MASIKINI ZAke NI STAREHE

MASIKINI ZAke NI STAREHE

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1379566_417917668307863_952412959_n.jpg
 
..Kuna ukweli sababu ukiwa vijiweni utasikia jamaa wanvyopanga siku wakizipata. Kuna jamaa flani waliuza nyumba ya urithi, wakagawana km 15M hivi walikuwa kama sita. hee kijana si akahamia gesti Sinza mwezi mzima anazitumbua tu na vimwana. hizo ndo ndoto zake na akawa anazitimiza
 
Aisee halafu anarudi palepale square 1...
 
unaweka shida chini na kula maisha mpaka ziishe na kesho unarudi kwenye msoto!
 
nimeelewa sasa.....

Ingawa umelewa tofauti!!
Maskini Akipata ------ hulia mbwata= maskini akipata kipato/mali/amana huacha yote na kuanza kutembea njian/barabaran/ kisha kuonyesha /kutamba/kuweka mikoko kuwakonga wengineo. au kwa kifupi na kwa maneno mengine = "asiyenacho siku akipata atafanya mikogo ili mjue kapata"

SP
 
sasa hela anazitoa wapi ilhali yeye ni masikini?
Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom