim amemkosea nini Samia

Unamlilia MTU ambaye ni well off and richest ambaye amekaa bungeni over 10 yrs na amekuwa waziri kamili .

A richest woman .

Yule ameshaandaa wealth generation she can't be poor by any means .
Hivi wewe unaoona umaskini tu ndio unaotesa duniani, kama ni hivyo wapiga vigeregere maarufu wasingekuwa akina mama wanaotokea vijijini. wanajua kupiga vigeregere kwa sababu huwa wanavipiga toka utoto wao wakati wa furaha!
kuikosa hadhi uliyokuwa nayo inaweza kukutesa kuliko umaskini unaousema.
 
Ummy hatakiwi hata kulalamika, anyamaze kimya kwani hawahawa waliomkata 2027 wataanza kumkosea Mama adabu, ajipange vizur kabisa ili 2027 hata hiyo Rajabu wizard atayaaga mashindano, Uwenyekiti wake ulitokana na ujinga wa Wasambaa wawili wa Lushoto kufanyiana fitina, 2027 hata uchaguzi usimamiwe na Mama mwenyewe hapiti watu washausoma mchezo wote na hapo Ummy atalipa kisasi vizur.
Wanu Amer amalize tu kuna bomu linawafata ikiwemo familia ya Mwinyi, kama yao akimaliza na Mama wakimaliza basi wote waliomshangilia watalipa gharama za usaliti.
 
Back
Top Bottom