Yeah ni kweli lakini sasa mimi nikitapata sehemu ya dau kubwa naondoka ila si unajua tena kazi zinatofautiana kwa hili suala la kina Ze comedy ni lingine Manji hajawashawishi burebure lazima ni kwa manufaa yake pia!Walikuwa wanapata sikatai lakini hata wewe hollo ukipata a better paying job you leave the old one and move to the new one.mbona christian ronaldo nalipwa mno and still anang'ang'ania better payments?
Yeah ni kweli lakini sasa mimi nikitapata sehemu ya dau kubwa naondoka ila si unajua tena kazi zinatofautiana kwa hili suala la kina Ze comedy ni lingine Manji hajawashawishi burebure lazima ni kwa manufaa yake pia!
Kuhusu Ronaldo wewe muache tu si anang'ang'ania kwenda Madrid atakoma maana huko kila mtu anacheza vizuri atalisugua benchi hadi atakoma!na asipoangalia itakuwa mwisho wake!
kwa kweli mimi ningekuwa wao nisingekubali mhindi afaidike kupitia mgongo wangu!Ukizingatia wahindi kazi yao ni kuiba tu na kutunyanyasaHollo you dony make empty offers.you make an offer expecting something in return.
Kweli Bro Hawa Vijana Wamrudie Mengi Wakafanye Makubaliano Mkuu.unajua Kama Waliona Kitendo Cha Jana Wajue Wazi Hawataweza Kuact Chenge Akifanya Uchawi Bungeni.....mimi Nafikiri Bora Ze Comedy ...na Mengi Waelewane ...warudi Eatv,....kitendo Cha Jana Tvt /tbc Kukataa Kuonesha Hotuba Ya Slaa Kimenipa Hisia Kuwa Hawa Vijana Watapokonywa Uhuru Wao Tbc Hata Kama Tido Ana Nia Njema Lakini...serikali Imeonesha Nia Ovu Ya Kutopenda Kukosolewa....na Inaonekana Vijana Hawatakuwa Na Uhuru Kamili....
Tunaomba Mzee Mengi Na Regina Wawarudishe Hawa Vijana ...wawape Mkataba Mnono...ili Watusaidie Kupambana Na Ufisadi
Once mtu anapotaka kuanzisha kitu its best kama unakuwa na legal counsel.mimi binafsi ni law student.befor nilikuwa hata still nina wasiwasi wa akina joti kuendeleza matimizi ya hili jina 'ze comedy'.wao kama comedians wanaweza ku go an extra mile and be creative watunge jina jipya and still they will make it.If before they made it why not know?
I believe they can fly and make it big.
Hakuna cha uhasama kabisa EATV wana haki kabisa!Hao vijana si watafute jina jingine wanaweza wakajiita THE comedy na si ze comedy na hayo majina wanaweza wakayapindisha kidogo tu kazi inaendelea badala ya kuzidi kulalamika
Lets be frank with one another.Today money is everything.kama wewe unaona pesa si kitu kaa nyumbani ucheze kidali mpo uone mwisho wako ni nini.mnadhani hawataki kuendesha 'vogue' au 'lamborghin'?wanataka ndio maana wanatafuta penye maslahi.
Hakuna cha uhasama kabisa EATV wana haki kabisa!Hao vijana si watafute jina jingine wanaweza wakajiita THE comedy na si ze comedy na hayo majina wanaweza wakayapindisha kidogo tu kazi inaendelea badala ya kuzidi kulalamika
Ndugu, hivi niulize, kuna mtu ana haki miliki ya kipaji cha mtu mwenyewe...?? Ndio kwenye jina wanaweza wakawa wana haki miliki. Ninavyojua na kwa jinsi wanasheria wengine (walio wataalamu wa sheria za haki miliki) manake wengine huwa wanakurupuka hali hawajui haki miliki, mtu huwezi kuwa na haki miliki kwenye talent ya mtu bila idhini yake tena ya kimaandishi..!! Yaani in other words, Asha baraka hana haki miliki na style maarufu ya Ally Choki, ndio maana hata alipokuwa anahama, hakuweza kumpiga stop kuitumia. Ukiongelea kipaji, the first beneficiary wa haki miliki (pale panapokuwa hapana makubaliano yaliyo halali na siyo ya kusurutishwa; kwa lugha ya kisheria pasipo na undue influence) huwa ni mtu mwenyewe. Sasa sielewi huyu jamaa wa COSOTA anakurupuka vipi, hali yeye mwenyewe akishirikiana na BASATA waliwahi kumtetea Mengi, Mhavile na Rita Paulsen pale walipowaibia haki miliki vijana wanyonge hali hawa madogo walikuwa na maandishi ya kuwa wamiliki halali wa copyright ya Bongo Star Search (kesi bado iko mahakamani). Wafuatiliaji wa maswala ya sheria mtakuwa mmeisikia. Hayo tuyaache, tu-concentrate kwenye Ze Comedy.
