Kwa nini kuna masikini duniani ?

Kwa nini kuna masikini duniani ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,988
Reaction score
111,315
Kwa nini kuna masikini duniani?

Kwa nini serikali za nchi duniani zinaruhusu kuwepo masikini huku wachache wakiwa ni mabilionea ? Kwa nini zisichukue sehemu ya utajiri wa mabilioniea kuwagaia masikini?

Kwa nini masikini hawajiungia pamoja kudai na kuwalazimisha matajiri wawagawie utajiri wao ?
 
Society yeyote isiyo na haki na usalama, guaranteed itakuwa maskini, especially nchi za kiafrica ukiangalia vizuri umaskini wao sababu kubwa ni ukosefu wa haki
 
Waliupataje? Kwanini wasikufundishe namna ya kupata badala ya kukugawia. Wakikugawia huo utajiri utadumu nao kwa muda gani.

Tupambane mazee
 
Waliupataje? Kwanini wasikufundishe namna ya kupata badala ya kukugawia. Wakikugawia huo utajiri utadumu nao kwa muda gani.

Tupambane mazee
Nani uliwahi kuona amefundishwa kuwa tajiri akawa Tajiri??
 
Back
Top Bottom