Mashuka ya Rangi ya Zambarau(Purple)

nawaonea huruma wanaotumia mashuka rangi nyeusi

Ongeza na kahawia or brown maana likichafuka hujui, unalalia mwaka mzima!!! Yanapendwa sana na watu wanaoogopa usafi!! Yakitandikwa haya ni kuchoma moto kabisa!!!
 
Mashuka ya zambarau na rubega zinavaliwa na kujifunika na kabila la maasai kwa wingi! Inamaana wao zinachaji zaidi?
 
Ongeza na kahawia or brown maana likichafuka hujui, unalalia mwaka mzima!!! Yanapendwa sana na watu wanaoogopa usafi!! Yakitandikwa haya ni kuchoma moto kabisa!!!

Nilikuwa sijacheka tokea asubuhi, ah! yaani ukiwa na stress ingia JF utakutana na kituko tu kitakuchekesha !
 
Back
Top Bottom