Masikini Zitto Kabwe, umesahaulika kabisa

Mkuu jamaa wanajichanganya,yaani chama hakina kuheshimiana kama ukoo wa kambale kila mtu ana sharubu

Wasaliti siku zote awaaminiani umeona wanavyomsema kitila kuwa kapewa ela apo ndio utaona dhambi ya usaliti inavyofanya kazi
 
Hata Yuda Iskarioti aliyemsaliti Yesu alijinyongwa, sasa huyu amenyongwa na wananchi.
 
Kwa mwana siasa au mfuatliaji wa siasa za hapa Tanzania jina la ZZK lilikuwa ni maarufu sana kupitia vyombo vya habari ikiwepo mitandao ya kijamii kipindi ZZK yupo ndani ya CHADEMA kwa kufuatilia mawazo na ushauri wake.

Lakini kwa sasa baada ya kuwa nje ya CHADEMA hatupati tena mawazo na ushauri wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri mwenye hoja murua, nini kimekupata ZZK?

Hua unamuota eti:banghead::banghead::banghead::banghead::banghead:
 
Wewe kila siku haukosi kuliandama jina la Zitto, amekufanyia nini mbaya? Naona thread zako nyingi ni Zitto, Zitto! Kuna siku nilikuuliza gubu kwa Zitto inatokana na nini? Kama Chama alisha hama; kama Ubunge alisha waachia, sasa kila muda Zitto, Zitto! Huna mada mbadala? Wenzako wapo kwenye kampeni za El., wewe bado upo na Zitto!

Hua analiota sana
 
Wasaliti siku zote awaaminiani umeona wanavyomsema kitila kuwa kapewa ela apo ndio utaona dhambi ya usaliti inavyofanya kazi

Wasali wanasalitiana?
 
Hua unamuota eti:banghead::banghead::banghead::banghead::banghead:

Nasikia form ya urais mnatembea nayo mifukoni kama leso?angalieni vibaka wasi wachomolee
 
Kijana alikuwa na mhemuko wa siasa akafikiri kuendesha chama ni sawa na toroli.Kapewa mikoba ya kiongozi mkuu --------- wa ACT kashindwa kukitoa chama toka chumbani kwake kabaki kubwabwaja kama mtoto mdogo mara ohoo tutachukua wabunge 50 toka CCM na CDM mpaka leo chama hakina nyuma wala mbele.

Kuendesha chama si mchezo hata kidogo mwangalie John Cheyo na Augustine Mrema mpaka leo wameshindwa kuandaa warithi wao hakuna mwanasiasa makini atakayekubali kujiunga nao.Kinachoendelea TLP na UDP ndicho kitakachokujatokea ACT Wanafiki.
 
Tafuta ilani ya ACT-Wazalendo ndo utafahamu kasahaulika au la . Kwa taarifa yako yuko juu vibaya sana anazunguka nchi nzima kueneza sera za chama chake na azimio la Tabora ndo maana wananchi wengi wanajiunga na chama anachokiongoza. Sisi wananchi tunamsikia sana na kimsingi tunakubaliana naye na misingi ya kurudisha maadili ya Taifa tuliyoyapoteza.Unatumia chombo gani cha habari ndugu yangu? TBC ,STAR TV au ITV hivi huwa havina habari za Kiongozi huyu kwani vina mwelekeo wa CCM au CDM. KOMBAINI YA MAFISADI ,WEZI, WALA RUSHWA ,WASIOPENDA MABADILIKO, WADINI NA WAKABILA.

Kuwa makini na sentensi zako. tumia umoja, sema mimi na siyo sisi. mimi simsikii kabisa. wala sitaki kumsikia
 
Mkuu jitahidi sana kuwa na heshima au hata kupiga magoti wakati wa kuitaja cdm,maana ndio chama dola tarajiwa for100% hivyo onyesha nidhamu kidogo

[h=3]UKOO WA CHADEMA BUNGENI WAANIKWA: GAZETI LA UHURU[/h]

BAADHI ya wabunge wameiumbua CHADEMA, wakieleza kuwa chama hicho ndicho kinaongozwa kwa utawala wa kifalme.

"Lissu kaja na dada yake. Ukienda kwa Mwenyekiti wa Chama ana ndugu watatu, Slaa kuna mke wake, nani ana utawala wa kifalme? Ndesamburo amekuja na mtoto wake na mkwe wake, Samahani Mh. Ndesamburo"

Akichangia juzi, muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2011,
Assumpter Mshama (Nkenge –CCM), alisema utawala wa kifalme upo CHADEMA.

