Hawapekui ili kujifurahisha ndugu yangu...ni process yenye makusudi kwamba kunapatikana ushahidi ili ku-justify uamzi wa mwendesha mashitaka kumpeleka mtuhumiwa mahakamani na ndiyo maana kama upekuzi ukishindwa kuwa successful wanaweza kuachana na kesi mahakamani. Naelewa ninachokujibu.Kumpekuwa mtuhumiwa ni process tu ya kisheria kabla ya kufika mahakamani,na sio lazima ukutwe na kidhibiti ukipekuliwa
sasa manji kapekuliwa mpaka damu yake,unasemaje kwa hiloHawapekui ili kujifurahisha ndugu yangu...ni process yenye makusudi kwamba kunapatikana ushahidi ili ku-justify uamzi wa mwendesha mashitaka kumpeleka mtuhumiwa mahakamani na ndiyo maana kama upekuzi ukishindwa kuwa successful wanaweza kuachana na kesi mahakamani. Naelewa ninachokujibu.
Mkuu, mwenye mawazo ya kimaskini ni yule anayeumia moyo kumuona mwenzake anafanikiwa kiuchumi. Binafsi sina mawazo hayo bali wewe na wenzako mnaochukia matajiri.Basi nikushauri uache hayo mawazo ya kimaskini, usiwe km wale wanaotumia taasisi zinawazowazunguka kujificha! 'eti wananichukia nina pesa' !! hakuna kitu km hicho
Kwanza hawa matajiri wengine wanapata pesa kwa kuwalisha sumu wanetu iweje tujitoe ufahamu! acheni mamlaka zifanye kazi yake mbivu na mbichi zitajulikana tuYani mitanzania ikiona mtu ana pesa inamuabudu kama mungu wao
Kama ni watu wa aina yake na akina Gwajima njia nyeupe, we don't need them.Ni bora tubaki maskini lakini tuna akili zetu timamu.Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Sawa bossHatuwachukii hata kidogo! Ila baadhi yao huwa na dharau sana, tunachukia dharau zao! Ukimdharau MKUU wa mkoa na wewe ndo ukaamua kumpangia siku na saa ya mahojiano maana yake umetudharau wote mkoani! Yaani Mh Makonda ndo afuate ratiba ya Manji wala si Mtuhumiwa Manji afuate ratiba ya MKUU wa mkoa! na watu wengine wanaona sawa tu!
Wivu Tu umekujaahii ndio bongo, mikwala ya press, gari Kali "range rover,", 9 lawyers. lakini wapi wamekung'ang'ania hii ndo bongo da!
Usiniulize angalia video yake...Unauhakika Manji alimtusi mteule wa raisi?
UmhBasi nikushauri uache hayo mawazo ya kimaskini, usiwe km wale wanaotumia taasisi zinawazowazunguka kujificha! 'eti wananichukia nina pesa' !! hakuna kitu km hicho
Mkuu, mwenye mawazo ya kimaskini ni yule anayeumia moyo kumuona mwenzake anafanikiwa kiuchumi. Binafsi sina mawazo hayo bali wewe na wenzako mnaochukia matajiri.
Cha muhimu na wewe pambana uwe tajiri.
poleWaende tu, tuzalisha matajiri wengine.
kwa ninavyomfahamu manji, someone must pay something someday kwa hili. ngoja tuendelee kusubiri. ila udictator haujawahi kuwa na mwisho mzuri hasa kwa dictator mwenyewe na watoto wake. tujifunze kwa gadafi na watoto wake na supporters wake wote.Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
...majibu yote nimeeleza hapo. Lengo kama limeleta matokeo waendelee na kesi. Na kama hawajapata kielelezo chochote wataendeshaje kesi bila ushahidi???sasa manji kapekuliwa mpaka damu yake,unasemaje kwa hilo
Husinielewe vibaya mkuu , sitetei waharifu, napinga chuki dhidi ya mtu aliyekuzidi uwezo kiuchumiAnyway ... unapokuwa na mitazamo yako don't speak of majority! afu sioni where to fit ur point! so unataka kusema tunamchukia manji kwa kuwa ni tajiri! damn! yo ain't even know about me!
Ht angekuwa nani lakn kwenye madawa hatuangalii mkuu.
Umesikia raha sana.Kama yupo ndani kweli,sasa wale money confidencial kama yeye watajifunza! Pesa zipo benki yeye yupo sero,mpaka raha aisee!
The most stupid comment ever.