MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,262
- 13,399
Ikiwa ngono ni tendo la masikini na ndio starehe yao kubwa inavyosemekana!
Hawa matajili starehe kubwa ni zipi?
Tuambiane ili watakao kuwa wanatoka kwenye Lindi la umasikini na vipato vya kati juu, wafahamu uelekeo wao?
Hawa matajili starehe kubwa ni zipi?
Tuambiane ili watakao kuwa wanatoka kwenye Lindi la umasikini na vipato vya kati juu, wafahamu uelekeo wao?