"Mfadhili wao amekuja na mtoto wake, kuna mdogo wake, ukienda kwa Lissu kaja na dada yake. Ukienda kwa mwenyekiti wa chama ana ndugu watatu, nani ameleta ufalme zaidi," alihoji.

Aliongeza: "Slaa kuna mke wake, nani ana utawala wa kifalme, Ndesamburo amekuja na mtoto wake na mkwe wake, samahani mheshimiwa Ndesamburo.

"CCM ilitengeneza utaratibu wa kupata viongozi wa viti maalumu, wao si kifalme tu, tuseme ni kaskazini tu, nawashangaa watu wanaojiita CHADEMA, wenzako wako bungeni huulizi wamepatikanaje."

Kwa upande wake, Livingstone Lusinde
(Mtera-CCM), akichangia jana, alisema CHADEMA ndiyo yenye tabia ya kupeana madaraka kwa kufuata unasaba.

Alisema viti maalumu vimetolewa kwa unasaba, na kama hilo lingefanywa na CCM ingekuwa wimbo kila siku.

"Ndiyo maana humu ndani wamo wakwe, dada, kaka, ingekuwa ni kwa CCM ingekuwa wimbo kila siku. Nashangaa wanaposema rais anaongoza kifalme," alisema.

Lusinde alisema wanaotoa vitisho vya kuandamana na kwamba wapo tayari kufa kwa ajili ya katiba waachwe wafanye hivyo kwani wa kuzuia fujo wapo.

"Wanaotaka kufanya vurugu waachwe tu, wengine wanasema wapo tayari kufa kwa ajili ya katiba. Mimi sipo tayari nataka nione katiba mpya, ambayo Watanzania wamekuwa wakiitaka kwa muda mrefu," alisema.

Lusinde aliohoji busara ya wazee wa CHADEMA ambao wameshindwa kutoa kauli baada ya vijana wao kuchafua hali ya hewa.

Mbunge huyo alisema CHADEMA inafanya hivyo kutokana na ahadi ya fedha waliyopewa na Ujerumani.

CHADEMA imesusa kujadili muswada huo unaohitimishwa leo, baada ya kujadiliwa kwa siku nne, kwa kile wanachodai umekosa uhalali kwa kukiuka Kanuni za Bunge.

Hata hivyo, CHADEMA imekuwa ikijibu hoja zinazojadiliwa na wabunge bungeni, kupitia mikutano na waandishi wa habari inayofanyika kila siku mchana, ambapo katika mkutano wa jana imeliomba bunge kutopitisha muswada huo.

Mikutano hiyo imekuwa ikiitishwa na viongozi wa CHADEMA, John Mnyika (Ubungo) na Tundu Lissu (Singida Mashariki), ambaye Jumatatu wiki hii aliwasilisha maoni ya Kambi ya Upinzani Bungeni, kuhusu muswada huo.

Katika maoni hayo, alipendekeza baadhi ya mambo kwenye muswada huo na pia aliwachefua wabunge kutokana na hoja zake kuhusu Muungano na pia kutamka kuwa Tanzania ina urais wa kifalme.

John Lwanji (Manyoni Magharibi-CCM), alisema wanachofanya CHADEMA ni sawa na kiini macho katika mazingaombwe, akitumia neno abrakadebra.

Benardetha Mushashu (Viti Maalumu-CCM), alihoji CHADEMA walitoka bungeni kwa kanuni gani na mbona hawachukuliwi hatua.

"Wanawalaghai wananchi, Lissu alichangia muswada. Wanaharakati wanatangaza kufanya maandamano yasiyo na kikomo kama kwamba hakuna serikali, wakijaribu wataona," alisema.

Alisema kinachoendelea Arusha ni matokeo ya maandamano ya kila siku, ambayo hivi sasa yameanza kushamiri Mwanza, ambapo watu wanapigwa mabomu ya machozi.

"Libya walianza na maandamano, Gaddafi ameuawa, lakini hivi sasa wanauana," alisema.

Wakati huo huo, Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema hamlazimishi mbunge kuingia kwenye kamati, bali anachofanya ni kufuata Kanuni za Bunge na Katiba.

Alisema hayo bungeni jana, kutokana na malalamiko yanayotolewa na CHADEMA na NCCR-Mageuzi kwamba, spika alilazimisha wabunge kuingia katika Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, kujadili muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2011.

Spika Anne alisema CHADEMA hawakutumia busara kutoka ndani ya ukumbi wa bunge, bali wangewasilisha hoja zao, na endapo wangeshindwa, basi wangeshindwa kishujaa.

