Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

...Ndio maana wameuliza watu humu kama umekisoma, na umekielewa.

...Hoja sio bure, la. Kinachojadiliwa ni lengo la mkopo. Kwamba, unatolewa ili kukuingiza kwenye deni lisilolipika na kukutia matatizo ya kiuchumi. Si kwa ajili ya kufanikisha miradi ya maendeleo. Utakapokwama, unakuwa katika nafasi ya kutekeleza wanayotaka.
Unayoshida, upo lamu?nadhani karibia ufike somalia, ujamaa umeshakuandaa kuwa na chuki na kutafuta ketu kibaya kwa gharama yoyote . Hujawahi jiuliza kwa nini mkope, na kwanini wajamaa ndio wanakopa vibaya? Si kwamba mabepari hawakopi, US anakopa uchina deni la kutisha.Tena china ana furaha kumkopesha US kuliko mjaa mwenzie. Kwa vile mjamaa ni hasara kumkopesha ni risk business. Ndio maana akishindwa lipa analia eti kwanini kakopeshwa?Sijui alita achwa na njaa afe?Hawajiulizi kwanini walikopa kula na si kuzalisha.
 
...Deal hapo lilikuwa ni ku guarantee dominance ya dola kama trading currency.
Haha..sasa kufight dolar iwe juu ni dhambi?Kwani kwanini na nyinyi msipadishe tsh shillings. ndio maana nakuambia ujamaa ni ushetani, ni mfumo wa wivu kwa mafanikio ya wengine. Sasa unalia na mwingine kupandisha yake, km vile umenyimwa kupandisha yako. NASHUKURU KUPATA MFANO HAI HAPA WA KUENDELEA THIBITISHIA JUKWAA JINSI MIJAMAA HAIWEZI ONA DETAILS ZA MUHIMU KTK LOLOTE HATA MIKATABA.

Ukijumlisha vilio vya watz kwa lugha mbalimbali zinazoonyesha kikwazo ni serikali. pamoja na mbwembe nyingi mdomoni ila kivitendo serikali ndio shida. UKIANZA NA URASIMU, KUSHAMBULIA WAZAWA WA KANDA FULANI FULANI NA KULINDA WAGENI, AU WATZ WASIO NA UWEZO KIFIKRA, KUCHAGUA WATENDAJI WALIO FIKRA MBAYA, KUFUNGIA REPORT NA MAPENDEKEZO MAZURI, KUWEKA TAFITI KTK MASHELFU , KUUA VYAMA VYENYE VIKRA MPYA, KUDANGANYA WATZ, KUHUJUMU HELA ZA MIRADI. NI MENGI...
 
Kama hufahamu ustawi wa jamii hauna faida katika mfumo wa kibepari. shida za walio wengi ndio zinaufanya unyonyaji uishi. Sasa wanapoona watu wameshakata tamaa na hawatafuti tena maisha mazuri ambacho ndicho chambo na matumaini ajengewayo anayenyonywa. Wanataka kulegeza kamba na kutafuta mbinu nyingine salama zaidi. Kama mabepari wakuu wenyewe wameona mbinu ya kunyonya mpaka tone la mwisho la damu haifai, wanatafuta mbinu mbadala huu ndio muda wa kujichomoa katika makucha na sio kuendelea kung'ang'ania.
...Ustawi wa jamii una faida sana katika mfumo wa kibepari. Kama jamii ni maskini, bidhaa za viwanda zinauzwa kwa nani? Umeshajiuliza kwanini figures za consumer spending ni kitu cha muhimu katika soko la magharibi.

...Mfumo wa kibepari na utamaduni wa magharibi, una kawaida ya kujisahihisha, kwa amani au vita. Recall the French Revolution, New Deal, Marshall Plan, etc,.

...Tunajichomoa vipi kwenye makucha yao? Tusipoteze muda kufikiria jinsi ya kujichomoa kwenye "makucha", hatunao. Tuelekeze nguvu zetu kwenye shughuli za maendeleo.
 
