Masikini Byabato ametupwa kabisa Bukoba aliponzwa na makundi ndani ya CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Huyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni.

Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii.

Lakini akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati.

Leo hii masikini uteuzi ameutazamia kwenye luninga na wauza kahawa na tangawizi pale Nyakanyasi.

Makundi yamezima ndoto zake wakati umri wake bado unamruhusu.

Lkn akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati.

Leo hii masikini uteuzi ameutazamia kwenye luninga na wauza kahawa na tangawizi pale Nyakanyasi.

Makundi yamezima ndoto zake wakati umri wake bado unamruhusu.
Kama ni kichwa aonyeshe ukichwa wake nje ya bunge
 
Aliyemponza ni Nape kwani siku ile akiwa Kashai alisemaje?Sema kwa CCM Balozi ndiye alikuwa na angalau ukiacha Rwakatare(kwa wabunge ambao nimewaona kwa macho yangu)
 
Nicheka sana mkuu, ukiwa mjengoni unakuwa mjanja sana lkn ebu toka nje ndiyo madhaifu yako yataonekana
Cheo ni dhamana.

Kuna mwalimu mkuu wangu mmoja miaka ya zamani alitamba sana kwa hili na lile.

Mara paap akatemwa na shule kwa makosa ya ubadhilifu wa fedha.

Kuna siku nikamwona pale karibu na Twiga Motel akitembea viatu vimeisha soli na makabrasha mkononi, weye acha tu imani ikaiingia nikampa offer ya msosi ambayo alinishukuru kama mdogo wangu licha ya kwamba mimi namwamkia.

Yaani Headmaster leo kawa kama lofa hana ile status.
 
Huyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni.

Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii.

Lakini akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati.

Leo hii masikini uteuzi ameutazamia kwenye luninga na wauza kahawa na tangawizi pale Nyakanyasi.

Makundi yamezima ndoto zake wakati umri wake bado unamruhusu.

View attachment 3423771
Bado ana nafasi ya kwenda kulima Ndizi bukoba na mawese.
 
Huyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni.

Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii.

Lakini akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati.

Leo hii masikini uteuzi ameutazamia kwenye luninga na wauza kahawa na tangawizi pale Nyakanyasi.

Makundi yamezima ndoto zake wakati umri wake bado unamruhusu.

View attachment 3423771

Kwenye hii Clip mbona anaonekana ana IQ and EQ ndogo sana, kichwa kipi hicho unaongelea, maana wanaume wana vichwa viwili cha juu na chini, cha juu tayari ni ❌❌❌❌❌❌⭕️⭕️⭕️❌❌❌❌
 
Cheo ni dhamana.

Kuna mwalimu mkuu wangu mmoja miaka ya zamani alitamba sana kwa hili na lile.

Mara paap akatemwa na shule kwa makosa ya ubadhilifu wa fedha.

Kuna siku nikamwona pale karibu na Twiga Motel akitembea viatu vimeisha soli na makabrasha mkononi, weye acha tu imani ikaiingia nikampa offer ya msosi ambayo alinishukuru kama mdogo wangu licha ya kwamba mimi namwamkia.

Yaani Headmaster leo kawa kama lofa hana ile status.
Lkn watu bado hatujifunzi
 
Back
Top Bottom