Dr.zero
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 964
- 434
ulitaka kumuoa Baba V?
Makubwa!
Ugomvi huo, atarudi hapa..... thijui kitakachofuata
ulitaka kumuoa Baba V?
Makubwa!
Kwahiyo ulielewa kwamba jamaa anataka kumuoa Baba V? You must be kidding!? Huu ni upuuzi kabisa!!!
wallah mi sijaelewa ndo maana nikamuita na mkewe anidhibitishie ka mumewe ndo kishakuwa hivyo au muandishi kazusha sa atamuoaje baba v jamani?
ummu kulthum kijiti na jicho hicho,...!! hala hala akirudi hapa msikimbie
ummu kulthum kijiti na jicho hicho,...!! hala hala akirudi hapa msikimbie
hahahaa watu watasambaana hapa chit-chat ndio maana mie kimyaaaa!
Hivi mshamake umoja?
Mods muhurumieni mwenyekiti wetu aje hapa kufungisha ndoa,lol!
Mods wana hasira vibaya,wamemtunza ban guest house hadi tar.15 dadadeki!!!
binafsi sita mkimbia na nishaanza kusaka mawakili kila kona wa kunisaidia ka na wewe unahitaji leta tu cv yako ka unaijua sheria na ukasoma school of law ili nichomoke kwenye hili sakata!!!sitamkimbia NAKUAHIDI SIKIMBIE TATIZO ambalo limesabibishwa muandishi.
Ha ha ha
ulitaka kumuoa Baba V?
Makubwa!
wallah tena !ndivyo nilivyoelewa na ndio maana kwenye comment yangu ya mwanzo nikaandika sitaki kuamini hichi kitu wapi mama v aje aseme ukweli? sa na we nawe upuuzi wangu uko wapi?alichokosea ndio hicho angeweka na NA MWENYEKETI BABA V NA SIJAJUA KAMA AMEKOSEA MPAKA ALIPO NIITA MJINGA AF HUJUI KAMA NI MWENYEKETI?hebu fikiria kidogo af uje na jibu nana mjinga?AF UPUUZI UKO WAPI?
kipi kikuchekeshechacho!!!!?????