Andersy
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 586
- 143
Kwa mwana siasa au mfuatliaji wa siasa za hapa Tanzania jina la ZZK lilikuwa ni maarufu sana kupitia vyombo vya habari ikiwepo mitandao ya kijamii kipindi ZZK yupo ndani ya CHADEMA kwa kufuatilia mawazo na ushauri wake.
Lakini kwa sasa baada ya kuwa nje ya CHADEMA hatupati tena mawazo na ushauri wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri mwenye hoja murua, nini kimekupata ZZK?
We uko bize kukusanya bodaboda wa kuchangamsha msafara wa huyo mzee ,,, utajuaje kinachoendelea kingine?