Kwa hiyo, hawa madogo wasinyanyaswe hata kidogo, na ninaomba wataalamu wa sheria za haki miliki wasimame na kuongea facts. Tuachane na hawa wanasheria waliopewa cha juu na kuanza kuwakandamiza vijana wa watu. Pia tukumbuke kuwa hawa vijana hivi sasa wanafadhiliwa na Manji, na kwa wafuatiliaji wa maswala ya kijamii, mtakumbuka ugomvi kati ya Mengi na Manji ulivyoleta gumzo hapa TZ kiasi cha kuburuzana. Kwa hiyo hii ni ishara tosha ya namna ambavyo Bwana Mengi na familia yake pamoja na washirika wake walivyoamua kuwaharibia vijana hawa bila kujua wakidhani wanamharibia Manji ambaye nahisi keshashiba utajiri. Ushauri wangu kwa Mengi na washirika wake ni kuwa, wasilete ugomvi wao na Manji katika maeneo yatakayoumiza wanyonge. Kama wanataka kupambana wakapambane kule BOT au Kempinski ambako ni kwa mapede wenzao. Au if possible wakapambane huku wakiwaumiza matajiri wengine kama kina Mkono, Bakhresa au Rostam kabisa.
Huu ni ukoloni mamboleo ndani ya nchi yetu wenyewe. EATV ningewashauri wakatae mambo mengine lakini sio matumizi ya talents za vijana wa watu ambao waliamua kujituma badala ya kujiingiza katika u-kibaka na matumizi ya madawa ya kulevya. Tumeona vipindi kibao vya TV vinarushwa leo kwenye SABC kesho kwenye channel nyingine kwa mwendo ule ule.
Na niongezee, watanzania wengi tuna tabia ya kuogopa na kufagilia watu matajiri kiasi kwamba kila anachofanya hata kama ni kinyesi kitaonekana ni pafyumu. Nawaona watu kibao wakiongea hapo juu kuwasapoti EATV. Mi nafikiri ingekuwa busara na hekima kama tungeangalia kama palikuwa na mkataba halali kabisa, wa vijana hawa kushift ownership ya talents zao (i.e. surrender of copyright) to EATV. If upo, then we can say EATV wana haki. Lakini isijeikawa EATV wanaleta janja ya nyani ili kutimiza adhma za pede wao (i.e. kupambana na Manji).
Tuwe waangalifu katika maneno yetu tutatia aibu..!!
Sasa hapa ni balaa naona sasa hivi ze comedy itakuja na sura nyingine kabisa kama maigizo hadi Manji apitishe hii kali sasa!Umaskini huu tabu sana Fisadi anakutumia jinsi anavyotaka!Ila bora uwe maskini jeuri kwa kuworkhard pasipo shinikizo la fisadi kutaka ufanye anavyotaka yeye!kisa nyumba ?gari? kwani hata kubaki EATV hayo yote wangefanya tatizo ni Tamaa za kutaka utajiri wa fasta fasta!Suleimani alikuwa tajiri lakini yote aliona ni UBATILI mtupu!lengo la Manji ni kulinda maslahi ya mafisadi ili wasije wakaanikwa zaidi na ndiyo maana aliweka kipengele cha ku-approve maigizo kabla hayajarushwa hewa
Na niongezee, watanzania wengi tuna tabia ya kuogopa na kufagilia watu matajiri kiasi kwamba kila anachofanya hata kama ni kinyesi kitaonekana ni pafyumu. Nawaona watu kibao wakiongea hapo juu kuwasapoti EATV. Mi nafikiri ingekuwa busara na hekima kama tungeangalia kama palikuwa na mkataba halali kabisa, wa vijana hawa kushift ownership ya talents zao (i.e. surrender of copyright) to EATV. If upo, then we can say EATV wana haki. Lakini isijeikawa EATV wanaleta janja ya nyani ili kutimiza adhma za pede wao (i.e. kupambana na Manji).
Tuwe waangalifu katika maneno yetu tutatia aibu..!!