Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

Kwa hiyo ulionewa kwenye icho kibuti sio? Naona umefarijika naye kupigwa cha mbavu. Ila kuachwa sijui kama ntaweza tena na uzee huu kuvumilia... labda apotee kisailensa au tuachane. Ila vinginevyo... its done its done.. onwards onwards... no turning back..
 
hahahahhahahaha, inatia huruma sana hasa pale mabinti tunavyoshindwa kujizuia na kushoboka na wanaume wenye maisha mazur. Huwa inanisikitisha kweli. Yaani unashoboka hadi mwenyewe anajua. Tujifunze kujikaza mwenzangu na kujifanya kama umeyazoea hivi na kuona vya kawaida.
Liko wazi mkuu, huyo kapenda range na siyo anataka kurudi kwako kwa mapenzi.
 
Mkuu Amicus Curiae siku hizi unaishi Dar? Nakumbuka uzi wako wa kuachiwa mtoto ubungo maelezo yake yamegongana na ya uzi huu! Au uzi upi kati ya huu na ule wa kuachiwa mtoto ubungo ni wa magumashi?
 
Last edited by a moderator:
Mi naona haya hayatuhusu.
 
Duh mie siwezi uza na gari ya mtu aisee
 
Tumia akili mkuu ,usitumie hisia, jiulize kilichomkimbiza kwako wakati ule ni kipi na sasa kipi kinachomrudisha? Hakujali kukuumiza, alijali hisia zake. Sasa wewe endelea kumng'ang'ania sisi tunasubiri episode 3, tupo hapa tutakushauri.
 
Maisha ya kuigiza bhana vituko tupu,mwambie gari siyo yako....
 
Huyu ndo yule aliyekuwa anasita kumpokea yule mtoto ama? Anyway ,nini ilikuwa sababu ya yeye kukuacha?na leo? Anyway sikiliza moyo wako mapenzi hayanaga ushauri !!!!
 
Stori nyingine bwana.......umeazima gari la mwanao....hadi mwanao ana gari tena R/Rover Vague maana yake ww ni mtu mzima sana .......umeachana na huyo girl wako miezi6 iliyopita na bado unampenda pamoja na kwamba alikumwaga. Hivi mtu umri wa kwako ni wa kubabaika na mapenzi ya akina girl?????? Yeye yupo chuo mlimani anasomea udaktari..... Udaktari wa binadamu au PhD???????? Kwa vyovyote alivyo, wewe na yeye wote mawenge. Stori yako haiingii masikioni mwa mtu mwenye akiri. Kawatafute mbulula wenzio na uludi ukajipange upya.
 
Mkuu huyo mpige chini km alikubwanga achananaye.unaweza ukamrundia akajakukuumiza. Zaidi ya hapo inamaana kipindi uko naye mshikaji naye alikua anamenga mzingo punda nyama huyo atakuzingua zaidi ya hapo
 
unataka umepe jibu la kumuowa(muanze mipango ya harusi na kujitambulisha) au kumgegeda kwanza kimjini mjini ?

Mkuu ndoa bado kwanza

Nataka nimgegede huku nampima kama amejuta kweli na kabadilika
 
Ok, mrudie na akikupiga tena kibuti baada ya kugunddua (Range rover evoque) si yako kumbe una ile ile Hyundai Coupe Sports car, usisite kuja kutujulisha!

Mkuu ungenishauri kuliko kunikatisha tamaa

Leo yamenikuta mimi kesho kwako
 

Kazi ninayo mkuu...

I have to think big before deciding...
 
kwanini we hukumwambia kama hilo gari sio la kwako? ungetafuta njia yoyote na kumuweka waz kuhusu hilo gari kama uliona alionekana kuzuzuka nalo. Anyway! kwakua bado unampenda, basi fungua ukulasa mpya na uendelee kula uzazi!! teh teh teh teh teh!!

Mkuu ningeanzaje anzaje kumwambia?
 

Is that so?!!

NakuPM mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…