Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

Hapo kwenye Bold, pamoja na kumpenda sana Magufuli kwa mambo anayo yatenda nchini mwetu (He walk his talk, rejea kutumbuliwa kwa Sefue, Kilango Malecela na Kitwanga) lakini issue ya sukari binafsi ninaona kabisa hapa yeye ndio aliyeteleza. Kupiga marufuku uagizajiwa sukari toka nje ya nchi alikua sawa sawa kabisa, Malengo yake na hata sababu alizozitoa zilikua sawa but shida ni mahali aliposemea, angepigia marufuku kwenye kikao cha baraza la mawaziri. So kwa hili sina lawama kwa wafanya biashara kabisa, hata ungekua ndio wewe unafanya biashara hiyo ungeficha tu cause biashara lengo lake ni kupata FAIDA na ili upate faida kanuni ya Demand and supply lazima ifanye kazi.
hilo la sukari nililiwekea thread, nikafananisha na drama ya Ronaldo na Madrid, ilipoanzia ktk party ya ronaldo. Sukari na magufuli ilianzia ktk documentary ya Kagera sugar.
 
Huu ndio ukweli wenyewe. Hata mimi nilifikiri sana. Tena nikawaza sana pale JPM aliposema kuna marafiki zake watampa misaada (baada ya MCC kuwakatalia). Alisema marafiki wenyewe sijui waJapan na Wachina. Kwa sasa huko Japan na China hali ni mbaya uchumi haukui, unadidimia.

Hata kwenye nchi za wenzetu, maskini ni wengi tu. Kwanini wao waje TZ kutusaidia bure bure tu? Haiwezekani. Fikiri chukua hatua.

Mkuu unapotoa hoja kama hiyo unatakiwa uwe na mifano ili ueleweke.

Sasa toa mifano inayoonyesha wapi uchumi umedidimia kwa nchi hizo mbili?
 
Usikubali kutekwa akili na wazungu kirahisi namna hii. Ubepari wao una misingi ya miaka mingi. Kwa wenzetu kutolipa kodi ni kosa la kukupeleka jela hata kama jina lako ni kubwa kwenye jamii. Hatujakuwa na misingi mizuri ya kibepari kiasi cha kuenda sambamba na wazungu wa ulaya na marekani.
Tanzania bado tunaelea kwenye wingi wa kashfa. Bado ni mabepari wetu ni wale wenye uhusiano na mamlaka. Kaondoka Mkapa Ikulu ndio kina Prof Mahalu, Mramba na Yona wakaonekana hawafai. Kaondoka JK ikulu ndio tunasikia issues za DART na Lugumi. Akiondoka JPM Ikulu utasikia issues za awamu yake zinawekwa hadharani. Bado hatuna misingi sahihi ya kuuingia ubepari kichwa kichwa.
Mbona unonyesha chuki tuu kwa wazungu, mbaya chuki zako ndio mtaji wa wa kukumaliza.Sasa km unawachukia na kutowaamini hivyo mbona unamwamini huyu mwandishi namna ya juu zaidi? Ndio nawaambia kitu hamuwezi elewa shida yenu ipo wapi.
 
Tatizo bado ni tafsiri, ni kutokana na malezi na fikra ulizojengewa. Huwezi kataa ni tafsiri ya mwandishi au nia yake ya kuandika hicho kitabu ndio unaiamini na si lazima iwe ndio ukweli wa mambo.

Hapo ndipo nakuambia shida ipo kwako zaidi kuliko ambaye hakukisoma kabisa. Hivi unajua hao waandishi pia huandika vitabu kwa style fulani ili kutafuta hela ya kustaafia, kwa kuuza habari wajinga wanazopenda ili kuzidi waharibu zaidi na kuwatisha kabisa? Wajamaa ni wajinga sana, kiasi cha kuweza wageuza soko, ktk furaha yao au ktk huzuni yao.
nimekuelewa Nico inahitajika tafakuli ya kina juu haya maswala
 
