Masikini Zitto Kabwe, umesahaulika kabisa

Masikini Zitto Kabwe, umesahaulika kabisa

Mkuu jamaa wanajichanganya,yaani chama hakina kuheshimiana kama ukoo wa kambale kila mtu ana sharubu
Mkuu hivi uwa unafanya majukumu mengine muda gani au wewe ni robot siyo binadamu wa kawaida aisee kila baada ya sekunde 30 unaandika post mpya Ahahahhaha
 
Mkuu hivi uwa unafanya majukumu mengine muda gani au wewe ni robot siyo binadamu wa kawaida aisee kila baada ya sekunde 30 unaandika post mpya Ahahahhaha

Mkuu kwako wewe kazi ninini?unaweza kukaa nyumbani na kusubiria wafanyakazi wako wakuletee mapato kutoka kwenye vitega uchumi vyako nahiyo ni kazi pia?au ulitaka nikapasue mawe?
 
Cdm oooooeeee. Cdm ina kila kitu ila wamekosa dk . kama wangekuwa na dk wasingempa ugombea urasi mgojwa kama (nyambole) el.sasa kazi mlionayo ni kuanza kutembea na gali ya wagojwa.

Kuna madaktari wengi sana cdm sasa sijui una maanisha dr wa aina gani
 
Mara ya mwisho nilimshuhudia iringa akizomewa na wana iringa,hivi hajisikii vibaya kuzomewa?kuna siku atashushiwa kibano

ndicho kilichokusukuma kuanzisha uzi huu.....fanyeni yenu achaneni na yasiyo wahusu...watu wengine sijui mmezaliwa bar
 
ndicho kilichokusukuma kuanzisha uzi huu.....fanyeni yenu achaneni na yasiyo wahusu...watu wengine sijui mmezaliwa bar

Mkuu uzi huu na kuzaliwa bar mbona ni vitu viwili tofauti kabisa?,tuliza munkali utapona tu taratibu
 
Mkuu hivi uwa unafanya majukumu mengine muda gani au wewe ni robot siyo binadamu wa kawaida aisee kila baada ya sekunde 30 unaandika post mpya Ahahahhaha

Nadhani Mboye amewaupgrade baadhi ya misukule yake kama huyu yuko a bit acrobat ili kuendena na hii trend ya election. Swali la kujiuliza, ikiwa mmoja amekuwa na speed hii je akiamua kuwa-upgrade hamsini si server zitafloat in a sec? plus na Lowasa akiongezea ufanisi (ufisadi) Duh! yaani hatuna JF.
 
Tafuta ilani ya ACT-Wazalendo ndo utafahamu kasahaulika au la . Kwa taarifa yako yuko juu vibaya sana anazunguka nchi nzima kueneza sera za chama chake na azimio la Tabora ndo maana wananchi wengi wanajiunga na chama anachokiongoza. Sisi wananchi tunamsikia sana na kimsingi tunakubaliana naye na misingi ya kurudisha maadili ya Taifa tuliyoyapoteza.Unatumia chombo gani cha habari ndugu yangu? TBC ,STAR TV au ITV hivi huwa havina habari za Kiongozi huyu kwani vina mwelekeo wa CCM au CDM. KOMBAINI YA MAFISADI ,WEZI, WALA RUSHWA ,WASIOPENDA MABADILIKO, WADINI NA WAKABILA.

Act-wasaliti. Mupeni tigo prof pumba awasadie, maana naye kafuata nyayo za Zigo(usaliti).
 
Hawawezi simamisha mgombea uraisi...kwa kuwa kura zao wamempa magufuli.
 
Nadhani Mboye amewaupgrade baadhi ya misukule yake kama huyu yuko a bit acrobat ili kuendena na hii trend ya election. Swali la kujiuliza, ikiwa mmoja amekuwa na speed hii je akiamua kuwa-upgrade hamsini si server zitafloat in a sec? plus na Lowasa akiongezea ufanisi (ufisadi) Duh! yaani hatuna JF.

Mkuu mimi ni mtu huru siyo mtumwa kama unavyojiongopea,kama wewe ni mtumwa wa kiongozi wa siasa pole sana
 
Utamuona tu muda si mrefu. Mpaka sasa hakuna mwanasiasa anayefikia level ya zitto.
Utamuona kwenye bunge lijalo na utashuhudia mambo mengi mazuri kutoka ACT.
Pamoja na kuwa wewe unachuki binafsi kwa zitto lakini tambua kuwa yeye hakuchukii bali anakupenda sana na anaamini ipo siku utakuwa Mzalendo.

Hawataki ukweli
 
Back
Top Bottom