Maskini Baba V!!!

Maskini Baba V!!!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,983
Jamani,mie ndio nilikuwa nataka kutangaza nia ya kuoa hivi,na Baba V amekuwa BANNED!!
Sijui nifanyeje!!
 
Last edited by a moderator:
Alienda jukwaa la siasa huyu Baba V
 
Last edited by a moderator:
yaan ndugu muandishi umenifumbua macho kumbe Baba V si riziki?sitaki kuamin hii kitu wapi Mama v uje unitoe utata ni kweli mumeo bwabwa?
 
Last edited by a moderator:
True mods mpeni japo kifungo cha nje awe anauwezo japo wa ku LiKe Baba V huku tumepungukiwa
 
Last edited by a moderator:
yaan ndugu muandishi umenifumbua macho kumbe Baba V si riziki?sitaki kuamin hii kitu wapi Mama v uje unitoe utata ni kweli mumeo bwabwa?

mmmh ummu kulthum inamaana umeshindwa kung'amua maneno ya mwandishi mpaka utake kuleta kashfa nzito? Kwa uelewa wangu mwandishi atakuwa anamaanisha kutokuwepo kwa m/kt Baba V ambae ndie mtayarishaji mkuu wa ndoa.
 
Last edited by a moderator:
yaan ndugu muandishi umenifumbua macho kumbe Baba V si riziki?sitaki kuamin hii kitu wapi Mama v uje unitoe utata ni kweli mumeo bwabwa?

Uwi mama v njo huku mumeo anakashifiwa huku eti gari yake haipigi start mpaka ibustiwe
 
Last edited by a moderator:
mmmh ummu kulthum inamaana umeshindwa kung'amua maneno ya mwandishi mpaka utake kuleta kashfa nzito? Kwa uelewa wangu mwandishi atakuwa anamaanisha kutokuwepo kwa m/kt Baba V ambae ndie mtayarishaji mkuu wa ndoa.

wallah mi sijaelewa ndo maana nikamuita na mkewe anidhibitishie ka mumewe ndo kishakuwa hivyo au muandishi kazusha sa atamuoaje baba v jamani?
 
Last edited by a moderator:
Uwi mama v njo huku mumeo anakashifiwa huku eti gari yake haipigi start mpaka ibustiwe

mi sjamkashifu jaman angalieni muandishi alichoandika na ndio nikamuita mwanamke mwenzangu aje anitoe huu utata.kwani hii tabia kaanza lini?
 
mi sjamkashifu jaman angalieni muandishi alichoandika na ndio nikamuita mwanamke mwenzangu aje anitoe huu utata.kwani hii tabia kaanza lini?
Hahahahahaha!
Nimegundua kumbe ata wewe unaitafuta BAN ili umfuate huko huko.
'Mama V' kuwa makini na huyu mtu maana naona mwenendo wake unatia shaka lol!
 
Huyu Ankal kakutwa na kitu chenye ncha kali...
 
Duh... Naona Baba V kaangukia pua asee.... Mbaya xanaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha!
Nimegundua kumbe ata wewe unaitafuta BAN ili umfuate huko huko.
'Mama V' kuwa makini na huyu mtu maana naona mwenendo wake unatia shaka lol!

sijawahi pata ban na siitaki ila mi nilikuwa nauliza tu kwa uzuri ,kutokana na muandishi alivyoandika ni sentensi tata nami nataka nitolewe kwenye huu utata,mama v shoga angu tumechezea vifuu na sasa tunawajukuu je ni kweli?
 
ondoeni shaka vijana.....
Mie ndo kaimu wake.........
Kuanzia kesho ndoa za mafungu.....
Tafadhali jiandikishe mapema....
 
unajua nilisinzia. Hivi ndoa yako ilishafugwa?

tarehe bado aisee. Afu wewe dada wewee mie sijaona hata ulivyojipanga naona tu unaingia ndani na kutoka hata sikuelewi eti au humpendi wifiyo? Funguka bhana kama vipi nitupe kulee!sitaki kukuzi wadada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom