Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,418
- 95,830
- Thread starter
- #241
mbona mkuu unatukana?
hujui kwamba matusi ni kipimo cha kupungukiwa hekima.
huwezi kujenga hoja bila ya kutoa lugha chafu?.
swali dogo naomba nisaidie,
hivi karibuni tumewashuhudia lowasa na sumaye wakiwa mahasimu wakubwa ktkt ccm,
Sumaye alitishia kuondoka kama lowasa angepitishwa,
nini kimewaunganisha?
Duniani kote hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa