MR.CHOGERO
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 118
- 30
Wamechukua form bila kuwa na mgombea
Halo hki chama kina weu yaani wanaenda kuchukua fomu pasipokuwa na mgombea? ACT sipati picha
Wamechukua form bila kuwa na mgombea
Utamuona tu muda si mrefu. Mpaka sasa hakuna mwanasiasa anayefikia level ya zitto.
Utamuona kwenye bunge lijalo na utashuhudia mambo mengi mazuri kutoka ACT.
Pamoja na kuwa wewe unachuki binafsi kwa zitto lakini tambua kuwa yeye hakuchukii bali anakupenda sana na anaamini ipo siku utakuwa Mzalendo.
ha ha ha, atakuwa anafuatilia kwenye vijiwe kama sisi!!!Kwa undumila kuwili wake mjengo atausikia kupitia luninga
wewe unaona kama zitto kapotea utakua unaigiza wewe.huwezi kumlinganisha na huyo mzee wako unayemtegemea
Utamuona tu muda si mrefu. Mpaka sasa hakuna mwanasiasa anayefikia level ya zitto.
Utamuona kwenye bunge lijalo na utashuhudia mambo mengi mazuri kutoka ACT.
Pamoja na kuwa wewe unachuki binafsi kwa zitto lakini tambua kuwa yeye hakuchukii bali anakupenda sana na anaamini ipo siku utakuwa Mzalendo.
Form ya urais iko mfukoni mwa mwigamba anatembea nayo kama leso
Nafikiri huijui siasa, labda hujui maana ya dynamic. Kafulila alipofukuzwa cdm, wasiojua siasa walimsema kama wewe unavyomsema zitto.
Mkuu hiyo ajui jinsi gani yuda anavyopata tabu ya kuzomewa kuanzia tunduma iringa akipanda jukwani watu wanaimba yuda yuda yuda wasaliti ndio mwisho wao watasalitiana wenyewe kwa wenyewe kama kitila alivyokataa kuchukua fomu na ubunge watakataa hivyo hivyoUmewahi kumuona huyo mzee wangu anazomewa jukwaani kama anavyozomewa zzk kila anakokwenda?mwisho ni juzijuzi mjini iringa alipo aibika kwa kuzomewa
Amesahaulikaje wakati wewe bado unamkumbuka na hata kama akisahaulika si ndio vizuri kwenu chaggadema au mzimu wa Chacha Wangwe na Zitto bado unawapa maruweruwe.................Kwa mwana siasa au mfuatliaji wa siasa za hapa Tanzania jina la ZZK lilikuwa ni maarufu sana kupitia vyombo vya habari ikiwepo mitandao ya kijamii kipindi ZZK yupo ndani ya CHADEMA kwa kufuatilia mawazo na ushauri wake.
Lakini kwa sasa baada ya kuwa nje ya CHADEMA hatupati tena mawazo na ushauri wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri mwenye hoja murua, nini kimekupata ZZK?
Amesahaulikaje wakati wewe bado unamkumbuka na hata kama akisahaulika si ndio vizuri kwenu chaggadema au mzimu wa Chacha Wangwe na Zitto bado unawapa maruweruwe.................