Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

Tunakusoma mkuu na hizo story za huyo John Perkins.

Baadhi ya washauri wa raisi JPM wamepitia vitabu vingi tu.

Nakumbuka rais mstaafu Mkapa aliwahi kuagiza mawaziri wake wasome kitabu hicho. Pia aliagiza wasome na kile cha Prof Hernando De Soto, Dead Capital, na ndiyo akaja na MKURABITA.
 
sikutoa maelezo mengi ili nisikupeleke mbali halafu nidhani tunaelewana kumbe lah. Hilo la Nigeria nilikupa tuu km ni makusudi. Umejaribu jieleza ila kuna vitu ume skip na hivyo kukosa maana km ulivyohitimisha. Pengine usijojua ni kwamba Bughari, aliingia kwa ahadi za kumaliza ugaidi, kumaliza rushwa iliyowaudhi sana Nigeria, pia na hila fulani na kimkakati hazikusemwa kwa nia njema tuu, buhari alisema angewarudisha watoto, sasa wanaletwa mmoja mmoja. Waingereza wana data na pengine yeye ktk awamu yake ya kwanza na hii kawa kinara, Sasa jamaa kachomekea ili kuamsha mijadala au jamaa ajichanganye. Kwa unyonge kabisa akakiri kuwa ni shida. Halafu mwingereza mwingine akampa karoti kwa kudakia kwamba anajitahidi.

Mimi nakuelewa sana mkuu na nakumbuka General Buhari alipoingia madarakani na alipotoka.
 
SIna haja ya kukuambia km nimekisoma ili nijue jinsi una defend kitu unachokikataa .

Sidhani km nimemtaka aandike kuhusu ujamaa, ila niliutumia ujamaa kuonyesha jinsi ulivyo influence your thinking and reasoning. Bila kupima sana , ground za kuchagua hoja zake kuangalia km maguful hatoangukia ktk mtego. Ni wazi unaanza watisha watu kuhusu mtego usiojua km unatega, au unatega kwa naman unayofikiria. JE JAMAA NAE KAANDIKA JINSI ANAVYOTAKA TENGENEZA UATAJIRI KWA KUTUMIA FIKRA BIASED KM ZENU? Da vince Code kilimfanya jamaa tajiri mbaya. Ila kilikuwa kweli?

Nimekuelewa kumbe mawazo kama haya ni mawazo biased? Basi wewe umechelewa sana, haya mawazo yanatokana na ubepari wenyewe unatafuta namna ya kuponyeka na kujenga model mpya ya uchumi duniani ambayo haitakuwa mbaya kama ubepari ulivyo sasa lakini utaufanya ujamaa usiendelee zaidi nakuifanya islamic world igawanyike. Hujamsoma Perkins wewe! Kula hii

I also began to wonder who benefits from war and the mass production of weapons, from the damming of rivers and the destruction of indigenous environments and cultures. I began to look at who benefits when hundreds of thousands of people die from insufficient food, polluted water, or curable diseases. Slowly I came to realize that in the long run no one benefits, but in the short term those at the top of the pyramid— my bosses and me — appear to benefit, at least materially.
 
Kwa kifupi ni kwamba huyu bwana John Perkins alishiriki kutenda mambo mengi mabaya ambayo baadae alipoacha likaa chini na kufikiri kutunga kitabu.

Hajaonyesha mifano halisi ya matukio yalivoyfanyika ila kuoanisha tu masuala kama ya mikataba ya kibiashara.

Ila ukienda ndani zaidi ya fikra zake utaona kwamba John Perkins nimtu anaetumia muda mwingi kwenye kitabi chake kujutia yale aliyoshiriki kuyafanya kwa niaba ya serikali yake.

Ni kama Edward Snowden ambae kama akitaka kuandika kitabu kinacholezea hadithi yake nayo haitakuwa tofauti na John Perkins.

Hakuna zaidi ya mauzo ya hicho kitabu chake.
Well, yanaweza kuwa ndio mawazo yako na pia ya jamaa na yakawa pia ni kweli, vipi umeshawahi fikiria mazingira yenye coincidence? Mfano Snow mbali na uwezekano wakuwa double agent, pia anaweza kuwa hasira yake ni kwa raia wa marekani kuwa spied kuliko dunia? Unaposema kwamba hakuna mifano halisi aliyoonyesha, zaidi zaidi alikuwa anaonyesha kujuta.. huoni wazi hana nia ya kuelimisha dunia, ila zaidi ni kuweka hisia zitakazolipa?US hata marais wao huandika vitabu kupata kipato baada ya urais, kwanini huyu spy nae asifaye hovyo? Trump anasema atajenge ukuta ktk mpaka na Mexico na utagharamiwa na mexico ,kwanini huyu nae kitabu cha kustaafu kisigharamiwe na wajamaa wale wale wenye chuki dhidi yao?
 