[h=3]UKOO WA CHADEMA BUNGENI WAANIKWA: GAZETI LA UHURU[/h]

BAADHI ya wabunge wameiumbua CHADEMA, wakieleza kuwa chama hicho ndicho kinaongozwa kwa utawala wa kifalme.

"Lissu kaja na dada yake. Ukienda kwa Mwenyekiti wa Chama ana ndugu watatu, Slaa kuna mke wake, nani ana utawala wa kifalme? Ndesamburo amekuja na mtoto wake na mkwe wake, Samahani Mh. Ndesamburo"

Akichangia juzi, muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2011,
Assumpter Mshama (Nkenge –CCM), alisema utawala wa kifalme upo CHADEMA.

“Mfadhili wao amekuja na mtoto wake, kuna mdogo wake, ukienda kwa Lissu kaja na dada yake. Ukienda kwa mwenyekiti wa chama ana ndugu watatu, nani ameleta ufalme zaidi,” alihoji.

Aliongeza: “Slaa kuna mke wake, nani ana utawala wa kifalme, Ndesamburo amekuja na mtoto wake na mkwe wake, samahani mheshimiwa Ndesamburo.

“CCM ilitengeneza utaratibu wa kupata viongozi wa viti maalumu, wao si kifalme tu, tuseme ni kaskazini tu, nawashangaa watu wanaojiita CHADEMA, wenzako wako bungeni huulizi wamepatikanaje.”

Kwa upande wake, Livingstone Lusinde
(Mtera-CCM), akichangia jana, alisema CHADEMA ndiyo yenye tabia ya kupeana madaraka kwa kufuata unasaba.

Alisema viti maalumu vimetolewa kwa unasaba, na kama hilo lingefanywa na CCM ingekuwa wimbo kila siku.

“Ndiyo maana humu ndani wamo wakwe, dada, kaka, ingekuwa ni kwa CCM ingekuwa wimbo kila siku. Nashangaa wanaposema rais anaongoza kifalme,” alisema.

Lusinde alisema wanaotoa vitisho vya kuandamana na kwamba wapo tayari kufa kwa ajili ya katiba waachwe wafanye hivyo kwani wa kuzuia fujo wapo.

“Wanaotaka kufanya vurugu waachwe tu, wengine wanasema wapo tayari kufa kwa ajili ya katiba. Mimi sipo tayari nataka nione katiba mpya, ambayo Watanzania wamekuwa wakiitaka kwa muda mrefu,” alisema.

Lusinde aliohoji busara ya wazee wa CHADEMA ambao wameshindwa kutoa kauli baada ya vijana wao kuchafua hali ya hewa.

Mbunge huyo alisema CHADEMA inafanya hivyo kutokana na ahadi ya fedha waliyopewa na Ujerumani.

CHADEMA imesusa kujadili muswada huo unaohitimishwa leo, baada ya kujadiliwa kwa siku nne, kwa kile wanachodai umekosa uhalali kwa kukiuka Kanuni za Bunge.

Hata hivyo, CHADEMA imekuwa ikijibu hoja zinazojadiliwa na wabunge bungeni, kupitia mikutano na waandishi wa habari inayofanyika kila siku mchana, ambapo katika mkutano wa jana imeliomba bunge kutopitisha muswada huo.

Mikutano hiyo imekuwa ikiitishwa na viongozi wa CHADEMA, John Mnyika (Ubungo) na Tundu Lissu (Singida Mashariki), ambaye Jumatatu wiki hii aliwasilisha maoni ya Kambi ya Upinzani Bungeni, kuhusu muswada huo.

Katika maoni hayo, alipendekeza baadhi ya mambo kwenye muswada huo na pia aliwachefua wabunge kutokana na hoja zake kuhusu Muungano na pia kutamka kuwa Tanzania ina urais wa kifalme.

John Lwanji (Manyoni Magharibi-CCM), alisema wanachofanya CHADEMA ni sawa na kiini macho katika mazingaombwe, akitumia neno abrakadebra.

Benardetha Mushashu (Viti Maalumu-CCM), alihoji CHADEMA walitoka bungeni kwa kanuni gani na mbona hawachukuliwi hatua.

“Wanawalaghai wananchi, Lissu alichangia muswada. Wanaharakati wanatangaza kufanya maandamano yasiyo na kikomo kama kwamba hakuna serikali, wakijaribu wataona,” alisema.

Alisema kinachoendelea Arusha ni matokeo ya maandamano ya kila siku, ambayo hivi sasa yameanza kushamiri Mwanza, ambapo watu wanapigwa mabomu ya machozi.

“Libya walianza na maandamano, Gaddafi ameuawa, lakini hivi sasa wanauana,” alisema.

Masikini nakuonea huruma sana,yaani hadi karne hii unasoma makarasi ya kufungia vitumbua?
 