Haha..watu wanaspend kwa vile wanaweza mpuuzi wewe, wajamaa hawana cha kuspend na huwa hawaspend wisely. Sasa kujisahihisha unaona ni shida?

French revolution iligeuza french kuwa socialist country,na hivyo kuipoteza ujerumani ikapaa. Hizo marshal plan ilifanywa na US kwa sababu US mara nyingi huikomboa Ulaya ambayo, hujitumbukiza ktk tabia za kijamaa vibaya kila mara watu wa ulaya mashariki wanavyozidi na kuponza wanasiasa wa mrengo legelege km ccm kupata kura.

Wewe makucha yapi unayaona?Upo delutional mwehu wewe, mimi sioni mengine zaidi ya ccm makucha ya ujamaa. Anza na akili yako kwanza ndio uje tuongee km unaona kucha nyingine na ni zipi?
 
Unayoshida, upo lamu?nadhani karibia ufike somalia, ujamaa umeshakuandaa kuwa na chuki na kutafuta ketu kibaya kwa gharama yoyote . Hujawahi jiuliza kwa nini mkope, na kwanini wajamaa ndio wanakopa vibaya? Si kwamba mabepari hawakopi, US anakopa uchina deni la kutisha.Tena china ana furaha kumkopesha US kuliko mjaa mwenzie. Kwa vile mjamaa ni hasara kumkopesha ni risk business. Ndio maana akishindwa lipa analia eti kwanini kakopeshwa?Sijui alita achwa na njaa afe?Hawajiulizi kwanini walikopa kula na si kuzalisha.
...Uwe unasoma na kuelewa, acha kuja na hoja preconceived.

...Mikopo inayoongelewa hapa, ni ile iliyoelezewa kwenye kitabu, ambayo iko straight forward. Kama huikumbuki au huifahamu, hilo ni tatizo.

...Deni la US kwa China, ni issue nyengine tafauti, inajaa kitabu makini cha kurasa zisizopungua 300.
 
Haha..watu wanaspend kwa vile wanaweza mpuuzi wewe, wajamaa hawana cha kuspend na huwa hawaspend wisely. Sasa kujisahihisha unaona ni shida?

French revolution iligeuza french kuwa socialist country,na hivyo kuipoteza ujerumani ikapaa. Hizo marshal plan ilifanywa na US kwa sababu US mara nyingi huikomboa Ulaya ambayo, hujitumbukiza ktk tabia za kijamaa vibaya kila mara watu wa ulaya mashariki wanavyozidi na kuponza wanasiasa wa mrengo legelege km ccm kupata kura.

Wewe makucha yapi unayaona?Upo delutional mwehu wewe, mimi sioni mengine zaidi ya ccm makucha ya ujamaa. Anza na akili yako kwanza ndio uje tuongee km unaona kucha nyingine na ni zipi?
...Umetumia muda wako hapa, kunitusi tu na si kujenga hoja yeyote. Ndivyo ulivyofunzwa?

...Nimejibu hoja ya mwengine, wewe umeidandia bila hata kuisoma na kuelewa. Endelea na ujinga wako, nami nitakuelimisha pale inapobidi.
 
Unashangaza kweli sana, unataka wewe uwe hoja sasa. Sasa ukiwa hoja wewe si utakuwa kipengele tuu cha uzao wa shida ya ujamaa na CCM. Sasa km hujui kuangalia data za responsible spending kuwa ni dalili njema. Ndio uchumi wa kujitegemea na soo la ndani?Ndio mwanzo wa idara nyingine kuanza tengeneza faida ya kujitanua? Sasa km hujui hivyo halafu unanipotezea muda kwanini usiwe mpuuzi? Kwa akili ya kijamaa umeshapata ulichokuwa unataka, adui wa kulaumu. YOU ARE REAL SICK.
 
French revolution iligeuza french kuwa socialist country,na hivyo kuipoteza ujerumani ikapaa.
...France ipi iliyopotea? Hii yenye Alstom, Dassault, Total, Airbus, Areva, Carrefour, CMA CGM, DCNS, Michelin, n.k.
 
