Mashoga ni wengi kiasi hiki Dar?

Mashoga ni wengi kiasi hiki Dar?

Umeona mashoga wawili wazo, unahitimisha dar ina mashoga wengi.

Unasahau dar ni jiji lenye watu zaidi ya 5M wenye kila aina.

Unafiki mbaya sana.
 
kuna mmoja alinifyataga nimdukue alikua baraza la mit..
.mbezi..naona kafukuzwa baada ya magu kuingia..saiv anatembea na timu ya mpira ya Tanga na kabila ni mp....
Mtumzima
aulizwi malizia...umeandika alitaka nimdukue alafu ikawaje. ......
usihofu mkuumalizia tu..
 
Hii dunia ina mengi yenye kustajaabisha na bdo mambo yanazidi kuharbika, mthna sana ktk zama
 
Hivi huyo Yesu akirudi atatumia lugha ipi ili wote tumwelewe? au atarudi Bongo tuu?? Na atafikia wapi? Ikulu au?
Siku ile atakapokuja kila jicho dunia nzima litamuona!
 
Swali langu kila siku ni kuwa unaanzaje kumpenda mwanaume mwenye ndevu,sura ngumu,ngozi ngumu,kavu,misuli,vigimbi,kapigwa pasi,sauti nzito n.k.yaani huu ni ushetani uliopitiliza kwa kweli,unavutiwa na nini hasa...?
 
Kwa Mara ya kwanza shoga nilimuona dar magomeni, pale karibia na bondeni hoter, karibu kwa macheni, nilishangaa acha tu, Mara ya pili magomeni kagera, kamfata wajina, toka hapo nilivyotoka ile nyumba sikurudi tena, nilikaa pale uwani najifanya naosha vyombo kumbe namuangalia mambo yake na anavyoongea kujishebedua. Kuzidi.
 
Swali langu kila siku ni kuwa unaanzaje kumpenda mwanaume mwenye ndevu,sura ngumu,ngozi ngumu,kavu,misuli,vigimbi,kapigwa pasi,sauti nzito n.k.
Wanapenda hizo ndevu, sura ngumu, ngozi ngumu, misuli na vigimbi!
 
kwa sisi wanaume wa dar tuliohamia hapa juzi juzi,nisingemuacha hivi hivi.ningeenda nimtie kerbu moja matata sana halafu nimsihi siku nyingine aheshimu watu.

unaogopa mashoga mpaka unaacha ugali bro unafeli.
 
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
Support na picha basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom