Mashuka ya Rangi ya Zambarau(Purple)

Mashuka ya Rangi ya Zambarau(Purple)

Mashuka meusi yanapunguzuka nguvu za kiume...ni chanzo cha ushoga

duh! kama mashuka tu yanafanya hivyo, vipi wale wazoefu wa kuvaa kufuli nyeusi ambazo muda mwingi zipo intact na ze kojoleoz na ze nyeoz
 
Mashuka meusi yanapunguzuka nguvu za kiume...ni chanzo cha ushoga
Tafiti zinasema kuwa mashuka meupe kwa wanaume ni dalili za ushoga aidha kwa mashuka meusi wengi ni watu wa fantasy...
 
Weka hata taa ya purple .. whatever .. kesho tutaambiwa tulale na nguo za purple .. its endless .. what i believe tatizo ni psychological especially na ugumu wa maisha .. mpaka mtu ufikie kiwango flani cha satisfaction kwenye maisha .. then mambo yanajiseti yenyewe, mathalan .. huna hata hela ya mlo mmoja kwa siku .. ama unawategemezi wengi .. kazi yenyewe ya kubahatisha .. sincerely tell me can rangi ya shuka matter to you .. wengine hata kukumbuka kalalia rangi gani last night hakumbuki .. yeye anawaza maisha tu .. utulivu wa nafsi unachangia sana bila hivyo hata gunia waweza lalia ilimradi kuche
 
haya na mashuka ya brown je? Boflo
 
Last edited by a moderator:
Duh! sasa mashuka ya rangi ya zambarau yatapanda bei sasa hivi, ila tunashukuru kwa kutujuza
 
Duh! sasa mashuka ya rangi ya zambarau yatapanda bei sasa hivi, ila tunashukuru kwa
kutujuza
Nimeona jina la Lisa nimeshtuka....

Demu wangu wa kisukuma alikuwa anaitwa Lisa....yaani...
 
Last edited by a moderator:
Weka hata taa ya purple .. whatever .. kesho tutaambiwa tulale na nguo za purple .. its endless .. what i believe tatizo ni psychological especially na ugumu wa maisha .. mpaka mtu ufikie kiwango flani cha satisfaction kwenye maisha .. then mambo yanajiseti yenyewe, mathalan .. huna hata hela ya mlo mmoja kwa siku .. ama unawategemezi wengi .. kazi yenyewe ya kubahatisha .. sincerely tell me can rangi ya shuka matter to you .. wengine hata kukumbuka kalalia rangi gani last night hakumbuki .. yeye anawaza maisha tu .. utulivu wa nafsi unachangia sana bila hivyo hata gunia waweza lalia ilimradi kuche

Hapo kwenye red. Ni kweli kabisa. Mbona enzi za zamani watu wanalalia ngozi - mikeka etc. na watoto walizaliwa na mababu walioa wake wengi - no complaints from wives kuwa unyumba ulikuwa duni.

Mimi niseme whatever colour - kama MWANAUME SIO RIZIKI AU SIO RIJALI - itakuwa hivyo tu - HATA UISHI NYUMBA NZIMA YA PURPLE NA KUBADILISHA FURNITURE ZOTE PURPLE ........NGUO PURPLE........ETC. KAMA ENGINE IME-NOCK OUT - IMENOCK TU - LABDA MUNGU AINGILIE KATI.:spy::spy:
 
Haahahaaa... Jamani huu utafiti mie hoooi..! Watu tumeshakariri kutumia mashuka meupe ndio mwake, leo hii twaambiwa rangi ya Zambarau... Mmmh.. Kesho tutaambiwa tutumie ya CHANIKIWITI... Lol
 
jamani wanaume wenzangu mkianza kutumia mshuka ya zambarau mkiwa kama Boflo msije lalamika!akili mukichwa
 
Back
Top Bottom