Unashangaza kweli sana, unataka wewe uwe hoja sasa. Sasa ukiwa hoja wewe si utakuwa kipengele tuu cha uzao wa shida ya ujamaa na CCM. Sasa km hujui kuangalia data za responsible spending ni dalili njema. Ndio uchumi wa kujitegemea na soo la ndani?Ndio mwanzo wa idara nyingine kuanza tengeneza faida ya kujitanua? Sasa km hujui hivyo halafu unanipotezea muda kwanini usiwe mpuuzi? Kwa akili ya kijamaa umeshapata ulichokuwa unataka, adui wa kulaumu. YOU ARE REAL SICK.
...Tulia ujenge hoja. Muda unajipotezea mwenyewe!
 
...France ipi iliyopotea? Hii yenye Alstom, Dassault, Total, Airbus, Areva, Carrefour, CMA CGM, DCNS, Michelin, n.k.
Km hujitambui utaweza tambua vipi mafanikio na kushindwa kwa mabepari?Kwako hayo mafanikio utaona ni kila kitu, km wenzio kwa sasa wangekuwa wanafikirai kuanza kula bata na kupewa likizo kwa miaka kadhaa.Ila wenzio wanajua kwamba walipaswa pata zaidi , ili waweze jiimarisha kwa misukosuko na mabadiliko ya dunia . Wapuuzi km nyie hamna uharaka kwa vile hamjioni karibu mdondoko kutoka utu na kuwa km wamyama pori wasiweza bila kusaidiwa,ila hawasaidiki kwa jinsi walivyogandamana na matatizo.

Kwa taarifa yako US wanaitambua france km socialist country yenye ujamaa wake. Na US sasa wanataka unganisha ulaya ili kumeza huu ujamaa wa kipuuzi uliozamisha mataifa fulani fulani ya ulaya ambayo ni mzigo sasa. Hayo makampuni hayana tofauti na makampuni km ya kibongo katikati ya mfumo mbaya na umasikini. France ilipokubali sijui "Assimilation" ndio ilitangaza ukimbia ubepari, sasa assmilation ambayo nyie wavivu mnaotaka vya wengine mliamua hubiri shuleni km mafanikio imeshindwa na france sasa inaangalia hali halisi. wanasiasa wajamaa wakaanza inuka kwa kura za wachovu wasiojua kesho wala jana kutoka dunia ya 3
 
Km hujitambui utaweza tambua vipi mafanikio na kushindwa kwa mabepari?Kwako hayo mafanikio utaona ni kila kitu, km wenzio kwa sasa wangekuwa wanafikirai kuanza kula bata na kupewa likizo kwa miaka kadhaa.Ila wenzio wanajua kwamba walipaswa pata zaidi , ili waweze jiimarisha kwa misukosuko na mabadiliko ya dunia . Wapuuzi km nyie hamna uharaka kwa vile hamjioni karibu mdondoko kutoka utu na kuwa km wamyama pori wasiweza bila kusaidiwa,ila hawasaidiki kwa jinsi walivyogandamana na matatizo.
...Jibu hoja. Acha kuzunguka mbuyu!
 
That is your problem! You think IPTL is owned by your 'brother' and power problem is just a God given problem. You as well think the plan to install finger prints machines and whatever is your plan. Think out of the box. Read, read my dear. Read Prof Chang "Kicking Away the Ladder and read John Perkins as well you will get to understand who decides that we should go on being poor to his fill.
...domokaya, matatizo yetu yanatokana na sisi wenyewe kwa kiasi kikubwa. Hii haimaanishi kwamba Chang, Perkins, et al wanaongea uongo.
 
...Wanabomolewa na nani?
Haha.Na vichaa waliowaanda kwa ushirikiano na ujamaa. Hata huyu naye yupo halfway kuwahi huko kwenda bomoa na kuwadai marekani. Ujamaa ni kutu ktk vichwa. wanazunguka round about, halafu wanadai mabepari ndio wanawarudisha pale pale.
 