Nakumbuka rais mstaafu Mkapa aliwahi kuagiza mawaziri wake wasome kitabu hicho. Pia aliagiza wasome na kile cha Prof Hernando De Soto, Dead Capital, na ndiyo akaja na MKURABITA.

Sawasawa kabisa, ni kitabu kizuri kwa reference ya namna ya kutengeneza sera kinzani na hizo za US.

Ila jamaa ameongea ya ndani na wenyewe wamemruhusu hivyo hawapi shida sana.

Ni uhuni, ujambazi, rushwa ya highest degree na usaliti.

Na hayo tumeshuhudia raisi aipotembelea pale Terminal 1, ukiwa ni moja ya mifano tu.
 
Bado naona shida si vitabu shida ni uwezo wetu w akutafsiri na tafsiri tunazochagua ndipo lipo soko la kutuibia au kututumia kuharibu wenzetu akili.
 
Nicholaus, hebu tuachie thread yetu kama huna cha kuchangia, sisi tunazungumza Kitabu cha " Economic Hitmen", wewe unaleta habari za ujamaa na mambo kibao yasiyohusiana.
Jikite kwenye mada, na mada yenyewe inahusu mipango ya kiuchumi na misaada ambayo kwa nje unaweza kuona inazifaa nchi masikini Lakini kumbe ni Chambo la kuziingiza katika Minyororo ya Utegemezi isiyokwisha huku rasilimali zikikombwa
Unakataa ninachosema unarudi huko huko. Nakuuliza HIYO BURE UNATAKA KWA LIPI ULILO NALO?Hakuna rockettt science hapo , kupata bure km bure ni nadra sana na hiyo bure kwanini bure iwe kwako na si mwingine?. Sasa kwanini kuumiza vichwa kwa fikra za kugundua bure?
 
Well, yanaweza kuwa ndio mawazo yako na pia ya jamaa na yakawa pia ni kweli, vipi umeshawahi fikiria mazingira yenye coincidence? Mfano Snow mbali na uwezekano wakuwa double agent, pia anaweza kuwa hasira yake ni kwa raia wa marekani kuwa spied kuliko dunia? Unaposema kwamba hakuna mifano halisi aliyoonyesha, zaidi zaidi alikuwa anaonyesha kujuta.. huoni wazi hana nia ya kuelimisha dunia, ila zaidi ni kuweka hisia zitakazolipa?US hata marais wao huandika vitabu kupata kipato baada ya urais, kwanini huyu spy nae asifaye hovyo? Trump anasema atajenge ukuta ktk mpaka na Mexico na utagharamiwa na mexico ,kwanini huyu nae kitabu cha kustaafu kisigharamiwe na wajamaa wale wale wenye chuki dhidi yao?

Mkuu, kitabu kinaitwa "Confessions of an Economic Hitman" hivyo neno confessions au kukiri tayari unaanza kuongea kwa kukiri ama kosa, au jambo fulani kama ni la kweli au lilitokea na athari yake.

Hivyo tukiangalia bwana John Perkins ameongelea kutokana na "his personal perspective" ya alivyoshiriki kwenye mashine ya kutengeneza hizo mbinu za kupanua sera ya nje ya marekani na uwezo wake kidunia kama super power.
 
Nimekuelewa kumbe mawazo kama haya ni mawazo biased? Basi wewe umechelewa sana, haya mawazo yanatokana na ubepari wenyewe unatafuta namna ya kuponyeka na kujenga model mpya ya uchumi duniani ambayo haitakuwa mbaya kama ubepari ulivyo sasa lakini utaufanya ujamaa usiendelee zaidi nakuifanya islamic world igawanyike. Hujamsoma Perkins wewe! Kula hii

I also began to wonder who benefits from war and the mass production of weapons, from the damming of rivers and the destruction of indigenous environments and cultures. I began to look at who benefits when hundreds of thousands of people die from insufficient food, polluted water, or curable diseases. Slowly I came to realize that in the long run no one benefits, but in the short term those at the top of the pyramid— my bosses and me — appear to benefit, at least materially.
Huwezi nielewa mkuu. Nilianza kwa kukuambia mitazamo uliyo nayo ktk kitabu ndio inakumeza na kukumeza, inakupa imani unajitoa mwishowe unaishia kuanguka zaidi. Km ndoto za kuokota hela nyingi sana, ukiamka hazipo ulipoficha.