Mtoa mda ni bonge la GT. endelea kuwa mbeya na mdaku tumeanzisha tunzo katika fani hiyo naamini utashinda kwa jinsi ulivo mahiri na kazi yako. btw Zitto kama umembebea uja uzito then hajakuowa hasira zako malizaneni huko guest lenu chapa viboko.
 
1:Abeid Amani Karume,-Amani Abeid Karume

2:Ally Hasan Mwinyi-Husein mwinyi

3:jakaya kikwete-Riziwani kikwete

4:chiligati-mary chirigati

5:Gertrude mongela-mongela rc kagera

6:kigoma malima-Adam malima

7:Rashi kawawa -vita kawawa

Na wengine wengine ambao siwezi kuwakumbuka kwa sasa,hivyo unavyo ishi kwenye Nyumba ya vioo pls husianzishe vita ya kurushiana mawe
 
Masikini nakuonea huruma sana,yaani hadi karne hii unasoma makarasi ya kufungia vitumbua?

........................Hapana kamanda nasoma magaeti ya mungu wetu wa chama jembe asiekosea mwenye mijumba dubai anaweza kusema andamaneni tukaandamana huku yeye akinywa chai SERENA naFAMILIA yake.Lazima tukomboe nchi kamanda soma...........................MAW.IO,MwanaHalisi,TanzaniaDaima ujenge uchumi wa KOMU,MTEI na Ndessapessa..............KARIBU.........................Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.
quote_icon.png
By Haki sawa
Kutokana na mjadala ambao tayari umeshawekwa hapa na kujadiliwa kwa siku mbili mfululizo , nimeona kuwa kuna watu wanafanya propaganda badala ya kujaribu kuutafuta ukweli wa jambo lenyewe na kuangalia rationale ya jambo linalojadiliwa .

Mimi niliamua kufanya jambo moja la kujaribu kuangalia nini alichokua amedeclare Mbowe kwenye Tume ya maadili ya viongozi kwa mujibu wa Sheria ya maadili ya viongozi wa umma , nimekuwa mambo yafuatayo na kama yupo ambaye anaweza kunichallenge na aje a seem hapa na sio kuhangaika na Gutter politics ,

Mbowe Freeman , kwenye fomu zake alideclare kuwa anamiliki nyumba kwenye nchi zifuatazo,USA, UK, SOUTH AFRICA , DUBAI NA NAIROBI . Nyumba zote hizo alionesha alizinunua lini na zipo maeneo gani kwenye nchi hizo ,

Aidha, kuhusu kumiliki Akounti ya Benki nje ya Nchi alionesha kuwa anamiliki Akaunti iliyopo London Barclays Bank na nyingine iko Hull City, na Benki moja USA .Ila hana Akaunti katika nchi ya Uswisi wala kwenye offshore nyingine zozote zile .

vyote hivyo vipo kwenye fomu ya maadili ya viongozi , pia alionesha kuwa Ana madeni kwenye mabenki mbalimbali ndani nanje ya nchi , na hii ni kwa mujibu wa sheria .

Sasa hapo nimeona nisaidie kutoa ufafanuzi huu, na kama mtu unataka unaweza kwenda pale tume ya maadili ya viongozi wa umma na unalipia kiasi cha shilingi 1,000 tu na unapewa fomu hizo ila huruhusiwi kuondoka nazo wala kupiga picha au kutoa nakala ya fomu (photocopy) .

hivyo , jukwaa kuendelea na kujadiliana kuhusu nyumba moja ya DUBAI , ni vyema jukwaa likarudi kwenye heshima yake ya siku za nyuma ya kuwa mbele ya waandishi kwa kwenda hatua moja mbele katika kuutafuta ukweli wenyewe na sio kuendelea kulifanya jukwaa kuwa kama sehemu ya udaku.

Hivyo, basi badala ya kusubiria wakina Ezekiel Kimwaga , kuandika taarifa za upande mmoja wanaotaka wao kuwa ni Mbowe, Rostam Na Ngeleja tu ndio ambao waliombwa kusaidia timu hiyo katika kutafuta ukweli wa fedha za Uswisi, ni kuwa wabunge wote walioongea siku ya mjadala huo walihojiwa akiwemo Zitto Kabwe ambaye alihojiwa kwa saa nane na timu hiyo, pamoja na wabunge wengine wengi na wafanyabiashara wakiwemo mameneja wa Benki mbalimbali na wamiliki wa maduka ya fedha .

Ni Imani yangu kuwa kwa hili nimeweza kulisaidia jukwaa kuwa na mjadala ambao ni focused , na turejee historia yetu ya kubwa mbele ya media nyingine na sio kama ambavyo leo tunakuwa .........
 
