Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Huko Ndani kavaa KOTI na suti yake kali au kaivua maana kuna joto kali kule au yupo ktk ac?
 
Kenya si Tanzania mkuu, nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani. Manji ajifunze kuheshimu dola.alidhani anapambana na makonda yule wa mtandaoni.si vema kubishana na dola na hasa inapokua kwenye operesheni ngumu kama hizi kwa kutegemea ukwasi ulionao
Hivi Dangote bado hajafikaKenya?....
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa akili yako kabisa eti manji yupo ndani. Mnachekesha sana[emoji23][emoji23]
Hahahaha... Yani wabongo wengine akili zenu asikae ndani yeye nani,
 
Ni kweli tunahitaji matajiri lakini wawe ni wale wasiokuwa na hata harufu tu ya kujihusisha na biashara hii haramu!
 
Toweni ujinga kudanganya hapa nani kakwambia yupo ndani? Tumia akili kuwaza na sio tumbo

Ujinga ni pale unapopinga hoja bila vielelezo! km unajua hayumo ndani basi pinga kwa ushahidi otherwise na wewe ni wale wale tu! kwa akili ya kawaida tu angekuwa ametoka tungeshamuona kwenye media, na hv mtumiaji akikoswa ile kitu kwa siku moja anavyokuwa anatepeta sipati picha sasa hv ana hali gani!!!
 
Kwahiyo unaamini kwamba vitu kama hivyo inafaa tufanyiwe sisi malofa lakini mtajiri wao ndo wenye haki kisheria kubembelezwa hata wakipata tuhuma mbaya kama hizi za mihadarat?
 
Kwani hawezi shitakiwa mahakama za nnje
 
Lakini ajifunze kuheshimi mamlaka. Asubiri siku chadomo wakibahatisha kupata madaraka, mwaka 3035 ndiyo aendeleze dharau zake
Ndo umeandika nini sasa. Kukaa kimya nibusara sana kuliko kuonyesha ujinga wako mbele zawatu.
 

Tunapenda matajiri lakini sio wa kutuharibia vijana wenzetu...... km ni hzo hela zao chafu waende nazo huko huko tutabaki na ufukara wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…