Ndio maana nilikuamsha tuu kuwa ni bora usingekisoma hicho kitabu km huwezi pata picture pana. Hiyo chuki yako, na hata ya hao islamic states. ndio mtaji wao, kwani hakuna utakachofanya dhidi yao usilipe wewe. Umekuwa excited sana na hicho kitabu ukidhani mdhalimu unayemchukia kadhalilishwa.Kumbe ndio movie inaendelea ,unanunua kitabu kwa fujo jamaa anapata dolar milioni nyingi sana. Zote hizo zimetoka kwenu wenye mshawasha wa kusikia baya la ubepari.
 
Kwa kifupi ni kwamba huyu bwana John Perkins alishiriki kutenda mambo mengi mabaya ambayo baadae alipoacha likaa chini na kufikiri kutunga kitabu.

Hajaonyesha mifano halisi ya matukio yalivoyfanyika ila kuoanisha tu masuala kama ya mikataba ya kibiashara.

Ila ukienda ndani zaidi ya fikra zake utaona kwamba John Perkins nimtu anaetumia muda mwingi kwenye kitabi chake kujutia yale aliyoshiriki kuyafanya kwa niaba ya serikali yake.

Ni kama Edward Snowden ambae kama akitaka kuandika kitabu kinacholezea hadithi yake nayo haitakuwa tofauti na John Perkins.

Hakuna zaidi ya mauzo ya hicho kitabu chake.
Kwa kifupi ni kwamba huyu bwana John Perkins alishiriki kutenda mambo mengi mabaya ambayo baadae alipoacha likaa chini na kufikiri kutunga kitabu.

Hajaonyesha mifano halisi ya matukio yalivoyfanyika ila kuoanisha tu masuala kama ya mikataba ya kibiashara.

Ila ukienda ndani zaidi ya fikra zake utaona kwamba John Perkins nimtu anaetumia muda mwingi kwenye kitabi chake kujutia
yale aliyoshiriki kuyafanya kwa niaba ya serikali yake.

Ni kama Edward Snowden ambae kama akitaka kuandika kitabu kinacholezea hadithi yake nayo haitakuwa tofauti na John Perkins.

Hakuna zaidi ya mauzo ya hicho kitabu chake.

Nadhani hujakisoma chote bali umesoma Dummary tu, Katika hicho kitabu anaelezea Kiurefu jinsi Mfalme Wa Saudia miaka ya 70 alivyopewa dili la kuibind Saudia na Marekani, yaani saudia auze mafuta yake kwa dola tu na si kwa currency nyingine, inexchange Saudia na Ukoo wa mfalme ulindwe na Wamarekani etc
 
Mkuu, kitabu kinaitwa "Confessions of an Economic Hitman" hivyo neno confessions au kukiri tayari unaanza kuongea kwa kukiri ama kosa, au jambo fulani kama ni la kweli au lilitokea na athari yake.

Hivyo tukiangalia bwana John Perkins ameongelea kutokana na "his personal perspective" ya alivyoshiriki kwenye mashine ya kutengeneza hizo mbinu za kupanua sera ya nje ya marekani na uwezo wake kidunia kama super power.
Mzee wewe ni mgeni wa Title na mauzo au attention seeking?Mbona hata shigongo, Edo kumwembe na wengine magazeti ya udaku wa michezo na udaku wa mitaani wanapiga sana . Usiiniambie bado unataka komaa na kunithibitishia kwamba umenasa.
 
Magufuli anaijua mitego hiyo,ameshaitegua ,kubaki salama ni pamoja na kukataa mialiko ya nje na kubadilisha ratiba zake ghafla
 
Nadhani hujakisoma chote bali umesoma Dummary tu, Katika hicho kitabu anaelezea Kiurefu jinsi Mfalme Wa Saudia miaka ya 70 alivyopewa dili la kuibind Saudia na Marekani, yaani saudia auze mafuta yake kwa dola tu na si kwa currency nyingine, inexchange Saudia na Ukoo wa mfalme ulindwe na Wamarekani etc

Mkuu, wewe unafahamu kuchambua kitabu au unasoma tu basi umemaliza?

Hapa nilipo nna copy ya hicho kitabu.

Tunatakiwa tuchambue kitabu sio kukisoma na kueleza ulichosoma.

Kwahio leo hii ungeulizwa maoni yako kuhusu hiki kitabu ungeelza kuhusu huyo mfalme wa Saudia nahadihtiyake ya mafuta?
 