Mtoa mda ni bonge la GT. endelea kuwa mbeya na mdaku tumeanzisha tunzo katika fani hiyo naamini utashinda kwa jinsi ulivo mahiri na kazi yako. btw Zitto kama umembebea uja uzito then hajakuowa hasira zako malizaneni huko guest lenu chapa viboko.

Mkuu pole maana ukirusha jiwe kichakani ukasikia yalaaaa,basis ujue limempata mtu
 
........................Hapana kamanda nasoma magaeti ya mungu wetu wa chama jembe asiekosea mwenye mijumba dubai anaweza kusema andamaneni tukaandamana huku yeye akinywa chai SERENA naFAMILIA yake.Lazima tukomboe nchi kamanda soma...........................MAW.IO,MwanaHalisi,TanzaniaDaima ujenge uchumi wa KOMU,MTEI na Ndessapessa..............KARIBU.........................Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.
quote_icon.png
By Haki sawa
Kutokana na mjadala ambao tayari umeshawekwa hapa na kujadiliwa kwa siku mbili mfululizo , nimeona kuwa kuna watu wanafanya propaganda badala ya kujaribu kuutafuta ukweli wa jambo lenyewe na kuangalia rationale ya jambo linalojadiliwa .

Mimi niliamua kufanya jambo moja la kujaribu kuangalia nini alichokua amedeclare Mbowe kwenye Tume ya maadili ya viongozi kwa mujibu wa Sheria ya maadili ya viongozi wa umma , nimekuwa mambo yafuatayo na kama yupo ambaye anaweza kunichallenge na aje a seem hapa na sio kuhangaika na Gutter politics ,

Mbowe Freeman , kwenye fomu zake alideclare kuwa anamiliki nyumba kwenye nchi zifuatazo,USA, UK, SOUTH AFRICA , DUBAI NA NAIROBI . Nyumba zote hizo alionesha alizinunua lini na zipo maeneo gani kwenye nchi hizo ,

Aidha, kuhusu kumiliki Akounti ya Benki nje ya Nchi alionesha kuwa anamiliki Akaunti iliyopo London Barclays Bank na nyingine iko Hull City, na Benki moja USA .Ila hana Akaunti katika nchi ya Uswisi wala kwenye offshore nyingine zozote zile .

vyote hivyo vipo kwenye fomu ya maadili ya viongozi , pia alionesha kuwa Ana madeni kwenye mabenki mbalimbali ndani nanje ya nchi , na hii ni kwa mujibu wa sheria .

Sasa hapo nimeona nisaidie kutoa ufafanuzi huu, na kama mtu unataka unaweza kwenda pale tume ya maadili ya viongozi wa umma na unalipia kiasi cha shilingi 1,000 tu na unapewa fomu hizo ila huruhusiwi kuondoka nazo wala kupiga picha au kutoa nakala ya fomu (photocopy) .

hivyo , jukwaa kuendelea na kujadiliana kuhusu nyumba moja ya DUBAI , ni vyema jukwaa likarudi kwenye heshima yake ya siku za nyuma ya kuwa mbele ya waandishi kwa kwenda hatua moja mbele katika kuutafuta ukweli wenyewe na sio kuendelea kulifanya jukwaa kuwa kama sehemu ya udaku.

Hivyo, basi badala ya kusubiria wakina Ezekiel Kimwaga , kuandika taarifa za upande mmoja wanaotaka wao kuwa ni Mbowe, Rostam Na Ngeleja tu ndio ambao waliombwa kusaidia timu hiyo katika kutafuta ukweli wa fedha za Uswisi, ni kuwa wabunge wote walioongea siku ya mjadala huo walihojiwa akiwemo Zitto Kabwe ambaye alihojiwa kwa saa nane na timu hiyo, pamoja na wabunge wengine wengi na wafanyabiashara wakiwemo mameneja wa Benki mbalimbali na wamiliki wa maduka ya fedha .

Ni Imani yangu kuwa kwa hili nimeweza kulisaidia jukwaa kuwa na mjadala ambao ni focused , na turejee historia yetu ya kubwa mbele ya media nyingine na sio kama ambavyo leo tunakuwa .........

Naona kizunguzungu kinakusumbua na sasa umetoka kwenye mada
 
Cdm oooooeeee. Cdm ina kila kitu ila wamekosa dk . kama wangekuwa na dk wasingempa ugombea urasi mgojwa kama (nyambole) el.sasa kazi mlionayo ni kuanza kutembea na gali ya wagojwa.
 
Back
Top Bottom