Tafuta sehemu ninayosema kitabu hihi ni factual. Heading yenyewe ya uzi inasema 'masimulizi'. Wewe umenga'nga'nia tafsiri, tafsiri. Tafsiri ipi hiyo ndugu yangu? Japo haya ni masimulizi lakini kuna mambo mengine hayahitaji usimuliwe unayaona hata kabla hujawahi kumsikia Perkins, ukimsoma unaweza kuona umetofautiana nae lugha tu ya kueleza, hebu soma hii
.
Km huelewi ulichoandika kinamaanisha nini ndio shida yenyewe ninayokueleza. Ulimalizia kwa kujisifu kuwa msomaji na ukahamia ktk swali , linalotaka subiri km yatatokea kwa magufuli, pengine hujaelewa logic hapo, hapo kuna IF THEN kibao ambazo ubongo wako ume assume ni sahihi ndio maana ukajump km kuangalia km magufuli ataangukio ktk hilo box la mifano ya kweli kweli
I also realized that my college professors had not understood the true nature of macroeconomics : that in many cases helping an economy grow only makes those few people who sit atop the pyramid even richer, while it does nothing for those at the bottom except t o push them even lower. Indeed, promoting capitalism often results in a system that resembles medieval feudal societies. If any of my professors knew this, they had not admitted it — probably because big corporations, and the men who run them, fund colleges. Exposing the truth would undoubtedly cost those professors their jobs—just as such revelations could cost me mine.
Haya maelezo yako yanakusaliti ulichokataa hapo juu. Pengine hujui choice mtu na jinsi ya kumtambulisha kunaweza sema km unajipendekeza, unamtumia au hujui ufanyalo.

NIKI CUT SHORT HII QUOTE. HUYO JAMAA ANALALAMA KWAMBA UBEPARI UNATENGENEZA WATU WACHACHE PALE JUU, ILA HAJASEMA UJAMAA NAO UNAWAVUTA WATU KIASI GANI CHINI NA KUWATESA SANA NA WAVIVU AU WATU WASIOTUMIA AKILI. NA KM HIYO NI HAKI? HAJASEMA KM UJAMAA NAO HAUPO HIVYO TENA VIBAYA ZAIDI, WANANCHI WANALIMISHWA, VIONGOZI WANAKULA KIVULINI,WANAFAGILIWA NJIA,NA NYUMBA WANAZOKAA, HUKU HAWAFANYI KAZI.
 
Mbona unonyesha chuki tuu kwa wazungu, mbaya chuki zako ndio mtaji wa wa kukumaliza.Sasa km unawachukia na kutowaamini hivyo mbona unamwamini huyu mwandishi namna ya juu zaidi? Ndio nawaambia kitu hamuwezi elewa shida yenu ipo wapi.
Mtu akija mbele ya uso wako halafu akatabasamu, na wewe tabasamu kwake. Lakini haina maana kwamba yule anayetabasamu kwako na wewe ukatabasamu kwake, hawezi kuja kukudhuru kesho au keshokutwa. Maishani tunapaswa kuwa na aina fulani ya kiburi kwa kile tulichonacho. Ulimsikia David Cameron alivyoiponda Nigeria akiwa pembeni ya Malkia?. Ulisikia jinsi ambavyo rais wa Nigeria Mohamed Buhari alivyomjibu kwa jeuri, huo ndio uhalisia wa uhusiano unaopaswa kuwepo duniani.
 
Hawa jamaa ubunifu ni moja ya vipaji vyao,Na ukiona ameamua kuliweka wazi hili ujue na mikakati mipya (Advanced strategies) imeishaandaliwa Kwa ajili ya maboresho ya unyonyaji,Hawa wazungu hawazitakii mema kabisa nchi maskini hasa za Kiafrika na Kiarabu!!
Mkuu sema hawazitakii mema nchi za kimaskini za afrika na hawataki kuona nchi za kiarabu zinazidi kusonga mbele maana ukija kulinganisha nchi za kiarabu na za afrika ni tofauti kabisa yaani mwarabu katuacha mbali sana yeye kaishapiga hatua ndefu
 
