Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Hivi nini kimemsibu m/kit wetu?mi sjamkashifu jaman angalieni muandishi alichoandika na ndio nikamuita mwanamke mwenzangu aje anitoe huu utata.kwani hii tabia kaanza lini?
Mods muhurumieni mwenyekiti wetu aje hapa kufungisha ndoa,lol!
ivi ya kwetu lini tena?
Hivi nini kimemsibu m/kit wetu?
Alienda kule wanakopigana vita ya maneno...
mke mwenza, happy new year!ondoeni shaka vijana.....
Mie ndo kaimu wake.........
Kuanzia kesho ndoa za mafungu.....
Tafadhali jiandikishe mapema....
Acha ujinga wewe,hujui kuwa huyu ndiye mwenyekiti wa mahusiano na ndoa hapa?
Kitu gani umeandika hapa!!!?
dah muandishi taratibu kwanza,ungeandika kuwa ni mwenyeketi af ukaniita mjinga hapo ingepoa nami ningeukubali ujinga wangu lakin umeandika NATAKA KUOA HIVI,BABA V AMEPIGWA BAN kwa njinsi nilivyoelewa ndivyo nimecomment ujinga wangu uko wapi?sio wote wanaokuja humu wanajua kila kitu kinachoendelea humu ungeitoa kwenye sentensi tata na kuwa kwenye sentensi sahihi kama hivi,NATAKA KUOA HIVI KARIBUNI,NA MWENYEKETI WETU Baba V AMEPIGWA BAN NIFANYEJE?huyu jamaa namuheshimu sana sasa haka katabia kamenishangaza sana ukitoa selo jamaa unione
mke mwenza, happy new year!