Ulichosema ni kweli. Hata sera za kima cha chini cha mshahara/mifuko ya akiba za uzeeni/riba kubwa za mikopo vs riba ndogo kwa akiba yako benki, makodi kedekede nk. Lengo ni kumfukarisha mwananchi, azidi kuwa mnyonge na mjinga ili watawala wajineemeshe. Ndio mana unaona wanaongeza idadi ya mikoa na wilaya, wananunua magari ya washawasha na kuvuruga uchaguzi na kuzima mabadiliko kikatiba.
...Tusichanganye mambo. Kuna wajibu wa Serikali kutoa huduma za jamii, hizi hugharamiwa kutokana na kodi, na mapato mengine.

...Kima cha chini na pension ni masuala ya muhimu kwa social security. Sioni namna gani kima cha chini na pension humfukarisha mwananchi.
 
Kwa taarifa yako US wanaitambua france km socialist country yenye ujamaa wake. Na US sasa wanataka unganisha ulaya ili kumeza huu ujamaa wa kipuuzi uliozamisha mataifa fulani fulani ya ulaya ambayo ni mzigo sasa. Hayo makampuni hayana tofauti na makampuni km ya kibongo katikati ya mfumo mbaya na umasikini. France ilipokubali sijui "Assimilation" ndio ilitangaza ukimbia ubepari, sasa assmilation ambayo nyie wavivu mnaotaka vya wengine mliamua hubiri shuleni km mafanikio imeshindwa na france sasa inaangalia hali halisi.
...Ujinga huwa hauna aibu.

...Alstom, CMA CGM, na Airbus ni makampuni kama ya kibongo, na yako katikati ya mfumo mbaya na umaskini?

...Soma ndugu, elimu haina mwisho, hujachelewa.
 
John Perkins, kachero wa National Security Agancey (NSA) ya U. S anasimulia jinsi ambavyo US huzifanyia nchi masikini duniani ili kuweza kuzinyonya na kupata rasilimali zake. Katika kitabu chake cha Economic Hit Men, Perkins anaeleza mbinu mbalimbali hasa kupitia mitambo ya umeme na uzalishaji nishati kuzipa madeni makubwa na tozo kubwa nchi hizo kama njia ya kuzifilisi na kuzifanya tegemezi huku wakiongeza shida kwa wananchi. Richmond na Escrow vinawea kuwa mfano, jisomee!

resistir.info/livros/john_perkins_confessions_of_an_economic_hit_man.pdf

Zaidi ya hapo John Perkins ameelezea namna ambavyo Economic Hit Men (EHM) hutumwa na serikali yao kupitia mashirika na makampuni mbalimbali makubwa kuwatapeli viongozi wa nci masikini waingie mikataba hiyo ya kitapeli. Perkins anasema wakishindwa kuwashawishi viongozi 'wagumu' mbinu ya kuwaua hutumika. Perkins ametoa mifano ya viongozi waliowahi kuliwa kwa njia mbalimbali na hata kupinduliwa.

Perkins anasema jaribio la kumuua likishindikana basi nchi husika hupelekewa vita. Mfano anaoutoa hapa ni wa Iraq kwa Saddam Hussein.

Ukisoma kitabu hicho cha Economic Hitman utakuta kabisa MCC ni moja ya mpango ulioandaliwa na Economic Hit Men. Perkins anasema nini hutokea endapo Economic Hit Men wakishindwa?

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to the presidents of two countries, men who had been my clients , whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos , president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental. They were assassinated because they opposed that fraternity of corporate , government, and banking heads whose goal is global empire . We EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d us, stepped in.

Perkins anaeleza wao ni akina nani, wanafanya nini na sababu iliyompelekea kuhatarisha maisha yake kuandika hiki kitabu.