Mtu akija mbele ya uso wako halafu akatabasamu, na wewe tabasamu kwake. Lakini haina maana kwamba yule anayetabasamu kwako na wewe ukatabasamu kwake, hawezi kuja kukudhuru kesho au keshokutwa. Maishani tunapaswa kuwa na aina fulani ya kiburi kwa kile tulichonacho. Ulimsikia David Cameron alivyoiponda Nigeria akiwa pembeni ya Malkia?. Ulisikia jinsi ambavyo rais wa Nigeria Mohamed Buhari alivyomjibu kwa jeuri, huo ndio uhalisia wa uhusiano unaopaswa kuwepo duniani.
Hilo la tabasabu tuliache..nianze na Cameron. Wazungu huwa wana mbinu za kufikisha ujumbe. Hizo mbinu za kujifanya habari imeponyoka ni makusudi, watu wa usalama wapo makini. Hata snowden mimi naamini bado alitumika kuwatisha mataifa yaliyoanza jiona yapo juu ya US, ndio maana urusi haraka akajidai kumwambia akitak ahifadhi basi asiwaabishe marafiki zake,ila ukweli aliogopa snownen asiiambie dunia walivyokuwa wakiingalia urusi km nyumba ya kioo na nini waliona.
 
Nilikisoma hiki kitabu, nikabaki mdomo wazi!
Then kwa uwazi kabisa nikatambua Gemu ya NATO kwa Libya kuwa ni baada ya Ghadafi kuwa kikwazo kikubwa kwa Mabepari wa West
 
Mkuu sema hawazitakii mema nchi za kimaskini za afrika na hawataki kuona nchi za kiarabu zinazidi kusonga mbele maana ukija kulinganisha nchi za kiarabu na za afrika ni tofauti kabisa yaani mwarabu katuacha mbali sana yeye kaishapiga hatua ndefu
Kwani kutakiwa mema ni jukumu la mtu mwingine kwako? Huo ni uhuru wake na haki yake,hata kukutakia mabaya ni haki yake, ila kukufanyia ubaya ndio sio haki yake.Pengine ndio shida ya ujamaa. Hata pale huo wema haugawanyiki , mbaya zaidi sijui km nyie mlishwahi watakia mema ili mstahili kutakiwa mema?Tatizo wajamaa wanataka wapewe kila bure kwa vile ni wanyonyaji, hawajui ukipewa buree tuu hata nayekupa atafilisika km huna kitu mbadala cha kumpa ili flow iongezeke . Ndio maana maneno ya kulala sijui JAMAA HAWAKUPI MSAADA BURE..sasa km wewe ni mchoyo, kwanini asitengeneze namna ya kurudisha ili nae asife?

Mbaya zaidi, hata kiukarimu wajamaa mpo chini, ktk haki za binadamu mpo chini, ktk hifadhi ya chakula na kusaidia mabepari mpo chini. Kulalamika mpo mbele.
 
Km huelewi ulichoandika kinamaanisha nini ndio shida yenyewe ninayokueleza. Ulimalizia kwa kujisifu kuwa msomaji na ukahamia ktk swali , linalotaka subiri km yatatokea kwa magufuli, pengine hujaelewa logic hapo, hapo kuna IF THEN kibao ambazo ubongo wako ume assume ni sahihi ndio maana ukajump km kuangalia km magufuli ataangukio ktk hilo box la mifano ya kweli kweli
Haya maelezo yako yanakusaliti ulichokataa hapo juu. Pengine hujui choice mtu na jinsi ya kumtambulisha kunaweza sema km unajipendekeza, unamtumia au hujui ufanyalo.

NIKI CUT SHORT HII QUOTE. HUYO JAMAA ANALALAMA KWAMBA UBEPARI UNATENGENEZA WATU WACHACHE PALE JUU, ILA HAJASEMA UJAMAA NAO UNAWAVUTA WATU KIASI GANI CHINI NA KUWATESA SANA NA WAVIVU AU WATU WASIOTUMIA AKILI. NA KM HIYO NI HAKI? HAJASEMA KM UJAMAA NAO HAUPO HIVYO TENA VIBAYA ZAIDI, WANANCHI WANALIMISHWA, VIONGOZI WANAKULA KIVULINI,WANAFAGILIWA NJIA,NA NYUMBA WANAZOKAA, HUKU HAWAFANYI KAZI.

