Masikini Zitto Kabwe, umesahaulika kabisa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,418
95,830
Kwa mwana siasa au mfuatliaji wa siasa za hapa Tanzania jina la ZZK lilikuwa ni maarufu sana kupitia vyombo vya habari ikiwepo mitandao ya kijamii kipindi ZZK yupo ndani ya CHADEMA kwa kufuatilia mawazo na ushauri wake.

Lakini kwa sasa baada ya kuwa nje ya CHADEMA hatupati tena mawazo na ushauri wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri mwenye hoja murua, nini kimekupata ZZK?
 
wewe unaona kama zitto kapotea utakua unaigiza wewe.huwezi kumlinganisha na huyo mzee wako unayemtegemea
 
Wewe kila siku haukosi kuliandama jina la Zitto, amekufanyia nini mbaya? Naona thread zako nyingi ni Zitto, Zitto! Kuna siku nilikuuliza gubu kwa Zitto inatokana na nini? Kama Chama alisha hama; kama Ubunge alisha waachia, sasa kila muda Zitto, Zitto! Huna mada mbadala? Wenzako wapo kwenye kampeni za El., wewe bado upo na Zitto!
 
Tafuta ilani ya ACT-Wazalendo ndo utafahamu kasahaulika au la . Kwa taarifa yako yuko juu vibaya sana anazunguka nchi nzima kueneza sera za chama chake na azimio la Tabora ndo maana wananchi wengi wanajiunga na chama anachokiongoza. Sisi wananchi tunamsikia sana na kimsingi tunakubaliana naye na misingi ya kurudisha maadili ya Taifa tuliyoyapoteza.Unatumia chombo gani cha habari ndugu yangu? TBC ,STAR TV au ITV hivi huwa havina habari za Kiongozi huyu kwani vina mwelekeo wa CCM au CDM. KOMBAINI YA MAFISADI ,WEZI, WALA RUSHWA ,WASIOPENDA MABADILIKO, WADINI NA WAKABILA.
 
Wasaliti mwisho wao ni kugeukana sasa kitila naye kakataa kuchukua fomu chama kitamfia mikononi na bungeni harudi
 
Wasaliti mwisho wao ni kugeukana sasa kitila naye kakataa kuchukua fomu chama kitamfia mikononi na bungeni harudi

Form ya urais iko mfukoni mwa mwigamba anatembea nayo kama leso
 
Tafuta ilani ya ACT-Wazalendo ndo utafahamu kasahaulika au la . Kwa taarifa yako yuko juu vibaya sana anazunguka nchi nzima kueneza sera za chama chake na azimio la Tabora ndo maana wananchi wengi wanajiunga na chama anachokiongoza. Sisi wananchi tunamsikia sana na kimsingi tunakubaliana naye na misingi ya kurudisha maadili ya Taifa tuliyoyapoteza.Unatumia chombo gani cha habari ndugu yangu? TBC ,STAR TV au ITV hivi huwa havina habari za Kiongozi huyu kwani vina mwelekeo wa CCM au CDM. KOMBAINI YA MAFISADI ,WEZI, WALA RUSHWA ,WASIOPENDA MABADILIKO, WADINI NA WAKABILA.

Mara ya mwisho nilimshuhudia iringa akizomewa na wana iringa,hivi hajisikii vibaya kuzomewa?kuna siku atashushiwa kibano
 
Utamuona tu muda si mrefu. Mpaka sasa hakuna mwanasiasa anayefikia level ya zitto.
Utamuona kwenye bunge lijalo na utashuhudia mambo mengi mazuri kutoka ACT.
Pamoja na kuwa wewe unachuki binafsi kwa zitto lakini tambua kuwa yeye hakuchukii bali anakupenda sana na anaamini ipo siku utakuwa Mzalendo.
 
Nafikiri huijui siasa, labda hujui maana ya dynamic. Kafulila alipofukuzwa cdm, wasiojua siasa walimsema kama wewe unavyomsema zitto.
 
Back
Top Bottom