Nadhani hujakisoma chote bali umesoma Dummary tu, Katika hicho kitabu anaelezea Kiurefu jinsi Mfalme Wa Saudia miaka ya 70 alivyopewa dili la kuibind Saudia na Marekani, yaani saudia auze mafuta yake kwa dola tu na si kwa currency nyingine, inexchange Saudia na Ukoo wa mfalme ulindwe na Wamarekani etc
Bado sio shida wakuu ktk dili risky, ujue kulinda taifa kuna human cost. Sasa kutakuwa na shida gani kupokea hela zitakazookoa watu wengi kuliko watakaokufa wakilinda wengine.? mi sioni shida zaidi ya fikra zetu za kulala na kutoongeza weledi ktk deal breaking. Sasa unataka ktk deal mtu akupiganie wakati anataka best price?
 
Ni sisi tuu tunaenda pigani anchi nyingine bila kuweka malipo yatakoyotusaidia fidia muda tuliokuwa tunapigana , ukilingania na faida tungeata km tungefanya mambo megine ya maendeleo?Ndio maana nikasema ujamaa ni hovyo sijaeleweka. Ndio maana kitaifa na ndani ya taifa dili za hasara nyingi. Hakuna dhambi kulipwa kwa kazi yoyote. Viongozi wa dini wanaokota sadaka hadi msibani, hospital hata mgonjwa aliyekufa anatozwa hela,
 
Mzee wewe ni mgeni wa Title na mauzo au attention seeking?Mbona hata shigongo, Edo kumwembe na wengine magazeti ya udaku wa michezo na udaku wa mitaani wanapiga sana . Usiiniambie bado unataka komaa na kunithibitishia kwamba umenasa.

Mkuu, kumbe nawe ni walewale.

Hicho kitabu hamna kitu na mleta mada akiwa mmoja wa wapinzani anajaribu kuleta hofu kwa kuhusisha hicho kitabu na serikali ya JPM.

Basi nikuachie mkuu jamvi ulitawale.
 
Mkuu, kumbe nawe ni walewale.

Hicho kitabu hamna kitu na mleta mada akiwa mmoja wa wapinzani anajaribu kuleta hofu kwa kuhusisha hicho kitabu na srikali ya JPM.

Basi nikuachie mkuu jamvi ulitawale.
mkuu mbona unajisaliti mwenyewe. Mbona ulikaza sana kicha unasusa ghafla. NI kwamba umeshtushwa na thread ya mwisho au? Hilo la wapinzani sidhani km unawatendea haki. Hawa ni wale wale wa chama tawala na kuchukua mawazo makubwa ,kisha wanataka tumia akili ndogo kuyaelezea ili kuteka kondoo wasio na hatia. Bongo kuna watu wasio honest sana ndio maana machapisho yasiyo na tafsiri halisi ni mengi kila kona.
 
Nicholaus, hebu tuachie thread yetu kama huna cha kuchangia, sisi tunazungumza Kitabu cha " Economic Hitmen", wewe unaleta habari za ujamaa na mambo kibao yasiyohusiana.
Jikite kwenye mada, na mada yenyewe inahusu mipango ya kiuchumi na misaada ambayo kwa nje unaweza kuona inazifaa nchi masikini Lakini kumbe ni Chambo la kuziingiza katika Minyororo ya Utegemezi isiyokwisha huku rasilimali zikikombwa
Unakataa ninachosema unarudi huko huko. Nakuuliza HIYO BURE UNATAKA KWA LIPI ULILO NALO?Hakuna rockettt science hapo , kupata bure km bure ni nadra sana na hiyo bure kwanini bure iwe kwako na si mwingine?. Sasa kwanini kuumiza vichwa kwa fikra za kugundua bure?
 
I see like there's a lot effort to make us lose sight of the blunder by our government to allow CCM to continue to cling to power in Zanzibar even if it meant a breach of democracy. The aftermath of which was the withdrawal of MCC and now we are made to believe that MCC is evil, we don't need it. Economic hitmen do exist but have you ever wondered why is it that it's only African countries and Tanzania in particular that are in abject poverty? Maybe Rugemalira, Lugumi and other corrupt politicians are largely to blame because they are our very own brothers bleeding us white! As much as the West wants to exploit Africa it goes without saying that the West finds the life we are living so appalling that Western countries had to come up with plans such MCC that if implemented properly will result into a win win situation
 
Hawa jamaa ubunifu ni moja ya vipaji vyao,Na ukiona ameamua kuliweka wazi hili ujue na mikakati mipya (Advanced strategies) imeishaandaliwa Kwa ajili ya maboresho ya unyonyaji,Hawa wazungu hawazitakii mema kabisa nchi maskini hasa za Kiafrika na Kiarabu!!
Bila kuzigandamiza
Watakufa wao waishe
 
Back
Top Bottom