Nilikuwa najikumbushia muvi za Hollywood za madawa ya kulevya kama ile ya new jack city na nyinginezo, hivi wale madon wa unga huwa wanajipeleka police kirahisi? Maana ukiziangalia zile movie mpk kumkamata don sterling japo hafi ila cha moto anakiona,
Naifananisha na hii movie ya bongo kwa sasa, NAONA KAMA VILE MADON BADO HAWAJAGUSWA, MAANA WANGEGUSWA SIDHANI KM WANGEJIPELEKA POLICE KWA KUITWA/KUJISALIMISHA MPAKA STERLING AKIONE CHA MOTO KWANZA
NI MOVIE TUU