Kibo255
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 4,408
- 3,941
Unajifurahisha nani kakuoa mpaka akusaliti
Mnaweweseka sana mgombea mmemchagua kakataa kasema ajajianda kwa hiyo mlikuwa hamna mgombea kwa nin mlichukua fomu yuda chama kinamfia mkononi
Unajifurahisha nani kakuoa mpaka akusaliti
Wamechukua form bila kuwa na mgombea
Ni sawa na michezo ya kina pwagu na pwaguzi
Wamechukua form bila kuwa na mgombea,"uhuni" alofanyiwa na Mbowe hatausahau
hivi hakuna namna ya kuwasweka rumande viongozi wao kwa kuharibu nyaraka za tume na hivyo kulitia hasara taifa ? unachukuaje form huku huna mgombea ! mkuu Mwigamba nimekudharau sana !
maandiko matakatifu yameeleza wazi sana kuhusiana na laana ambayo inamkuta msaliti , inatisha !
Kwa mwana siasa au mfuatliaji wa siasa za hapa Tanzania jina la ZZK lilikuwa ni maarufu sana kupitia vyombo vya habari ikiwepo mitandao ya kijamii kipindi ZZK yupo ndani ya CHADEMA kwa kufuatilia mawazo na ushauri wake.
Lakini kwa sasa baada ya kuwa nje ya CHADEMA hatupati tena mawazo na ushauri wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri mwenye hoja murua, nini kimekupata ZZK?