Masikini CHADEMA- Kwishnei

Masikini CHADEMA- Kwishnei

Hapana mie sio great thinker mie mlala hoi hata shule sijaenda!! Lakini ndio mtoa kura

punguza kuvuta bangi za jioni, pia kuwa mweledi kuleta mada zenye hoja.Sasa katiba haijasema mtanzania atakuwa mtoa kura bali ni mpiga kura.Na shaka na kiwango chako cha ufahamu.Bunge si mahal pa ushindani wa vyama , bali ni mhali pa kuwasilisha maoni ya wananchi, kuwasemea na kuwatetea, kupitisha sheria, sera, kupitisha bajeti na kuisimamia serikali .hapa majadiliano ni kwa masilahi ya umma na si mashindano.Kupiga kupitisha bajeti kura ni jambo lingine lakini unapiga kura ya nini ?na kwa masiahi ya nani?kama ni kwa masilahi ya chama cha ccm.nakuambia hizo ni bangi , sababu bajeti inayopitishwa haitumiki kwenye vyama bali kwa wananchi wengine hata hawana chama, kama wewe unavyotumiwa vibaya ili ungange njaa.Nachelea kusema kama hujui kujenga hoja, acha kusumbua watu ili kukuelemisha.
 
Nao huu ni Udhaifu mkubwa kwa watu wenye upungufu wa kufikiri kudhani hakuna ilichofanya CDM ktk Bajeti hii
 
Mkubali tu kuwa mnatoa too much foul hot air inayowaharibu ninyi wenyewe.
Wonderboy wenu Zitto pamoja na madigirii marefu ameshindwa hata mahali pa kuanzia kuandika bajeti mbadala.
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.
Hakuna kitu kama bajet mbadala. Kuna maoni ya kambi ya upnzani. Uko dhaifu
 
Mpiga kura dhaifu, mwanachama wa chama dhaifu, mtoa thread dhaifu, mwenye mawazo dhaifu na elimu dhaifu.
 
Hapana mie sio great thinker mie mlala hoi hata shule sijaenda!! Lakini ndio mtoa kura
Kumbe ndio sababu. Kumbe hujaenda shule ndio maana mawazo yako ni duni kiasi hiki!!!!! Kweli CCM imetuangusha, miaka 50 ya uhuru bado adui ujinga anasumbua watu!!!! Afadhali umetujulisha hilo ili tusikulaumu bure. Watu kama wewe ndio mtaji wa CCM. Lakini wasomi na wajanja ni mwiba mkali kwa hao magamba. Pole sana ndugu yangu. Lakini zama za ujinga zinahesabika. Zitakoma siku Chadema itakapoingia madarakani.
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

.
Una ilmu kubwa sana na kama ukifanikiwa kuongeza juu yake,elimu basi utatisha.
.
 
kweli kazi ipo, nchi hii sasa kubadilika nadhani inahitaji nguvu ya ziada, vinginevyo watu wa aina hii wenye kutoa hoja ambazo hazina hata mashiko bado wamo kweli! huu mwenge umetuharibu akili kabisaa. Pia tusimlaumu sana ccm wametumia vitu vitatu kuendela kutawala nchi hii, moja kutunyima elimu, pili, kutufanya tuwe maskini, na tatu kutupumbaza akili kwa kutumia mzimu wa mwenge. Kwakua wapumbavu bado wapo( kwani ukisema mjinga anaweza kuelimishwa akaelewa) basi tuendelee kuumia mpaka tutakapoanza kula vinyesi vyetu kwa ugumu wa maisha labda ndo watapata akili, lakini kwa mtazamo wa haraka haraka watu wa namna hii ni wengi na ndio maana ccm imeendela kutawala la sivyo ilikuwa itoke tangu 2005. Napata wasiwasi kuwa kutukana na mabwege kuwa wengi basi kila mtu akipata nafasi aibe tu naamini watakao umia ni hao hao ambao wanaendelea kuwapa ridhaa mafisadi kuongoza. Tena mi naomba waendelee kuongoza kwani tayari nchi yenyewe imeshafilisika hii hata cdm wakiingia watakuta kila kitu kimeoza itakuwa kazi kwao kurekebisha waachiwe watafune tuje tuwatoe kwa maandamano kama Misri.
 
Wabunge waliopitisha bajeti akili zao ni sawa sawa na wanachama wao kama huyo aliyetoa hii kauli, unategemea nini hapo.

Hakuana jipya ndani ya CCM wala hakuna nuru, wala matumaini, tusibiri kuumia.

Heri yao madakatari wanaweza kujitetea na watu mkapata maumivu yake, potelea mbali si hatutaki kufia kwenyea maandamano ya kudai haki sasa tutakufa kwa kukosa huduma za afya yapi bora kufa kibudu au kufa kwa ajili ya mustakabali na ustawi wa baadae?

Ni changuo langu na lako pia.
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

Well,masaburi yako yamejaa HEWA
 
Nina wasiwasi na uwezo wa akili yako. Chadema kimetoa mapendekezo na hakikuwa kikishindana, nakusihi tafuta mtu akueleweshe maana halisi ya upinzani, with time utakuwa good analyst.
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
 
baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, cdm itakuwa imevunja rekodi ya kuwa chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe chama hewa!!... Bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

is your mother proud of you??
 
AMA kweli akili ni nywele kila mtu Ana zake. Obvious Ccm iko ICU. Sidhani Kama watafika 2015
 
Mkubali tu kuwa mnatoa too much foul hot air inayowaharibu ninyi wenyewe.
Wonderboy wenu Zitto pamoja na madigirii marefu ameshindwa hata mahali pa kuanzia kuandika bajeti mbadala.
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.

Silly Person!
 
Hapana mie sio great thinker mie mlala hoi hata shule sijaenda!! Lakini ndio mtoa kura

Chadema waweza kuwa wameongea kinabii. Hebu tusubiri tuone tafsiri halisi ya bajeti katika maisha yetu ya kila siku kwa mwaka 2012/13. Hapo ndipo tutajua kama Chadema walikuwa wanaongea upuuzi au CCM wemetupeleka machinjioni. Na hapo Mzalendo utakuwa na haki ya ku washambulia Chadema nami nitakuunga mkono!
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

we ni kiazi
 
tatizo la nchi hii ni chama cha mapinduzi si jingine...wabunge woote wa ccm wamepitisha hoja ya bajeti baada ya kuchimbwa mkwara..huu ndio udhaifu ambao mnyika amswatungia jina
inamaana cdm waliopiga kura ya hapana wanaogopa chama?
 
Mkubali tu kuwa mnatoa too much foul hot air inayowaharibu ninyi wenyewe.
Wonderboy wenu Zitto pamoja na madigirii marefu ameshindwa hata mahali pa kuanzia kuandika bajeti mbadala.
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.

Akili yako ina sura mbaya kama avatar yako!
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

[hustahili kuwa mmoja wa waJF plse get out of this page]
 
Back
Top Bottom