That is what we EHMs do best: we build a global empire. We are an elite group of men and women who utilize international financia l organizations to foment conditions that make other nations subservient to the corporatocracy running our biggest corporations, ou r government, and our banks. Like our counterparts in the Mafia, EHMs provide favors. These take the form of loans to develop infrastructure — electric generating plants, highways, ports, airports, or industrial parks. A condition of such loans is that engineering an d construction companies from our own country must build all thes e projects. In essence, most of the money never leaves the United States; it is simply transferred from banking offices in Washington to engineering offices in New York, Houston, or San Francisco.

Najaribu kutafakari haya masimulizi ya Perkins kama yana ukweli na hatima ya msimamo wa rais Magufuli kwa U.S. Japo wengi wetu ni wavivu wa kusoma, kitabu hiki che Economic Hit Man kinafaa sana kusomwa hasa na watu wanaopenda kufikiri
Yaani wewe unataka kutufanya sisi ni mazuzu kama wewe?Nipe sababu kwanini umetumia mfano wa Richmond,kampuni ambayo haijawahi kulipwa hata shilingi moja zaidi ya kutumika kuwachafua watu kisiasa.Pili niambie,sababu ya kusitishwa kwa MCC zaidi ya kukiukwa kwa sheria na utaratibu wa uchaguzi Zanzibar,kwahiyo wewe unaona bora CCM wafanye walivyofanya Zanzibar na dunia yote wawashangilie bila kuchukua hatua yoyote?Acha kupotosha,unapokuwa unaandika Makala inabidi ujipange hasa sio kuja na porojo za kutetea ccm hapa..
 
Najaribu kutafakari haya masimulizi ya Perkins kama yana ukweli na hatima ya msimamo wa rais Magufuli kwa U.S. Japo wengi wetu ni wavivu wa kusoma, kitabu hiki che Economic Hit Man kinafaa sana kusomwa hasa na watu wanaopenda kufikiri

Tatizo ndiyo lipo hapo Mkuu, kusoma na kufikiri. Si wanasema ukitaka kumficha kitu mwafrika na hasa mtanzania , weka kwenye maandishi.

Kikundi hicho kipo kweli - kimefanya uharamia mkubwa kwa mataifa ya Amerika Kusini (Latin America) viongozi wengi wa mataifa hayo walio kuwa na misimamo tofauti na Serikali ya Merikani walijikuta wanapoteza maisha kwa njia ya utatanishi latest victim akiwa na Hugo Chaves inasemekana Fidel Castro naye alilishwa au kunywa maji yenye vimelea vya kusababisha cancers alipo kwenda kuhudhulia mkutano nchini Columbia - kilicho muhokoa Castro ni umahili wa madaktari wa Cuba ambao walipigana kufa na kupona kuhakikisha wanathibiti cancer, hali ya Castro ilikuwa mbaya sana lakini siku hizi ame-improve sana, Castro ndiye alimwambia Chaves awe makini sana anapo kwenda kuhudhulia mikutano ya kimataifa kwenye mataifa ya Latin Amerika, inasemekana vile vile kwamba Morales naye ana cancer, kwa kifupi Viongozi wote wa Latin America and beyond wanao pingana na siasa/misimamo ya American Govt basi wakae wakijua hawatabaki salama.

Hapa kwetu Africa walijaribu kumuwekea sumu Patrice Lumumba lakini Agent akawa amechelewa akalazimika kutupa kichupa cha sumu kwenye mto Congo, Rais wa Egypt Abdul Naasa inasadikika alikuwa victim wa mchezo mchafu wa kundi hilo nk. Sina shaka Dk.Magufuli anajua sana modus operandi ya kundi hilo hatarishi.
 
Watawala wa kiafrika hawataki kupunguziwa madaraka, kwa mfano kama mikataba yote ingekuwa inawekwa inasainiwa na wabunge basi hawawezi kudeal na rais kwa sababu sio mhusika kwenye mikataba bali msimamizi, hapo hawana ujanja. Tatizo kwa nchi zinazoendelea rais anapewa mzigo mzito aubebe mwenyewe, jambo ambalo ni hatari.
 
Back
Top Bottom