Kati ya maajabu katika siasa ni ya chadema. Hawatambui matokeo ya urais halafu rais wanamtambua. Hii ni kali kama huamini kuwa hakushinda kwa halali basi ili takiwa asitambulike kama raisi halali. Wadau hebu tujadili hili. Sheria inasema rais akitangazwa basi. Lakini kutomtambua kwa namna yoyote kisiasa sheria haisemi chochote. Kinachosemwa rais wa nchi aheshimiwe. Kwa chadema peoples power hapa wanatuchanganya
Gurudumu na mashaka na elimu yako but anyway uhuru wa kujieleza. We jibu hoja. Unaelewa nini kutokukubali matokeo ya urais na hapo hapo kumkubali rais wa nji.

Mwanakijiji lini umeanza kufundisha logic? Tukienda kwenye hoja, kimsingi hili suala la CHADEMA kutotambua/kumtambua Rais au mfumo kama wanavyoita ni kuwachanganya wananchi. Hivi hawakujua kuwa wanaingia kwenye uchaguzi hali ikiwa vipi? Na kama walipanga kuingia katika hali yoyote mbona justification za kushindwa ni za kujichanganya. Hapa kuna haja ya tamko rasmi la CHAMA kuliko kama ilivyo sasa hivi. Ukimsikia Mbowe, Slaa na Zitto basi unachanganyikiwa. Otherwise waseme rasmi kama alivyosema Mbowe uchaguzi umekwisha na tumejifunza haya na wamobilise wananchi wawasaidie kupatikana hayo mahitaji ya uchaguzi ujazo.ndio maana nahitaji kutoa somo juu ya logic!!! sijui watu wanajenga vipi hoja wakaridhika katika vichwa vyao.
nilisema huko nyuma, Chadema hawajipanga, wakanishukia, bora sema wewe Anfaal na pia usubirie kushukiwa.Hapa kuna haja ya tamko rasmi la CHAMA kuliko kama ilivyo sasa hivi. Kiufupi hali ilivyo sasa hivi viongozi wa CHADEMA hawaelewi wanataka nini!
Jamani ni wapi pale CHADEMA ilisema haitambui rais? Nielimisheni.Mwanakijiji lini umeanza kufundisha logic? Tukienda kwenye hoja, kimsingi hili suala la CHADEMA kutotambua/kumtambua Rais au mfumo kama wanavyoita ni kuwachanganya wananchi. Hivi hawakujua kuwa wanaingia kwenye uchaguzi hali ikiwa vipi? Na kama walipanga kuingia katika hali yoyote mbona justification za kushindwa ni za kujichanganya. Hapa kuna haja ya tamko rasmi la CHAMA kuliko kama ilivyo sasa hivi. Ukimsikia Mbowe, Slaa na Zitto basi unachanganyikiwa. Otherwise waseme rasmi kama alivyosema Mbowe uchaguzi umekwisha na tumejifunza haya na wamobilise wananchi wawasaidie kupatikana hayo mahitaji ya uchaguzi ujazo.
Kiufupi hali ilivyo sasa hivi viongozi wa CHADEMA hawaelewi wanataka nini!
Gurudumu na mashaka na elimu yako but anyway uhuru wa kujieleza. We jibu hoja. Unaelewa nini kutokukubali matokeo ya urais na hapo hapo kumkubali rais wa nji.
Sasa hivi wamegeuza kauli wanasema hawatambui mchakato uliyomuweka Rais madarani. Sasa km hutambui mchakato, je utambua huyo aliyeletwa na mchakato?Jamani ni wapi pale CHADEMA ilisema haitambui rais? Nielimisheni.