Masikini anatamani kila mtu awe masikini

Masikini anatamani kila mtu awe masikini

Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.

Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.

Ila huu ukamataji 🙌🙌
Nimeona ile video jinsi watu wanavyoshangilia na kupayuka"eti wewe nani,wewe nani usikamatwe".
Kwa hiyo hapo maskini ndio wanapata sehemu ya kujifariji kwamba wao waendesha bodaboda na mmiliki wa mabus wapo na kiwango sawa
 
Kwa hiyo wivu uko wapi hapo? Sheria imefuatwa ..Jamaa bado akili yako ina vumbi .
Sheria imefuatwa sawa
Lakini kwanini katika hekaheka kama hizo za kutafuta riziki mwanaume mwenzio anapata changamoto we unashangilia?

Kama una ielewa wa Maisha na struggle tunazopitia unaweza kaa kupiga makofi mwenzio akijikwaa?
Kama sio roho ya umaskini ni Nini?
 
Hata aliyewanyima nae hakua sahihi,amechanganya masuala binafsi dhidi ya maslahi ya UMMA ambao ndio wengi
Wachimbaji wadogo wanaathirika sababu ya kundi la wachache ambao tayari wamefanikiwa.sijui wanafikiria Hilo?
Muuza nyanya Leo akinunua range basi wauza nyanya wengine Tz wote wamejipata si ndio?
Inafikirisha
 
Sheria imefuatwa sawa
Lakini kwanini katika hekaheka kama hizo za kutafuta riziki mwanaume mwenzio anapata changamoto we unashangilia?

Kama una ielewa wa Maisha na struggle tunazopitia unaweza kaa kupiga makofi mwenzio akijikwaa?
Kama sio roho ya umaskini ni Nini?
Watu wanashangilia mpaka kifo sembuse mtu kusegwa , mbona mtajiri mna insucurity sana , kwani maskini anafurahi kushikwa kwako basi anakuchukia kisa una pesa ?

Pesa inakufanya unajishtukia kama unaoga nje , kumbe pesa zinawatesa sana , mpaka mnaishi kwa uoga na wengine wanaweka body guards 😀 😀 ..Huku mtaani ukifumaniwa utachekwa , watu wakipigana watachekwa na wengine wanafurahi.
 
Mzee mi bado ila ni tajiri mtarajiwa🤣

Uongozi dhambi,roho ya kimaskini imetawala sana.
 
hivi hawa maskini wenye roho mbaya wako wapi? maana humu wanasemwa hao maskini kama vile watu wote humu mna maisha makubwa kama tirisho

humu 90% tuna maisha magumu mnooo sema kidogo tumepita fm 4 ndo maana kelele nyingi kumbe na sisi n wale wale
 
Back
Top Bottom