Siasa ni mojawapo ya burudani ya moyo kama ilivyo soka ili mradi ujue kucheza
Mkuu act ni zaidi ya kichekesho maana kila kukicha ni burudani
Dhambi ya usaliti itamtafuna mpaka mwisho wake
Watatoana macho hao wasaliti
Tafuta ilani ya ACT-Wazalendo ndo utafahamu kasahaulika au la . Kwa taarifa yako yuko juu vibaya sana anazunguka nchi nzima kueneza sera za chama chake na azimio la Tabora ndo maana wananchi wengi wanajiunga na chama anachokiongoza. Sisi wananchi tunamsikia sana na kimsingi tunakubaliana naye na misingi ya kurudisha maadili ya Taifa tuliyoyapoteza.Unatumia chombo gani cha habari ndugu yangu? TBC ,STAR TV au ITV hivi huwa havina habari za Kiongozi huyu kwani vina mwelekeo wa CCM au CDM. KOMBAINI YA MAFISADI ,WEZI, WALA RUSHWA ,WASIOPENDA MABADILIKO, WADINI NA WAKABILA.
We jamaa unamkubali sana Zitto,sema basi tu,manake huwa unapenda umtaje kila siku japo unajitahidi kumtaja kwa kumponda,safi sana tusaidie kutufanya tumjadili
Makamamda Mufindi Kaskazini kamanda mmoja tayari kajisalimisha kwa Zitto.
Nyie endeleeni kujifariji watu wapo uwanja wa mapambano.
Teh teh teh
Mkuu hivi sheria zinaruhusu? Au wamepewa kwa ajili ni wenzao?Wamechukua form bila kuwa na mgombea
Tatizo la ZZK ni kutaka kuishi maisha ya NJOZI za mchana, eti kuwa kama akina mwl nyerere, Nelson Mandela au kwame nkuruma. Msaniii! Maisha na mitazamo ya wazee hawa hakuna atakaye yaweza kwa kizazi hichi!
Kwa mwana siasa au mfuatliaji wa siasa za hapa Tanzania jina la ZZK lilikuwa ni maarufu sana kupitia vyombo vya habari ikiwepo mitandao ya kijamii kipindi ZZK yupo ndani ya CHADEMA kwa kufuatilia mawazo na ushauri wake.
Lakini kwa sasa baada ya kuwa nje ya CHADEMA hatupati tena mawazo na ushauri wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri mwenye hoja murua, nini kimekupata ZZK?
tamaa zilimponza na sasa ana haha ajui pa kutokea na ubunge nako hati hati kuupata