Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

kuna mahali umegusia uvamizi wa U.S kwa Panama...imenitonesha kidonda changu....dada yangu alikuwa huko na hadi leo hii hatujui taarifa zake.
 
Kama wewe ni bingwa wa kukwepa majukumu unaweza kuhisi alicho andika huyo jamaa ni kweli.

Kwa mtu mwenye akili timamu kwa kitu kidogo kama sukari hauwezi kuilaumu marekani.
Hapo ni uzembe tu ulitumika au kuna mtu alikosea kuluka sarakasi akaangukia pua.
 
Well, yanaweza kuwa ndio mawazo yako na pia ya jamaa na yakawa pia ni kweli, vipi umeshawahi fikiria mazingira yenye coincidence? Mfano Snow mbali na uwezekano wakuwa double agent, pia anaweza kuwa hasira yake ni kwa raia wa marekani kuwa spied kuliko dunia? Unaposema kwamba hakuna mifano halisi aliyoonyesha, zaidi zaidi alikuwa anaonyesha kujuta.. huoni wazi hana nia ya kuelimisha dunia, ila zaidi ni kuweka hisia zitakazolipa?US hata marais wao huandika vitabu kupata kipato baada ya urais, kwanini huyu spy nae asifaye hovyo? Trump anasema atajenge ukuta ktk mpaka na Mexico na utagharamiwa na mexico ,kwanini huyu nae kitabu cha kustaafu kisigharamiwe na wajamaa wale wale wenye chuki dhidi yao?

Theory yako inataka kuonesha kuwa dunia ya mabepari ni wajanja sana, inafahamu kuwa watu wengi duniani inawachukia, hivyo huchukua hiyo hali kama 'opportunity' ya kujipatia kipato kwa kuandika kile wasiowapenda wangependa kukisikia. Nicholas kwa kusema hivyo umetambua chuki ya watu wa dunia hii dhidi ya ubepari lakini hujasema hiyo chuki inatokana na nini. Angalau ungefahamu hiyo chuki inatokana na nini.

Umejaribu kusema kuwa kitabu hiki si chote kinasema ukweli lakini haoneshi ni sehemu gani haisemi ukweli. Najiuliza kwa nini hutaki watu wengine wasome kitabu hiki wakati wewe umekisoma? Unafikiri hamna jambo lolote watanzania wanaloweza kujifunza kutokana na andiko hili?
 
Magufuli tatizo lake ni mtu wa kutaka sifa na kupayuka hovyo.
Namshauri ni vizuri kukaa kimya maana anaweza kuvaa mtego.Hawa mabwana hawana mchezo na wanamtazama kwelikweli.
Nadhani hukujua kuchagua maneno. Huwezi kusema rais anapayuka hovyo. Ni mwaka jana tu tumemaliza utawala wa kucheka sana lakini sidhani kama umetuletaea lolote ktk miaka 10.

Jaribu kuwa mwangalifu ktk kutumia lugha hata kama unatukana.
 
Kweli kabisa, unawea kutukana kwa kutumia lugha ya kiungwana kabisa na tusi likanoga. Kubwa zaidi watu wanaopenda kutukana ni wale ambao aidha hawana uelewa wa linalojadiliwa lakini ana hamu ya kujadili na wale walioishiwa hoja
 
I pity you my comrade!
I hate it when somebody considers themselves as an intellectual and this is all you got to say!!! Actually, It's a pity you can't seem to realize that the majority in our country still live in squalor.
 
when i first read the book confession of an ecinomic hit man in 2014 i put omar torijos as the person in my dp..i respect the guy omar torijos since then..
 
I pity you my comrade!
I hate it when somebody considers themselves as an intellectual and this is all you got to say!!! Actually, It's a pity you can't seem to realize that the majority in our country still live in squalor.
 
Theory yako inataka kuonesha kuwa dunia ya mabepari ni wajanja sana, inafahamu kuwa watu wengi duniani inawachukia, hivyo huchukua hiyo hali kama 'opportunity' ya kujipatia kipato kwa kuandika kile wasiowapenda wangependa kukisikia. Nicholas kwa kusema hivyo umetambua chuki ya watu wa dunia hii dhidi ya ubepari lakini hujasema hiyo chuki inatokana na nini. Angalau ungefahamu hiyo chuki inatokana na nini.

Umejaribu kusema kuwa kitabu hiki si chote kinasema ukweli lakini haoneshi ni sehemu gani haisemi ukweli. Najiuliza kwa nini hutaki watu wengine wasome kitabu hiki wakati wewe umekisoma? Unafikiri hamna jambo lolote watanzania wanaloweza kujifunza kutokana na andiko hili?
Si mara zote chuki zinaweza kuwa ktk control ya victim.watu wanachukiwa kwa dini zao, kabila zao, mafanikio yao, umasikini wao, au hata ubaya wao..Jitahidi kuona chuki dhidi ya waliofanikiwa ktk jamii zetu, halafu uniambie zaidi ya kuendesha game km kuna njia nyingine ya kuondoa chuki..hata ukiwalamba miguu,hata ukiwa bure kila kitu bado watasema wasemalo zaidi ya KUSHUKURU. So victim ana choice ya kukubali na kusuurender n akuishia kuwa mtumwa, au kupambana hadharani au hata kubadili na kuwa opportunity. Mapepari wanapiga bao hivyo, wajamaa wanalalamika kwa kiasi sasa, wanalaumu adui kwamba ndie kawafanya miserable..Yaani wanalia km wamesha surrender ila bado wa busy kuendelea na vita.(Business zao za hasara,) . Sasa km US ni that evil and powerful, kwanini you are safer under them the other way around? Damage ya china rafiki kwa hichi kipindi kapata nguvu duniani, tunaona kila mahali ktk vita africa, km wanyama pori, misitu na hata madini.
 
I see like there's a lot effort to make us lose sight of the blunder by our government to allow CCM to continue to cling to power in Zanzibar even if it meant a breach of democracy. The aftermath of which was the withdrawal of MCC and now we are made to believe that MCC is evil, we don't need it. Economic hitmen do exist but have you ever wondered why is it that it's only African countries and Tanzania in particular that are in abject poverty? Maybe Rugemalira, Lugumi and other corrupt politicians are largely to blame because they are our very own brothers bleeding us white! As much as the West wants to exploit Africa it goes without saying that the West finds the life we are living so appalling that Western countries had to come up with plans such MCC that if implemented properly will result into a win win situation
Safi sana. Hawa wapuuzi wanachosha haswa. na Mawazo yao madogo. kujaribu tuelezea vikuba kuliko akili yao na uwezo wao wa kujua wapi wanaweza apply.
 
I hate it when somebody considers themselves as an intellectual and this is all you got to say!!! Actually, It's a pity you can't seem to realize that the majority in our country still live in squalor.

You are missing a point my dear, I do realize the majority in our country we do live in poverty but I dont accept the statement which says 'have you ever wondered why is it that it's only African countries and Tanzania in particular that are in abject poverty'?. It is not true that it is only Africa that we live in abject poverty if you have ever paid a visit to many Asians countries. For example there is nothing in Tanzania that prepares you to face slum life of Mumbai, nothing, nothing at all, to say you will be shocked when you get there that is understatement.
 
[QUOT"kivyako, post: 16280328, member: 69166"]Hajawakatalia kutukamua,:wenyewe ndo wameondoa msaada wao, wakija kivingine watatukamua tu maana hakuna namna, km ulivyosikia uingereza iko tayari kufidia hela za mcc! bado raisi wetu yuko salama kwa mujibu wa hicho kitabu![/QUOTE]
Kama ni great thinker kweli basi ungebashiri kinachofanyika ni kubadili unyonyaji kutoka America kwenda British..hakuna unafuu tutaendelea kunyonywa tuu. Kikubwa kama alivyosema Rais wetu Mwema kuwa lazima tujitegemee kuepuka unyonyaji. ''Nchi tajirii hii sanaa haihitaji msaada kabisa``
 
You are missing a point my dear, I do realize the majority in our country we do live in poverty but I dont accept the statement which says 'have you ever wondered why is it that it's only African countries and Tanzania in particular that are in abject poverty'?. It is not true that it is only Africa that we live in abject poverty if you have ever paid a visit to many Asians countries. For example there is nothing in Tanzania that prepares you to face slum life of Mumbai, nothing, nothing at all, to say you will be shocked when you get there that is understatement.
 
You are missing a point my dear, I do realize the majority in our country we do live in poverty but I dont accept the statement which says 'have you ever wondered why is it that it's only African countries and Tanzania in particular that are in abject poverty'?. It is not true that it is only Africa that we live in abject poverty if you have ever paid a visit to many Asians countries. For example there is nothing in Tanzania that prepares you to face slum life of Mumbai, nothing, nothing at all, to say you will be shocked when you get there that is understatement.
If you think living in slums was worse you should go to South Africa. Blacks live in shacks, but they've got everything from a flat screen tv, fridge, washing machine to expensive cars you name it in those shacks. Their government cares for them. They have flushing toilets, clean tap water safe to drink! A public hospital in a small South African town is way way better than Aga Khan, TMJ - it's at least what a relative of mine who had gone to SA to deliver a baby told me. Slums and shacks don't mean anything. In SA for instance the government is building houses for free for people living in shacks. Some countries have started to build multi storey buildings to get rid of slums. We can get there that's if we walk the talk. Propaganda won't get us anywhere
 
Kama ni great thinker kweli basi ungebashiri kinachofanyika ni kubadili unyonyaji kutoka America kwenda British..hakuna unafuu tutaendelea kunyonywa tuu. Kikubwa kama alivyosema Rais wetu Mwema kuwa lazima tujitegemee kuepuka unyonyaji. ''Nchi tajirii hii sanaa haihitaji msaada kabisa``
Tatizo lenu matamko yanatosha kwenu kujenga nchi ya ahadi. Wenye akili huuliza namna hayo matamko yanavyopaswa kufanyiwa kazi(Mpango), Nia , vitendea kazi na watu walio tayari kufanya hayo matamko kwa matendo. Hapo mnapohojiwa wapiga tumba na watoa matamko huanza vita. Sasa km kwenu ni rahisi kupiga vita kuliko kufahamu mnachokitamka, hiyo ni nchi kweli?
 
Back
Top Bottom