Sijui kwa nini you sound so angry! Nicholas unaweza usimpende mtu lakini mkalingana mtazamo katika ishu fulani. Unachokisema wewe na anachokisema Perkins na ninavyofikiri mimi ni sawasawa. Macroeconomics inafundishwa kote kote kwenye ujamaa na ubepari. Hata kwenye ujamaa unaamini economic growth is panacea to people's sufferings. Lakinije hivi ndivyo ilivyo katika uhalisia katika milengo yote ya ujamaa na ubepari? kwa nini unamtaka Perkins aandike kuhusu ujamaa wakati yeye anaandika historia ya maisha aliyoyafanyia kazi na kuona udhaifu wake? Nicholas umemsoma
Perkins lakini? Nakushauri umsome halafu uje tujadiliane naamini tunaweza kupata njia ya kutokea. Pia hata kama wewe una maoni yako kuhusu ubaya wa ujamaa yalete kama George Orwel alivofanya katika animal farm.
 
Kwa kifupi ni kwamba huyu bwana John Perkins alishiriki kutenda mambo mengi mabaya ambayo baadae alipoacha likaa chini na kufikiri kutunga kitabu.

Hajaonyesha mifano halisi ya matukio yalivoyfanyika ila kuoanisha tu masuala kama ya mikataba ya kibiashara.

Ila ukienda ndani zaidi ya fikra zake utaona kwamba John Perkins nimtu anaetumia muda mwingi kwenye kitabi chake kujutia yale aliyoshiriki kuyafanya kwa niaba ya serikali yake.

Ni kama Edward Snowden ambae kama akitaka kuandika kitabu kinacholezea hadithi yake nayo haitakuwa tofauti na John Perkins.

Hakuna zaidi ya mauzo ya hicho kitabu chake.
 
Hilo la tabasabu tuliache..nianze na Cameron. Wazungu huwa wana mbinu za kufikisha ujumbe. Hizo mbinu za kujifanya habari imeponyoka ni makusudi, watu wa usalama wapo makini. Hata snowden mimi naamini bado alitumika kuwatisha mataifa yaliyoanza jiona yapo juu ya US, ndio maana urusi haraka akajidai kumwambia akitak ahifadhi basi asiwaabishe marafiki zake,ila ukweli aliogopa snownen asiiambie dunia walivyokuwa wakiingalia urusi km nyumba ya kioo na nini waliona.

Mkuu Nico, with all due respect hapo nakataa kwasababu Cameroon anafahamu kwamba viongozi wa nchi alizozitaja, ni vinara wa rushwa zina raia wake ambao wameineemesha London kwa kununua majumba ya kifahari na majengo mengine.

Isitoshe anafahamu kwamba benki za Uingereza zina akaunti ya fedha zilizotokana na ufisadi kutoka katika nchi vinara wa rushwa.

Sasa sioni kama ujumbe wake ulikuwa na mantiki na ndio maana askofu mkuu na spika wa bunge walimkumbusha kwamba huyu raisi wa sasa wa Nigeria anajitahidi kwelikweli kupambana na rushwa.

Alichokifanya ni kielelezo tosha kwamba wazungu wapo kwaajili ya maslahi yao na sio mtu mwingine asie wao.
 
Mkuu unapotoa hoja kama hiyo unatakiwa uwe na mifano ili ueleweke.

Sasa toa mifano inayoonyesha wapi uchumi umedidimia kwa nchi hizo mbili?

Mkuu, dunia hii ya sasa hivi ya akina Google unataka kutafuniwa kila kitu? Au ndio uvivu wenyewe wakutafuta habari anaousema mtoa mada?

Haya soma hizi
China na Japan
 
Mkuu, dunia hii ya sasa hivi ya akina Google unataka kutafuniwa kila kitu? Au ndio uvivu wenyewe wakutafuta habari anaousema mtoa mada?

Haya soma hizi
China na Japan

Kwahiyo wewe umegoogle na ukaja na hicho ulichoandika, jaribu kutumia basi hata redio na runinga kupata habari na kuzichuja bila kuzinakili na kuzibandika hapa.

Nafikiri wengine wataelewa nilichomaanisha.
 
Sijui kwa nini you sound so angry! Nicholas unaweza usimpende mtu lakini mkalingana mtazamo katika ishu fulani. Unachokisema wewe na anachokisema Perkins na ninavyofikiri mimi ni sawasawa. Macroeconomics inafundishwa kote kote kwenye ujamaa na ubepari. Hata kwenye ujamaa unaamini economic growth is panacea to people's sufferings. Lakinije hivi ndivyo ilivyo katika uhalisia katika milengo yote ya ujamaa na ubepari? kwa nini unamtaka Perkins aandike kuhusu ujamaa wakati yeye anaandika historia ya maisha aliyoyafanyia kazi na kuona udhaifu wake? Nicholas umemsoma
Perkins lakini? Nakushauri umsome halafu uje tujadiliane naamini tunaweza kupata njia ya kutokea. Pia hata kama wewe una maoni yako kuhusu ubaya wa ujamaa yalete kama George Orwel alivofanya katika animal farm.
SIna haja ya kukuambia km nimekisoma ili nijue jinsi una defend kitu unachokikataa .

Sidhani km nimemtaka aandike kuhusu ujamaa, ila niliutumia ujamaa kuonyesha jinsi ulivyo influence your thinking and reasoning. Bila kupima sana , ground za kuchagua hoja zake kuangalia km maguful hatoangukia ktk mtego. Ni wazi unaanza watisha watu kuhusu mtego usiojua km unatega, au unatega kwa naman unayofikiria. JE JAMAA NAE KAANDIKA JINSI ANAVYOTAKA TENGENEZA UATAJIRI KWA KUTUMIA FIKRA BIASED KM ZENU? Da vince Code kilimfanya jamaa tajiri mbaya. Ila kilikuwa kweli?
 
Nicholaus, hebu tuachie thread yetu kama huna cha kuchangia, sisi tunazungumza Kitabu cha " Economic Hitmen", wewe unaleta habari za ujamaa na mambo kibao yasiyohusiana.
Jikite kwenye mada, na mada yenyewe inahusu mipango ya kiuchumi na misaada ambayo kwa nje unaweza kuona inazifaa nchi masikini Lakini kumbe ni Chambo la kuziingiza katika Minyororo ya Utegemezi isiyokwisha huku rasilimali zikikombwa
 
Mkuu Nico, with all due respect hapo nakataa kwasababu Cameroon anafahamu kwamba viongozi wa nchi alizozitaja, ni vinara wa rushwa zina raia wake ambao wameineemesha London kwa kununua majumba ya kifahari na majengo mengine.

Isitoshe anafahamu kwamba benki za Uingereza zina akaunti ya fedha zilizotokana na ufisadi kutoka katika nchi vinara wa rushwa.

Sasa sioni kama ujumbe wake ulikuwa na mantiki na ndio maana askofu mkuu na spika wa bunge walimkumbusha kwamba huyu raisi wa sasa wa Nigeria anajitahidi kwelikweli kupambana na rushwa.

Alichokifanya ni kielelezo tosha kwamba wazungu wapo kwaajili ya maslahi yao na sio mtu mwingine asie wao.
sikutoa maelezo mengi ili nisikupeleke mbali halafu nidhani tunaelewana kumbe lah. Hilo la Nigeria nilikupa tuu km ni makusudi. Umejaribu jieleza ila kuna vitu ume skip na hivyo kukosa maana km ulivyohitimisha. Pengine usijojua ni kwamba Bughari, aliingia kwa ahadi za kumaliza ugaidi, kumaliza rushwa iliyowaudhi sana Nigeria, pia na hila fulani na kimkakati hazikusemwa kwa nia njema tuu, buhari alisema angewarudisha watoto, sasa wanaletwa mmoja mmoja. Waingereza wana data na pengine yeye ktk awamu yake ya kwanza na hii kawa kinara, Sasa jamaa kachomekea ili kuamsha mijadala au jamaa ajichanganye. Kwa unyonge kabisa akakiri kuwa ni shida. Halafu mwingereza mwingine akampa karoti kwa kudakia kwamba anajitahidi.
 
Back
Top Bottom